*INBOX LOVE TRUE STORY "BY:FLORA BAHATI LYIMO*
Mr B >17 March 2009"
Nice to hear from you ,I understand what you are going through ,just let it go kazi zipo utapata tu ingine with time,wanaume wapo pia wengi ila najua ilivyo ngumu kupata wa ukweli ,usiruhusu hali hiyo ichukue nafasi kubwa katika mawazo yako,jaribu kuwaza what is next ,yaliyopita yamepita angalia plane za mbele ndiyo muhimu ,make yourself happy ,mi pia nimeamua kutafuta maisha kwanza.Fanya vitu unavyopenda kama ni movies ,sport ,whetever ,ili mradi uwe occupied ,you know ...wine ni nzuri zaidi ,usitumie spirits ,si nzuri take things slowly and you'll get over with all that ,Dunia hii inahtaji watu wenye brave hearts ,otherwise kuna mateso makubwa sana,si unaelewa tena ,mimi najaribu kufanya biashara na kuna ups and downs nzito ila nakomaa tu,nilimaliza Mlimani na degree ya economics mwaka 2005 nikaajiriwa kwa miaka mitatu sikufurahi kabisa ajiri nikaamua kujaribu mambo yangu ,japo mtaji bado wakuunga kuunga ila nitafika tu with time,kama nilivyosema its only take a brave hearts kufanikiwa na remain standing kinyume na hivyo we fall down and fail in life, make yourself brave my dear,wish to see you in person one day ,stay sweet"
Miss FBL>17 March 2009"
Thanks sweet,kwa kweli hapo umenena,maisha ni kama mlima kuna kupanda na kushuka ,hivi sasa nimeamua kuandika kitabu ambacho chanituliza na kuniweka mbali na pombe hasa hizo spirits na mitoko ya kwenda out clubbing ,kwani nikitu ambacho sasa na enjoy kufanya na ninapoanza kuandika sitamani kupumzika hata kutafuta kitu cha kula ,kwani ninapo anzakufikiria kitu na vingine vinanijia na nilazima niviandike saa hiyo hiyo la sivyo nitasahau nakukumbuka tena inakuwa nomaa, sasa my dear ni biashara gani unatarajia kufanya? maana mimi nimeshindwa hata ukirudi Tanzania mtu atafanya biashara gani yakuweza kupata faida na kutajirika fasta fasta,yani mie naona wengi pale nilipowaacha wapo pale pale na maisha ni yale yale na kulalamika kila kukikucha,but you know what ,to me you sound like you are a smart Man "so you can do it my dear and I will pray for you to do well.yes it will be nice to see you in person one day ,just let me know when you are in London ,ikiwa utakuja huku kwa matembezi au biashara zako au huku London huwa hujaji ? also hata mimi kunauwezekano naweza nikaja huko Moshi soon mambo yangu yakiniendea kama ninavyoyapangilia,basi wacha nikutakie kila la heri nataka nitoke kidogo naona saa zinapita nisije chelewa" stay Bless my dear"
Mr B>17 March 2009"
Don't mention sweetie, kwa kweli biashara nazo taka kufanya ni nyingi ,ila nilianza kupata order za kuagizia wateja magari ,used ,kutoka huku ,pia nilikuwa na oder za men's suits ,nk,kila kitu huku ni cheep ,kwahiyo I Am still exploring other opportunities ili niongeze nguvu na kufanya kitu cha maana,kama ujuavyo biashara siyo tu plan and strategy nzuri ,pia mtaji ndo muhim mno ,kwa hiyo I Am trying to Incorporate all of them,kidogo kidog ,nilikuja huku mara ya kwanza last year ,hii ni mara ya pili na sasa najua mambo mengi kiasi,hopefully with time nitaendelea vizuri .Biashara kwa kweli ni kwenda na upepo ,kuangalia nini kinahitajika na kwa wakati gani,unachangamka,pia uwe na network ya wateja ,inasaidia sana ,mimi nina kampuni ndogo na rafiki yangu ,ina deal na kila kitu tukipata tenda tunafanya kwa hiyo kwa kuanzia ni vyema kuwa flexible ,Tanzania mambo mambo magum hasa kwa sisi watu wakawaida ,opportunities wanapeana wakubwa na watoto wao ndiyo maana kama ulivyosema kila mtu analalamika,kuanza kufanya shughuli binausi inahitaji moyo sana,mazingira pia ni magumu mno ayway tutafika tukiamua na kuweka juhudi bila kukata tamaa.London kwa kweli siwezi kuja ,sina chakunifanya nije huko nianze kusumbuliwa na VISA mpaka nije kuipata jasho limenitoka,kuna wakati nilitaka nije kusoma masters ila nikaamua kuendelea na maisha haya mpaka mzazi alinishangaa,ila ndiyo hivyo ,nisikuchoche kusoma gazeti ,haha haha.Nina mipango mingi naona muda unaenda na haikai sawa,na pambana tu ,una andika kitabu kuhusu nini?
Miss FBL>17March 2009"
Pole kwa kazi my dear,naona upo kwenye mawindo kweli kweli ,lakini mvizia lazima hupata,kwa kweli nikufuata upepe na kuangalia unakoelekea ,sasa bwana kama London hutakuja inaweza ikawa Long time kabla hatujaonana au Bongo utarudi lini ,maana na mimi kwa vile ninavyoona nadhani nitakuja huko xmas time Mungu akinijalia ninavyopanga ,na je kwani wewe ni mzaliwa wa wapi ? napenda lugha sana hasa lugha zetu za mama yani hasa pale watu mnajikuta mpo ugenini na huku mnaziongea zinakuwa powa sana napia unajisikia kama upo nyumbani na unasahau hata kama upo ugenini,Mimi ninaandika kitabu cha kuhusu maisha yangu ,but it can be fun, nimeshaongea na wachapishaji huku wakaniambia kinaweza kikachapishwa maana is true story ila it have to be in English kwa hiyo ninajaribu kukiandika kwa kizungu ninachojua mimi alafu nitakituma kwa wenyeji wenye kujua kizungu na mambo ya Vitabu zaidi ,japo pia wamesema nitalipia na inaweza ikawa watachukua zaidi ya pound elfu tatu za kusahihisha kizungu peke yake ,yani sijui ni kwanini ni gali hivyo na kitabu chenyewe hata sijajua kama ni kweli kitauza au vipi ili nipate angalau hizo hela nilizolipia kusahihishiwa kizungu japo sikiandiki kwa kutafuta hela bali ninapenda kuandika vitabu tokea nikiwa mdogo nasoma kule Moshi nilikuwa nasoma sana vitabu vya hadith, yani hutoamini nimeanza kukiandika miaka mitatu sasa ila nilikuwa nakifanyia uvivu sana na pia kwasababu nilikuwa naenda kazini nikaamua kuachana nacho na kuandika mara chache kwa mwezi basi ndo maana sijaweza kukimaliza ,but kwa sasa vile sipo kazini naona ni heri kukiendeleza huku nikitafuta kazi napia kujipatia kitu chakuni keep busy na kuacha mafikira juu ya mambo ambayo yameshafanyika na siwezi kuyarudisha,Basi wacha niachie hapa maana naona ninakuchocha bure,usipotee hata kama huna mpango wa kuja London .Nakutakia jioni njema sweet"
NDUGU MSOMAJI,HABARI INAENDELEA USIKOSE PAGE THREE"COMING SOON!!
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
May I simply just say what a comfort to find an individual who truly knows
ReplyDeletewhat they're discussing on the web. You certainly understand how to bring a problem to light and make it important. More people need to look at this and understand this side of the story. I was surprised you aren't
more popular because you definitely have the gift.
my blog; instant twitter followers
Flora bahati lyimo you are the best yani na enjoy sana hichi kitabu chako mamii page 3 pls.. i cant wait to kisoma chote na kujua huyo tapeli wa inbox love .mbona humtaji jina alokuwa anatumia pengine hata siyo la ukweli,mbuta nanga mshekuu"
ReplyDeleteHahahahahahhahaha
ReplyDeletePAGE 3 PLS, MUKE YA AFRICAN KING...jamani hiyo page 3 inaonekana ndefuu eee..mpaka sasa hujatuwekea hope upo powa lakini" DV"
ReplyDeleteJamani mbona hautumalizii kitabu chako Da-Flora'' napenda sana kusoma mapenzi yako ya inbox''
ReplyDelete