KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 17 February 2013

NILIUZIWAJE WINE BADALA YA CHAMPAGNE "HII NI KWA WALE WATANZANIA WOTE WENYE MASUPERMARKET HASA PALE MJINI MOSHI AMBAPO NILIBISHANA NA WAFANYAKAZI WAO KINOMA.KWA KUNIDANGANYA HIZI WINE NI CHAMPAGNE!!


FLORA BAHATI LYIMO .Mtanzania halisi aipendae Nchi yake kupita maelezo na mwenyekutaka kuiona kwenye mistari ya mbele au hata ya katikati"na siyo ya nyuma!!
Jamani  je hizi ni Champagne au ni Wine Brut? Wafanyakazi wenyewe hata hawajui wanauza nini jamani" kudadadeki"

FLORA BAHATI LYIMO aka Flora Lyimo Fashion Police" HADANGANYIKI MTU WA MAJUU HAPA " MBUTA NANGA"
Habari ni hivi ,nilikuwa natafuta Champagne nikiwa pale Moshi mjini ambapo nilienda Masupemarket yao yote pale mjini kila niloingia naangalia mwenyewe ikiwa wana champagne nikaona hamna hata moja hata ile ya raisi kulikoni yani hata mnuso wake hamna,ikanibidi niulize wafanyakazi wao nikamuita mmoja nikamuuliza hivi hamuuzi Champagne,akanijibu na hizi hapa je ? which alininyoshea mkono hapa kwenye hizo picha juu kwa mbali yani pale alipokuwa kasimama ,nikamuambia mbona sizioni ? akaniambia njoo na mimi nikuonyeshe, nikaambatana nae mpaka hapa kwenye chupa zenyewe za Wine tupu kama mnavyoziona ,yeye anakazania kuniambia hizi ni champagne nikamuambia siyo champagne naomba ukubaliane na mimi nazinywa na nazifaham sana wine na champagane,hapa hamna Champagne hata moja(muuzaji)jamani Dada mbona sisi tunawauzia watu kama champagne yani watu wote wenye sherehe zao za harusi na zinginezo wao hizi ndo wanatumia kama champagne.ikabidi aende tena kumuuliza mwenzake eti huyu Dada anasema hizi siyo Champagne?', mwenzake nae kajibu ni" nini kwani ? eti ni wine ? mwenzake kajinyamazia kimwa ,hapo hajasema chochote ,nikaendelea kuwaambia nawaombeni jamani muache kuwadanganya Wateja mimi nawahakikishieni hizi siyo Champagne" na zingekuwa champagne tusingelikuwa twabishana hapa maana hata hamnilipi kuwafundisheni ,yani zenyewe zingelikuwa zimeandikwa kwenye chupa zake na mwisho wa siku hata nisinge waulizeni ningebeba na kulipia na kuondoka" basi wakasema asante kwa kutufahamisha Dada ila sie ndo tunajua hivyo na tunauzia watu hivyo " niliondokaje na hasira sasa" anyway next nikaenda kwa Supermarket zingine pale pale Mjini Moshi yani kutembea tu wapo majirani majirani kwenye sreet ,nikakuta nao ndo hivyo hivyo yani utadhani sijui ni za mtu mmoja ?? na wafanyakazi wasojua wanauza nini ni wakazi gani ? kweli siyo makosa yao mie naona pia ni makosa ya mabosi wao wasojali wateja wao ni bora wamdake asiejua na kudanganyika kwa siku hiyo ila wanasahau kwamba wanatakiwa kuwa na wateja wa kila siku na na siyo wale waja tu,wenye shida na wasojua .Na vile vile wajifunze yale ambayo wanayaona huku majuu wakati wanapokwenda kufungua biashara zao huko Tanzania kwani nikama nilivyosema ukiwa na biashara zingatia Customer Care na Customer come first "hakuna cha Mjomba wala Shangazi,pia  jiulize je unajua unachouza ? na kipo katika hali gani yakukufaa wewe mwenyewe ? Narudia tena tujifunzeni mambo mazuri na yakujenga Nchi yetu na siyo yakuiaibisha na kuibomoa"Huku mkijidanganya kwamba Tanzania watu hawalalamiki wanapotendewa mabaya "" God Bless Tanzania and the World Amen" FLFP"

2 comments:

  1. Hello! I just would like to give you a big thumbs up for the excellent information you have got
    right here on this post. I'll be returning to your site for more soon.

    My web blog - roulette real money
    Also see my page > Roulette Real Money

    ReplyDelete
  2. Ni kweli Da flora ,yani wanachemsha sana kwa upange wa wine hawajui tofaouti na watu huku bongo kwenye maharusi mengi huwa wanazitumia kwa sababu zinakaa kama champgne sababu ya hizo bubbles in them basi utasikia kulikuwa na machampagne ya kumwaga kumbe wapi"kazi kweli kweli ,bora hata uliwafahamisha mwaya,kwa kweli unaipenda nchi yako endelea kui like"

    ReplyDelete