WASANII 13 WA FIVE STARS MODERN TAARAB WAFARIKI KATIKA AJALI.
Na Dunstan Shekidele, Morogoro
WATU wapatao 13 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya katika ajali ya basi aina ya Coaster lenye namba za usajili T 361 BGE lililokuwa limebeba wanamuziki wa kundi la Five Stars Modern Taarab waliokuwa wakitokea Kyela-Mbeya kueleka jijini Dar.
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa mbili usiku ndani ya hifadhi za wanyama za Mikumi mkoani hapa, baada ya gari hilo kuligonga kwa nyuma roli aina ya Scania lenye namba za usajili T 848 APE lililokuwa linavuta tela lenye namba za usajili T 559 BDL liliokuwa na mzigo wa mbao.
ZIFUATAZO NI PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO:

- Comment by Glady-Cath ( luv u ) 48 minutes ago
- mama yangu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! mhuu inatisha jamani loooooooool!!! yaani mafigo njeeeeee mhuu! zipumzike salama roho za marehem. AMINA!!
- Comment by daddy 49 minutes ago
- roho za marehemu wapumzike mahali pema peponi amin
- Comment by Bullie 50 minutes ago
- Madereva muwe makini jamaniiii!Sehemu kama ya Hifadhi wala si ya kwenda mwendo kasi ivo.
- Comment by Bullie 51 minutes ago
- tunaomba
- Comment by julius manning 51 minutes ago
- jamani hizo baadhi ya picha zinatia simanzi sana . poleni waafiwa wote
- Comment by Bullie 51 minutes ago
- reva
- Comment by Bullie 51 minutes ago
- Tunaomba
- Comment by Bullie 51 minutes ago
- Kwakweli inasikitisha mno mno mnoooooooo jamani,kwani huyu dereva alikuwa anaharaka gani?Mbona madereva mnatumaliza,angalia sasa japo ni mipango ya Mungu lakini tusipende sana kila kitu kumsingizia Mungu,huu ni uzembe wa kupindukia. Inasikitisha sana tena sana,nimeumia sana roho yangu kuona watu wanakufa vifo vibaya kama hivi. Mungu awapumzishe kwa amani, Mungu ibariki Tanzania,ibariki na Afrika pia.
poleni wafiwa.mungu awalaze mahali pema peponi...
ReplyDelete