KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 30 July 2014

WHATS ON ? THE KING ALIVYO RUDI HOME NA MZIGO WA NGUVU'' DIAMOND ASIMAMISHA KILA KITU NA BARABARA KUFUNGWA' I'M SO PROUD OF HIM'' HONGERA SANA KWA KUTUWAKILISHA ''BE BLESS ALWAYS!!

Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo nlioagizwa na Wananchi Nyumbani kisha ndio nirudi kuendelea na shughuri zangu!... Kama wasemavyo "There is no place like Home... Ever!" 
ASANTENI SANA KWA  HABARI HIZI  WAPEPERUSHAJI NA WAPIGA PICHA'
UMOJA NI NGUVU KWA KWELI'
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

Tuesday, 29 July 2014

WHATS ON MAMBO YA EID MUBARAK'' WELCOME AT OUR BAR & RESTAURANT THE SMILLEY'S aka MBUTA NANGA'S LONDON !!

HABARI NDIYO HIYO 'Jamani juzi kule Instagram mlinisuta sana na lile wig langu la Blondiii''Mngelijua navyo lipenda .wacheni tu..Ila sasa mtanikoma yani nitawabadilishieni mawigi mpaka mjute kunisuta'' yani mtajua Mchagga mie niliaga kwetu Kilimanjaro'' Anyway 'let me waambieni kidogo kuhusu Biashara' Mimi siogopi kuibiwa ,kutapeliwa wala kupata hasara'' Mimi najaribu Biashara zote niwezazo kutolea jasho langu'' One day nitaipata ile nitakayo ifutia jasho langu'' Ruwa Aika Mbee''
KWA KUJIUNGA NA HII BIASHARA YANGU MPYA YA FLORA LYIMO OPPORTUNITY 2014 NI MUDA WOWOTE WEWE WASILIANA NA FLORA LYIMO THE CEO MWENYEWE'' WHATSAPP +44 7787471024 KARIBUNI WOTE'

WHATS ON ? THE ROYAL NDANI YA GLASGOW ,TIZAMA KATE ON HER SPORTY DAY'' IKISEMEKANA PIA HAJA VAA CHUPI ''MBUTA NANGA!!

The Duchess of Cambridge played the South African game 'Three Tins' today as she visited the athletes' village during her second day at the Commonwealth Games
The Duchess of Cambridge played the South African game 'Three Tins' today as she visited the athletes' village during her second day at the Commonwealth Games''
The Duke and Duchess of Cambridge and Prince Harry were joined by world's fastest man, Usain Bolt, as they visited the athletes' village at the Commonwealth Games and joined in some traditional games.
The young royals and the Jamaican sprint star chatted and posed for photographs in Glasgow as hundreds of people gathered to catch a glimpse of the visitors.
William, Kate and Harry also played ball games with school children after meeting some of the host nation's medal winners at Team Scotland's accommodation.
They were joined on their tour of the site by the country's most successful Olympian Sir Chris Hoy, who is also chieftain of the village. Their visit comes the day after they joined thousands of spectators at the Games, taking in gymnastics, boxing, hockey and swimming.
Kate listened as one of the children explained the rules of a game which includes knocking down three tins with a ball before running in to the middle of the square, rebuilding them and hopping over the tins three times.

Kate, wearing a blue dress, dark blazer and wedges, wowed the crowd by stepping up and taking part in the traditional gameKate, wearing a blue dress, dark blazer and wedges, wowed the crowd by stepping up and taking part in the traditional game
Kate, wearing a blue dress, dark blazer and wedges, wowed the crowd by stepping up and taking part in the traditional game, before dancing in celebration''
Kate cheered as she played the game, which involves knocking down tin cans with a ball before re-building them and jumping over themKate cheered as she played the game, which involves knocking down tin cans with a ball before re-building them and jumping over them
Kate cheered as she played the game, which involves knocking down tin cans with a ball before re-building them and jumping over them''
The game came at the end of a sporty day for Kate, who visited a sports charity this morning before watching athletics in Hampden Park stadium, GlasgowThe game came at the end of a sporty day for Kate, who visited a sports charity this morning before watching athletics in Hampden Park stadium, Glasgow
The game came at the end of a sporty day for Kate, who visited a sports charity this morning before watching athletics in Hampden Park stadium, Glasgow''
Prince William, Prince Harry and the Duchess of Cambridge met Jamaican sprinter Usain Bolt during their second day at the Commonwealth Games today
Edit
Prince William, Prince Harry and the Duchess of Cambridge met Jamaican sprinter Usain Bolt during their second day at the Commonwealth Games today''
The Jamaican sprinter, who is due to compete in the 4x100m relay in Glasgow, later told his fans about his meeting the royals on his Twitter feed
The Jamaican sprinter, who is due to compete in the 4x100m relay in Glasgow, later told his fans about his meeting the royals on his Twitter feed''
My swali la leo kwenu kina Mama Dada'Je huwa mkivaa tights kama Kate hapa mnazivalia na Chupi ? maana hapa muke ya muzungu King yasemekana jhajavaa chupi ndani ya hizo tights zake'' have your say 'wacha comments yako hapa hapa''
Prince Harry chats to local schoolchildren during the young royals' trip to the athletes' village on the second day of their visit to Glasgow
Prince Harry chats to local schoolchildren during the young royals' trip to the athletes' village on the second day of their visit to Glasgow''
Wills were then presented with an Australian team mascot - a yellow toy kangaroo - during their visit to Tollcross Swimming Centre.
Prince Williams shakes the hands of volunteers as he arrives with wife, Kate, and brother Prince Harry for a second day at the Commonwealth Games
Prince Williams shakes the hands of volunteers as he arrives with wife, Kate, and brother Prince Harry for a second day at the Commonwealth Games''
The Duchess of Cambridge had earlier met some of the rising stars of British sport at a reception hosted by charity SportsAid in Glasgow
Mwanamke Kipochi au Begi eti eee'' Kate hapa akitembea na huku kakamatia kipochi chake tight utazani kuna mtu ataka kukimpokonya''utatembeaje na kipochi kama sanam'' mbuta nanga''
The Duchess of Cambridge had earlier met some of the rising stars of British sport at a reception hosted by charity SportsAid in Glasgow
The Duchess of Cambridge had earlier met some of the rising stars of British sport at a reception hosted by charity SportsAid in Glasgow''

Monday, 28 July 2014

WHATS UP ? RAIS WETU ANATUFAAJE? ONA FUTARI KWA YATIMA NA WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU 'ILIYO ANDALIWA IKULU DAR ES SALAAM TANZANIA!!

FLORA LYIMO (PICHANI) MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''NAPENDA KUMPA RAISI WANGU PONGEZI'' MHESHIMIWA RAIS WETU WA MUUNGANO WA JAMHURI YA TANZANIA 'MHESHIMIWA RAIS JAKAYA KIKWETE'' SHIKAMOO MIAKA NA AKILI RAISI '' IM SO PROUD OF YOU '' MUNGU IBARIKI TANZANIA NA KILA KILICHOPO NNJE NA NDANI YAKE AME'' RUWA MANGI''

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu  na viongozi wa vituo mbalimbali vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari  aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakimshukuru Mama Salma Kikwete kwa futari 
Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakipata picha ya pamoja na Mama Salma Kikwete baada ya  futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete

Rais Kikwete akipita meza moja baada ya ingine kuwasalimia yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru kwa kuja viongozi wa vituo mbalimbali vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu katika futari  aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Mama Salma Kikwete akitoa neno la shukurani kwa waalikwa kwenye futari hiyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mtoto Khaitham Jumbe Jumbe ambaye alimuandalia zawadi
Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Aliyeketi kushoto ni Bi. Mwajuma Hassan wa Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni.

Wageni waalikwa wakifurahia zawadi walizopewa kwenye futari hiyo
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Rais Kikwete akipakua futari  Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakiswali swala ya Magharibi wakati wa  futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni.
PICHA NA IKULU