WELCOME TO MISS FB FASHION POLICE IMESHAFIKA TIME YA KUKUPA COMPLIMENT EIDHA IWE NZURI AU MBAYA" STYLE IS FAR MORE THAN KNOWING WHICH TOP CO-ORDINATES WITH WHAT BOTTOM: KARIBU KUTOA COMPLIMENTS ZENU KWA WALE NITAKAO WA WEKA PICHA ZAO KWENYE YOU BEEN SNAP BLOG" HAMNA MANENO YA MATUSI BALI YALE YAKUSAIDIA MTU APATE KUJUA WHAT SUITS THEM IN TERMS OF STYLE "HOPE IT WILL HELP WENGI "
Monday, 4 June 2012
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * LOOK OF 04/6/2012. MAMA MTARAJIWA ATUAMBIA MACHACHE KUHUSU MIMBA YAKE " NAFAHAMU KUNA KINA MAMA WENGI WANACHAMA WA BLOG HII" HEBU NIAMBIENI YAKWENI.NIMEWAACHIENI MUACHE MAONI YENU WAZI WAKATI WOWOTE"
Yes they are......very connected,hubby akishika tumbo tu mtoto unasikia movement nakwambia mungu mkubwa sanaaaaa na pia hubby anapata all signs zote za mimba na mimi napata kidogo sana,im glad lol...
IN YOU BEEN SNAP BLOG * MBUTA NANGA" HAHAHHAAAAAA ,KUMBE ISSA MICHUZI NDO HUYO NA ANACHEKAJE HADI RAHA".YANI SPORAH HEBU MUAMBIE TENA BWANA WACHAGGA TU MAARUFU KWA BIASHARA BWANA KUTAFUTA PESA NA SIYO KUSOMA MAGAZETI" HEBU WASIKILIZENI WADAU" did I say Wadau " and what is Wadau? Issa Michuzi Chatting with Sporah Njau
Sunday, 3 June 2012
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * LOOK OF RED : ANGALIENI WALIOVALIANA NGUO ZAO NA MWENGINE KUIREFUSHA ILI IMKAE KIMALKIA ZAIDI" JE YUPI KAPENDEZA!! WACHA MAONI YAKO HAPA ANYTIME" HAVE YOUR SAY ANYTIME!!
*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*
What is surprising though, is that the Duchess seemed to have taken style inspiration from two most unlikely celebrities.Na hivi ndivyo walivyosimama"

De-ja vu: The Duchess of Cambridge's Alexander McQueen dress has previously been
worn in sleeveless form by Kim Kardashian, and Tulisa Contostavlos,though 5ft 10in Kate had her version made longer to suit the
occasion"
![]() |
| Hii ndiyo Original ya hizi nguo zao .By :Alexander McQueen" |
What is surprising though, is that the Duchess seemed to have taken style inspiration from two most unlikely celebrities.Na hivi ndivyo walivyosimama"
Photos from Mail online"
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * QUEEN JUBILEE SIKU YA PILI YAWASHA MOTO KWENYE MAJI IN LONDON LEO 03/6/2012 NA UMEWAKAJE!!!
![]() |
| The Lady in Red!!Fletcher designed the Duchess's distinctive red maple leaf hat worn on her tour of Canada last summer" |
Lady in red: The Duchess of Cambridge cut a swathe through
the gloomy weather this afternoon as she stepped on to the Spirit of Chartwell
wearing a vibrant scarlet Alexander McQueen dress - on her lapel, Kate wore a
maritime-themed brooch featuring two silver dolphins. It's a gift from the Royal
Navy Submarine Service of which William is Commodore in Chief"
Royal arrival: The Duke and Duchess of Cambridge walked
past a row of magnificently dressed Chelsea Pensioners before boarding the boat
and waved to the assembled crowds lining the river"
Arriving at the river: The Duke and Duchess of Cambridge
and Prince Harry, prepare to boar"
Royal trio: Prince Harry, the Duchess of Cambridge and
Prince Williamwave as they pass the Houses of Parliament aboard the Royal
barge"
Private joke: The Duchess of Cambridge, Catherine shares a
laugh with Camilla, the Duchess of Cornwall"
Keeping cover: The Duchess opted for a large red umbrella
as rain continued to fall"
The main characters: Members of the Royal Family (from
left to right) the Duchess of Cambridge, Prince Philip, Duchess of Cornwall,
Prince Charles, Queen Elizabeth II, Prince William and Prince Harry on the Royal
Barge"
Majestic: The 1,000-strong flotilla started its journey at
Battersea bridge and will draw to a close at Tower Bridge, where the Royals will
disembark to watch the grand finale"
Royal barge: The Duchess of Cambridge was in high spirits
as she joined the Queen on the gilded barge;
Stunning: The Queen looked wonderful in a white coat and
hat made by Angela Kelly and her team at Buckingham Palace. The outfit, studded
with Swarovski crystals, was a year in the making"
8IN YOU BEEN SNAP BLOG * LOOK OF 03/4/2012 QUEEN'S JUBILEE SIKU YA PILI" NA SHEREHE BADO ZINAENDELEA!!!
*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO *
The firm: Members of the Royal family (from left to right)
Prince of Wales, Duke of Edinburgh, the Queen, Duchess of Cornwall, Duchess of
Cambridge, Duke of Cambridge and Prince Harry"
Kudadadeki hii ndo familia ya Nguvu ya UK-London ,yani hawataki mchezo kabisa kama mwakumbuka ile drama ya Prince of Wales na Duchess of Cornwall "Nawaingereza wengi kutokubaliana nao lakini waone hapa " kwani HAWO NDO WAPORA WAKE QUEEN kwa makubaliano yake"
*IN YOU BEEN SNAP BLOG * PATA ILE FILAMU KILA MTU ANAYOIONGELEA IMEWASILI UK " NA INAUZWA KWA BEI POA NA KUPOSTIWA PALE ULIPO " WASILIA NA PRODUCER NUSRAT SEMTAWA !!!
Damu ya Mjomba" ni filamu inayomuhusu binti mmoja aliyeolewa na kukaa muda mrefu bila kupata mtoto, hivyo kwenda kwa mganga wa kienyeji na mganga akamwambia ili apate mtoto ni lazima apeleke damu ya mjomba wake, je alifanikiwa?? hayo ni maelezo tu kwa ufupi.
*IN YOU BEEN SNAP BLOG * BREAKING NEWS .USHAURI KWA WATANZANIA NA MANENO ALOYAANIKA HADHARI NDUGU YETU SALHA NA FLORA BAHATI LYIMO KWA KIPINDI HIKI CHA WAINGEREZA NA WAKAAJI WAKE TUKISHEREKEA MIAKA 60 YA MALKIA WA UINGEREZA 1952-2012" KEEP CALM &CARRY ON OUR QUEEN"
Pichani (kushoto ) Bibi yetu Malkia Queen Elizabeth Alexandra Mary born 1926 Crown 1952"ndiye mwenye shughuli hizi za NGUVU MNO" Na kulia ndo Miss FB Flora Bahati Lyimo
Mtanzania halisi mwenye kuipenda Nchi yake kupita maelezo.Fashion Designer,Trader, Fashion Police, Photographer ,Blogger na Msema kweli" NA HUU NDIYO USHAURI WANGU WA LEO 03/6/2012"
Natumaini hamjambo popote pale mlipo na mnajiandaa vyema kwa maandalizi haya ya furaha kubwa ya Malkia wetu " Queen Jubilee ambayo wengi tunasherekea pamoja nae na kumshukuru kwa mapumziko alowapa Wafanyakazi wa Uingereza"na kuwaruhusu kufanya visherehe sherehe popote pale njiani hata vichochoroni" na bila kusahau mbege kwa wingi" (ALCOHOL ) maduka mengi yalikaushwa "na hiyo ndo njia mojawapo yakutajirisha masikini au tajiri kutajirika zaidi" GOD BLESS THE QUEE!
Rais wetu Kikwete IGA TAFADHALI MHESHIMIWA "Tanzania kuna Viongozi hata mastar wanaostahili heshima kama hizi na kufanya hivi hakuhitaji hela "
"Bali WITO ,HESHIMA" UMOJA NA UPENDO"
Sasa basi mie lengo langu na Ushahuri wangu wa leo ni kuhusu wale Watanzania wote hapa UK -London wanaotaka kufanya biashara ya aina yoyote ile. Mwanzo kabisa jueni Watanzania tunaugojwa wa KUTOKUPENDA MAENDELEO YA WENZETU" na dawa yake ni hivi" Unapotaka kufanya biashara yako kwa mfano " Mchoma nyama BBQ kitanzania style" Hii ya nyama choma imenifikia ila kwa kusema kweli mimi huwa ndo napata habari za mitaani kulikoni ,na huwa nazichunguza alafu nawajibia hapa *You been snap blog * maana hii ndo blog yenu Wanzania hasa mlioko UK-London inayowarushieni mishapo ya ukweli na mnayokubaliana nayo mpende msipende utayaona au kuyasikia adharani badala ya uvunguni" kwa mchoma nyama huyo habari ndo hiyo" na lingine usilipishe watu hela za kutafuta utajiri wa haraka.watu sasa hivi wanahesabu kila senti siyo kama zamani" Anyway" Usifanyie biashara hiyo Nyumbani kwako au hata kwa Mtu .jua hao hao watu hasa WATANZANIA au hata wewe mwenyewe utakuwa una CV isiyosafi .hamna yoyote alie na CV safi kuhusu Marafiki " na biashara isiyohitaji CV hiyo ni yakufanyiwa nje ya Makao yako (NYUMBANI) au ya rafiki.fanyieni kwenye makao ya wananchi wa aina yoyote ( PUBLIC PLACE) wanaruhusiwa na watajiruhusu wenyewe kufika bila kujisikia kwamba wamekuja kwa fulani au wanalengo fulani " Mimi ndivyo ninavyoona "Vile vile usichanganye ULOVE LOVE (MAPENZI )na kila afikae kwenye makazi yako hayo utakae jisikia nae"HAPO NDIPO UTAKAPO JIJENGEA CHUKI NA UTENGANO "
Mengine msomeni huyu Ndugu yetu hapa chini nae ana USHAURI WAKE!!
Hivi ndivyo Ndugu yetu SALHA"alivyo post kwenye Wall yake ya Facebook !!
Jamani ndugu zangu wa uk hasa kwa upande wa wanawake wezangu"
Tuwacheni ufisadi uvunjiaji wa ndoa zetu tuwacheni majungu uchokozi roho mbaya chuki binafsi fitna uhasama uchomeaji kwani hakuna alotoka kwao na kapu za pesa kila mmoja kaja kutafuta sio ukimuona mwanamke mwenzio kanunua kitanda kipya au sofa jipya uwanze kuchukia na kumsema na kumchunguza kiasi gani anapata wakati na ww unao uwezo wa ...kununua ukimuoa anang'ara uso na rangi za midomoni ukaona anapata yule ,tumekuwa hatupendani chuki zimezidi kwa upande za ulaya ukizaa unaisabiwa mtoto wa ngapi kwa hiyo analipwa kiasi gani ,tumeweka pesa mbele kuliko utu ,watu wanafika kuchagua maziko ya fulani siendi au harusi ya fulani siendi kwa nini tunakuwa hivi ulaya inakutoweni Imani na utu hakuna kuzikana hakuna kupendana hakuna huruma ukitizama kwetu africa tulikuwa na umoja ushirikiano hapa ulaya mtu yupo ttayari akuendee kwa mganga uharibikiwe tutizame hatma zetu tutajibu nini kwa Mola wetu kumbukeni kuna malipo siku yamwisho tuwache chuki binasfi hasa kwa wale wanaona watu wanasikiluizana kwenye ndoa za watu na kufitinisha na kuwachisha sio vizurii Mungu atawalipa tu msione rahisi kuvunjiana maisha tena mwisho wake mbaya zaidi fikirieni na punguzeni ukalbikasi watu wa uk msg send
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * LOOKING BLUE SUNNY !! STRAWBERRY BELLA THE HAIRDRESSER OUT &PROUD JUST TAKE A LOOK OF HER HAIRDO"
![]() |
| Strawberry Bella herself looking blue sunny " |
What you sow here is what she did go get your Classic look at Jawabela "And for more of her hairdo go to www.jawabela.blogspot.com
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * ROUND TABLE DISCUSSION FOR US NGO IN WASHINGTON DC 13/MAY /2012 KWETU FASHION DESIGNER BY: MISSY TEMEKE AND FABAK FASHION " SIKIZENI WIMBO HUU WA Uvivu ni adui wa ujenzi wa taifa" HUKU MUKITIZAMA PICHA ZA UBUNIFU WA MAVAAZI HAYO"
![]() |
| Missy Temeke (kushoto ) na Model wake " wa Kwetu Fashion " |
![]() |
| Asya of Fabak Fashion atuonyesha Urembo wa Vaazi alolivaa " ndo mambo ya Ubunifu na Ufundi" |
![]() |
| Misosi ilikuwepo pia ,meno lazima yateswe kwa mbunifu !! "Mbuta Nanga" |
Subscribe to:
Posts (Atom)

















































