KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 29 May 2014

BY FLORA LYIMO ~ MBUTA NANGA'YESU NA MARIA NA YOSEFU'' HII BARI YA MME WA WAJINA WANGU FLORA MBASHA ADAIWA KWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17 ? NI KWELI JAMANI ? HEBU MLIOPO HUKO NYUMBANI NIPENI UHAKIKA '' HII HABARI NDIYO HIVI NAVYOTIRIRIKA MITANDAONI'''


AMA KWELI ADUI YAKO NI MMEO MNAO LALA NAE KITANDA KIMOJA'' NA HATA KUZAA NAE'' JAMANI NASIKITIKA SANA KWA HILI ''NAOMBA MUNGU ISIWE KWELI ''YANI MTOTO HUYO I HOPE UPO SALAMA NA ANAANGALIWA VIZURI HADI KIELEWEKE'' SO SAD''WAJINA POLE SANA'' MIMI NASUBIRIA HABARI KAMILI NA ZA UHAKIKA''
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.
Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha anayetuhumiwa kwa ubakaji.
Taarifa zilizopatikana  ndani  ya  jeshi hilo kupitia vyanzo vyetu makini zinadai kwamba mlalamikaji huyo alifika kituoni hapo Jumatatu iliyopita muda wa mchana na kufungua kesi  yenye Kumbukumbu Na. TBT/RB/3191/2014 na ya Jalada  la  Uchunguzi  Na. TBT/IR/1865/2014 akidai  kufanyiwa  unyama  huo kwa siku mbili (Ijumaa na Jumapili)  wiki iliyopita nyumbani kwa Mbasha, Tabata-Kimanga, Dar.
Ilidaiwa  kuwa, Ijumaa iliyopita mlalamikiwa alifanya kitendo hicho sebuleni nyumbani na Jumapili ilidaiwa  alitekeleza ukatili wake huo ndani ya  gari lake  hali ambayo  ilimfanya mlalamikaji kutoa  taarifa  Kituo cha Polisi, Tabara-Aroma jijini Dar.
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha anayetafutwa na polisi kwa kosa la ubakaji.

Iliendelea kudaiwa kuwa, kufuatia maumivu  makali  aliyoyapata mlalamikaji huyo ilibidi  aende  Hospitali ya Amana  na  kugundulika  kuwa aliingiliwa  kimapenzi na kumsababishia michubuko  sehemu za  siri.
HISTORIA YA MLALAMIKAJI
Mlalamikaji ni  kati  ya  watoto  mapacha  waliozaliwa  jijini Mwanza  na mama  ambaye  jina lake  halikupatikana mara moja.
Mama wa mtoto huyo (kwa sasa ni marehemu pamoja na mume wake) akiwa muumini wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God (EAGT) aliamua  kumtoa mtoto mmoja kwa mama  mzazi wa Flora Mbasha kwa lengo la kumlea,  wakati huo mtoto  huyo alikuwa na miezi  mitatu.

Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha.
Ikaelezwa kuwa, mama wa  Flora alikaa  na  mtoto huyo akimsomesha hadi alipofika darasa la saba ambapo alimkabidhi kwa Flora na kuishi naye hadi  alipofikwa na janga hilo.

Maelezo zaidi yanasema Mbasha aliweza  kufanya  kitendo  hicho  kwa sababu mkewe (Flora)  ameondoka  nyumbani na kwenda kuishi hotelini kwa kile  kilichodaiwa  kwamba kuna ugomvi  mkubwa ndani ya ndoa yao.
Taarifa  zaidi  zinadai kwa sasa Mbasha naye hayupo  nyumbani kwake huku mlalamikaji yuko  Hospitali  ya Amana akiendelea kufanyiwa  uchunguzi  wa  kiafya ili kubaini kama ana maambukizi ya magonjwa ya zinaa au la!

Wanandoa hao katika pozi.


Kwa  upande  wake  mlalamikaji huyo alipopigiwa  simu  juzi kwa  lengo  la  kuthibitisha  kuhusiana  na sakata  hilo  alikiri na kusema  amekwishatoa  taarifa  polisi   kwa  kitendo alichofanyiwa na mwenye nyumba huyo. 
TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA 'MW 'ILI MJIFUNZE
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

Tuesday 27 May 2014

BY FLORA LYIMO ~ PICHA YA KWANZA YA MUONEKANO MZIMA WA KIM KARDASHIN WEST WEDDING DRESS 'FINALLY LAPEPERUSHWA ''LIONA KWA MACHO YAKO''


They do! Kim Kardashian and Kanye West are seen kissing on their wedding day just moments after saying 'I do' on Saturday at Forte di Belvedere in Florence, Italy
They do! Kim Kardashian and Kanye West are seen kissing on their wedding day just moments after saying 'I do' on Saturday at Forte di Belvedere in Florence, Italy
Also revealed in all its glory, is Kim's exquisite wedding dress.
The BIG reveal: Kim's backless dress was long-sleeved with a train, while a dramatic flowing white cathedral-length veil completed the look. The bride's hair was worn loose and long, with her make-up restrained and flawless
Edit
The BIG reveal: Kim's backless dress was long-sleeved with a train, while a dramatic flowing white cathedral-length veil completed the look. The bride's hair was worn loose and long, with her make-up restrained and flawless''
Happy couple: This previously unseen wedding booth photo shows Kim and Kanye wearing BLK DNM leather jackets customized by Wes Lang for the event
Happy couple: This previously unseen wedding booth photo shows Kim and Kanye wearing BLK DNM leather jackets customized by Wes Lang for the event''
Crazy In Love: In another intimate snap, the newlyweds are seen kissing in the wedding photo booth shortly after their nuptials took place
Crazy In Love: In another intimate snap, the newlyweds are seen kissing in the wedding photo booth shortly after their nuptials took place''

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM ILI MJIFUNZE'
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
Instagram:flora-lyimo-mbuta-nanga

BY FLORA LYIMO ~ HII NI KWA WALE MLONIULIZA WHAT WAS ALL ABOUT MY T-SHIRT (I SAY BRING BACK OUR GIRLS) NIGERIA'S MILITARY SAY TODAY THEY KNOWS WHERE ARE MORE THAN 200 GIRLS ABDUCTED BY BOKO HARAM ARE BUT HAS RULED OUT 'HAWATA TUMIA NGUVU TO RESCUE THEM''

 HABARI NDIYO HIYOOO'' POPOTE PALE MLIPO ''I SAY BRING BACK OUR GIRLS''AND THANK YOU TO ALL GOOD PEOPLE WHO CARE AND SHOW THEIR SUPPORT'' GOD BLESS YOU AND PAMOJA ALWAYS'' MKITAKA HIS T-SHIRT UNAWEZA KUZIPATA KWA KUODA ''WHATSAPP +44 7787471024 THANKS NA PAMOJAAA''TOGETHER WE CAN''
FLORA LYIMO LOVE AND SUPPORT'
FLORA LYIMO SHOWING HER LOVE AND SUPPORT '  HAPA NI JUZI AT THE WHITE PARTY'' YOU KNOW WENGI MMENIULIZA  WHAT IS ALL ABOUT THIS'' NOW I THINK YOU CAN SEE WHAT IS ALL ABOUT ''I SAY BRING BACK OUR GIRLS'' SOMA HABARI YOTE HAPO CHINI'' NA PICHA PIA'' GOD IS GREAT SOON WE WILL GET THEM BACK AND SAFE''AMEN'' FLORA LYIMO CARE SO MUCH '' 
Nigeria's military knows where the more than 200 girls abducted by Boko Haram are but has ruled out using force to rescue them, the state news agency quoted Chief of Defence Staff Air Marshal Alex Badeh as saying on Monday.
'The good news for the parents of the girls is that we know where they are, but we cannot tell you,' Badeh was quoted as saying. 
'But where they are held, can we go there with force? We can't kill our girls in the name of trying to get them back.'

A still taken from a video by Nigeria's Boko Haram terrorist network shows the missing girls. A top Nigerian military official says the authorities know where the girls are, but cannot move in over fears for their safety
A still taken from a video by Nigeria's Boko Haram terrorist network shows the missing girls. A top Nigerian military official says the authorities know where the girls are, but cannot move in over fears for their safety'
More than 200 girls were snatched from their school five weeks ago by Boko Haram, a terrorist group linked to Al-Qaeda.
The girls have been tracked to three camps in the north of Nigeria, near Lake Chad, 200 miles from where they were abducted, senior officials told a Nigerian newspaper on Friday.
150 people were killed in bomb and gun attacks by the militants across the country last week.
On Tuesday night a double car bombing in a market in the central city of Jos killed at least 130 civilians, while two days later another 48 died when militants stormed and burned settlements near Chibok.
Boko Haram  leader Abubakar Shekau offered to trade the girls for the release of prisoners, which was declined by the Nigerian government
Boko Haram leader Abubakar Shekau offered to trade the girls for the release of prisoners, which was declined by the Nigerian government'
Boko Haram released a video two weeks ago showing some of the abducted girls in veils and reciting from the Qu’ran, and claimed they had converted to Islam.
Their leader Abubakar Shekau offered to trade the girls for the release of prisoners, which was declined by the Nigerian government.
Boko Haram's leaders had been threatening to sell the girls as brides for as little as £12, or force them to work in the sex trade if their demands were not met.
Nigeria's President Goodluck Jonathan and his government are confronting national and international outrage at their failure to rescue the abducted girls.
Thousands have been killed in the five-year-old Islamic uprising that aims to turn Nigeria into an Islamic state, though the country's population is almost equally divided between a mainly Muslim north and predominantly Christian south.
TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM 'ILIMJIFUNZE'

Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
Instagram:flora-lyimo-mbuta-nanga

BY FLORA LYIMO ~ HONGERA SANA MERIAM KWA KUMZAA MWANAO LEO IN PRISON ''I FEEL SO SICK '' NALIAA KWA UCHUNGU NA FURAHA''MUNGU YUPO PAMOJA NA WEWE'' WHERE IS THE WORLD POWERFUL PEOPLE? OBAMA WHERE ARE YOU ? NA WENZAKO PLEASE HELP MERIAM NOW''


Meriam Ibrahim has given birth in a Sudanese jail after being handed the death sentence because a court did not recognise her marriage to Christian Daniel Wani, a U.S. citizen, who lives in Manchester, New Hampshire
Meriam Ibrahim has given birth in a Sudanese jail after being handed the death sentence because a court did not recognise her marriage to Christian Daniel Wani, a U.S. citizen, who lives in Manchester, New Hampshire''
A doctor who is facing execution in Sudan for marrying a Christian gave birth to a baby girl in prison today.
Meriam Ibrahim, who has spent the past four months shackled to the floor in a disease-ridden jail, gave birth five days prematurely.
The baby was born in the hospital wing at Omdurman Federal Women’s Prison in North Khartoum and is said to be healthy.
Speaking exclusively to MailOnline, her lawyer Mohaned Mustafa Elnour said: 'This is some good news in what has been a terrible ordeal for Meriam.
'I am planning to visit her with her husband Daniel later today. I think they are going to call the baby Maya.’
Holding out hope: Daniel Wani outside his home in Khartoum, Sudan, ash he awaits the fate of his wife who has been held in shackles in prison with their toddler son Martin next to her
Holding out hope: Daniel Wani outside his home in Khartoum, Sudan, ash he awaits the fate of his wife who has been held in shackles in prison with their toddler son Martin next to her''
Meriam, 27, was sentenced to death by hanging earlier this month after being found guilty of converting from Islam to Christianity and marrying a Christian man, U.S. citizen Daniel Wani, who lives in Manchester, New Hampshire.
She will receive 100 lashes before she is executed - sometime in the next two years.
Before the birth, Meriam made the defiant claim that she would rather die than give up her faith.Bleak: The Omdurman Women's Jail in Khartoum, Sudan where Meriam Ibrahim is being held
Bleak: The Omdurman Women's Jail in Khartoum, Sudan where Meriam Ibrahim is being held
Meriam has been locked up in the notorious women's prison in Khartoum since September after being charged with adultery and apostasy and given the death sentence
Meriam has been locked up in the notorious women's prison in Khartoum since September after being charged with adultery and apostasy and given the death sentence
She told him: 'I refuse to change. I am not giving up Christianity just so that I can live.
'I know I could stay alive by becoming a Muslim and I would be able to look after our family, but I need to be true to myself.’
Daniel, a 27-year-old biochemist, revealed his wife’s defiant stance during an exclusive interview with MailOnline at his modest home in the dusty Sudanese capital city of Khartoum.
Sitting beneath glamorous photographs of his wife taken at their wedding in December 2011, he said: 'My wife is very, very strong. She is stronger than me.
'When they sentenced her to death I broke down and tears were streaming down my eyes. Our lawyers were passing me tissues. But she stayed strong.
'She did not flinch when she was sentenced. It was amazing to see, particularly because she is the one facing the death penalty.’
Daniel was in Khartoum trying to arrange for Meriam and their 20-month-old son Martin to live with him in the US when his wife was arrested in September. She was three weeks pregnant with their second child.
She has been held since February in Omdurman Federal Women’s Prison, North Khartoum, with Martin.
Heartbreaking: This image captures the first time Daniel Wani was allowed to see his son, Daniel, and wife, Meriam Ibrahim, since September after she was jailed for marrying a Christian in Sudan
Heartbreaking: This image captures the first time Daniel Wani was allowed to see his son, Daniel, and wife, Meriam Ibrahim, since September after she was jailed for marrying a Christian in Sudan''
Rotten care: Martin is given a drink by prison guards. Daniel is not allowed to take custody of Martin because the authorities have ruled that the toddler is Muslim
Rotten care: Martin is given a drink by prison guards. Daniel is not allowed to take custody of Martin because the authorities have ruled that the toddler is Muslim'
The authorities will not release Martin into the care of his father because they claim he is a Muslim too.
She spends much of her time shackled to the floor, is not receiving enough nutrition in her food to cope with the rigours of a difficult pregnancy and is rarely allowed outside.
Both she and her bewildered son have contracted various illnesses because of the poor sanitation at the jail.
A report by Human Rights Watch claims the prison is 'beset with overcrowding’ and suffers from 'poor sanitation, disease and the deaths of many children living with their mothers’.
Daniel, who is originally from South Sudan, but is now a naturalized American, was initially refused permission to visit her.
Describing his first visit after she had been inside for two months , he said: 'The first time I only had ten minutes and we never even had a conversation with each other. 
'I had to attend to my son first and once I had done that I was told by the prison guards that my time was up.
'I wanted to take Martin away with me, but I knew I couldn’t. It’s not good place to be for a little boy to be. I am not allowed to spent time with them because the Sudanese officials do not recognise them as my wife and son.
Cruel: Martin, above, is pictured biting his lip unaware of the terrible fate his mother, Meriam, faces after being sentenced to hang for refusing to consider herself a Christian. His family claim he is American because his father has been granted U.S. citizenship
Cruel: Martin, above, is pictured biting his lip unaware of the terrible fate his mother, Meriam, faces after being sentenced to hang for refusing to consider herself a Christian. His family claim he is American because his father has been granted U.S. citizenship''
Desperate: Daniel and Martin sit with their lawyer, Mr Mohand, during a visit. Daniel is wheelchair bound as he suffers from muscular dystrophy
Desperate: Daniel and Martin sit with their lawyer, Mr Mohand, during a visit. Daniel is wheelchair bound as he suffers from muscular dystrophy'
'They say the marriage is void. Now, even my wife is no longer my wife. And my son is not mine and my new daughter is not mine. They say I am a stranger to them.
'I know my wife puts on a brave face but I can tell that she is in quite a bit of pain. She doesn’t get to leave the room for weeks.
'She has suffered medical complications while in jail, but no one knows the full extent of what they are because she is in prison. It’s a difficult time. To see her walking in chains is difficult.’
Daniel, who is wheelchair-bound because he suffers from muscular dystrophy, cuts a forlorn figure as he wheels himself around his empty house.
His child’s bed lies unused, as does a child-sized toothbrush. Daniel keeps himself busy by studying the regular barrage of paperwork that his legal team send him. 
Like many in Sudan, both Daniel and his wife’s childhood were blighted by civil war.
Daniel managed to escape the brutal conflict in 1998 when he travelled to America with his brother Gabriel.
The biochemist returned to Sudan to marry Meriam at a Christian service in a chapel which was attended by around 500 people in December 2011.
Fighting for justice: The legal team from the Justice centre in Sudan trying to free Meriam Ibrahim includes (l to r) Thabit Alzubain, Mohned Mustafa, Mohammed Abdalnabe, Osman Mobarek, Elshareef Ali
Fighting for justice: The legal team from the Justice centre in Sudan trying to free Meriam Ibrahim includes (l to r) Thabit Alzubain, Mohned Mustafa, Mohammed Abdalnabe, Osman Mobarek, Elshareef Ali''
Most who were at the wedding ceremony could vouch for the pair being committed Christians, defence lawyers say.
But witnesses who were willing to give evidence on her behalf were barred from testifying because they were Christian. 
She even produced a marriage certificate identifying herself as a Christian.
Despite this, the judge determined that because her father was a Muslim, even though he abandoned the family while they were living in a refugee camp in the South East of Sudan when she was six, she too was a Muslim who had broken the law by leaving Islam.
But her mother, who is now dead, brought her up as Christian. Her mother was born in Ethiopia to Christian parents, but fled to Sudan because of famine, and chose to raise her daughter in the same religion.
Meriam was arrested in mid-September, three weeks after her second child was conceived.
At first the couple dismissed the allegations against them as trivial, but when the case grew more serious Daniel went to the American Embassy in Khartoum for help.
'I thought this would be the one place which would help me, but they told me they didn’t have time to do anything,’ Daniel said. 'I was upset because now that I am American citizen I thought they would help me.
'I was threatened. They said “well your wife isn’t American, so we can’t help”. I felt disgusted. My home is in America and still they won’t help. It’s getting uglier and it’s not going in the right direction.’
Mr Wani said the State Department asked him to provide DNA evidence proving that Martin was his biological son.
He added: 'I have provided wedding documents and the baby’s birth certificate, but this is clearly not enough. It’s very upsetting that they don’t believe me. 
'They want me to take a DNA sample in Khartoum, then send it to the US for testing. It’s as if they don’t believe a word I say.’
Meriam insists she has always been a Christian and told her husband she could not 'pretend to be a Muslim' just to spare her life
Meriam insists she has always been a Christian and told her husband she could not 'pretend to be a Muslim' just to spare her life'
The Sharia court has postponed her sentence, to give her time to recover from childbirth and to wean the new baby.
Her lawyer, Mohaned Mustafa Elnour, a Muslim, has received death threats for defending her but has already lodged an appeal. If he does not succeed at the Appeal Court, he will take the case to Sudan’s Supreme Court.
Speaking from his office in a ramshackle building close to the River Nile, he said: 'Once this case became public there was only one way that this case was going to go.
'The clamour for a guilty verdict from the Sudanese press and from government figures intensified and they got what they wanted. There is a large section of the public here that want her to be hanged.
'But even if Meriam was freed she would never be able to live in Sudan again. It just wouldn’t be safe.
'There are many Muslims who are very angry with this situation and they say that if the court doesn’t kill her then they will when she is released.
'Muslim hardliners appear to hold sway with this case, although international support and condemnation of the case might help.
'In fact, the British Embassy here has been helpful – more so than the American Embassy.’
Mr Elnour said the case hinges around the testimony of two men who claim to be her brothers, and one woman who claims to be her mother.
In court they claimed that she had disappeared from the family home in a small village in the east of Sudan and then discovered her living in Khartoum, married to a Christian man.
But the lawyer said all three witnesses have proven to be liars because their evidence to the court has been highly contradictory.
He suggested that the trio are making up their story in an attempt to claim ownership of Meriam’s flourishing general store in a shopping mall on the outskirts of Khartoum.
Mr Elnour added: 'We can prove that Meriam’s mother died in 2012 and that the two others are definite fraudsters. But the court is not interested in our evidence.’
petition calling for her release had last week reached more than 650,000.

'Abhorrent violation': Senators fight for Meriam

New Hampshire's senators are working to save Meriam from being executed, calling her treatment an 'abhorrent violation of human rights'.
New Hampshire's Senator Kelly Ayotte and fellow Republican Senator Roy Blunt of Missouri have written to Secretary of State John Kerry urging him to grant the 27-year-old Sudanese woman political asylum. 
Rights: New Hampshire's Jeanne Shaheen and Senator Roy Blunt have written to Secretary of State John Kerry urging him to grant Meriam political asylumRights: New Hampshire's Jeanne Shaheen and Senator Roy Blunt have written to Secretary of State John Kerry urging him to grant Meriam political asylum
Rights: New Hampshire's Jeanne Shaheen and Senator Roy Blunt have written to Secretary of State John Kerry urging him to grant Meriam political asylum
Senator Jeanne Shaheen, (Democrat-New Hampshire) called the death sentence an 'abhorrent violation of fundamental freedoms and universal rights'.
The British government had expressed its anger to a senior Sudanese diplomat over the pregnant mother's sentence and urged him to pressure the government to overturn the ruling.

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM ILI MJIFUNZE'
FOllow:FLORA LYIMO FASHION POLICE 
INSTAGRAM:flora -lyimo-mbuta-nanga

BY FLORA LYIMO ~MSIBA MWINGINE MZITO WA BONGO MOVIE 'AFARIKI LEO ASUBUHI 'SOMA KILICHOSABABISHA KIFO CHAKE'SO SAD''

 MUNGU NDIE ANAE JUA KILA KITU'' R.I.P RECHO NA MWANAO KICHANGA'AMBACHO HATA KUWEZA KUMFURAHIA KWA SIKU MOJA 'JAMANI HII IMENILIZA NA KUONA UMUHIM WA WANAWAKE DUNIANI ZAIDI ''KWELI HAKUNA KAMA MAMA'' SO SAD''
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ amefariki dunia asubuhi hii. Marehemu amepoteza maisha mara baada ya kujifungua.

Alijifungua kwa operation mtoto akafariki hapohapo,na yeye akalazwa ICU,ila leo asubuhi ndio akafariki..

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

BARI NA PICHA KUTOKA 255'
 FLORA LYIMO FASHION POLICE SAY .ASANTE SANA'

BY FLORA LYIMO ~BLOGS HEADLINES NEWS'' DIDA MITIKISIKO YA PWANI '' MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE RECHO HAULE HATUNAE TENA ''

BY FLORA LYIMO ~ ONA PICHA YA MKE HALALI WA CHARLES aka MWANAUME KITOMBI TOMBI NA TAPELI LA MAPENZI TANZANIA '' MAMA MWENYE NDOA HALALI NA WATOTO HALALI Vs'VICKY KAMATA MWENYE KUTAPELIWA NA MWENYE WATOTO WAWILI MMOJA NI WA MTU MKUBWA NA MME WA MTU HUKO TANZANIA 'WANAWAKE WENZANGU JIFUNZENI KUTOKA HAPA''MBUTA NANGA!!



 THE TOP IN TOWN WAKUTANA NA PALIKUWA HAPATOSHII''JAMANI I MISS HER SO MUCH ''HEBU MTULETEE MATAARABU SASA JAMANI''
THE TOP IN TOWN MWENZAKE FLORA LYIMO FASHION POLICE''AKIFANYA YAKE''SHOWING HER LOVE AND SUPPORT '' RAHA YA HELA NI MATUMIZIIIII''MBUTA NANGA'' ANYWAY ''SASA SHUKA CHINI KAPATE HABARI HII YAKUSIKITISHA NA KUWAAMSHA KINA MAMA WENZANGU  ''BY:FLORA LYIMO '
JAMANI MY TOP IN TOWN ..SHIKAMOO KHADIJA KOPA'' 
Mimi naomba uturudie huu wimbo ''UNARINGA UMEPIMA WEWE???HAPO SASA''KAJITANGAZE KWANZA ALAFU UWATANGAZE WENZIO ''

HAPO KWA MABWANA TUMIA VITOMBI TOMBI aka MAPATELI YA MAPENZI '' HAKUNA MWANAUME HUIBIWA''WAO SIYO MAITI KWENYE GENEZA JAMANI''HALOOOO''MPO HAPO EEE'' HAYA TWENDE NA TAARABU '' UMEPIMA WEYEEEEEEEEEEE' UNA RINGA SHOGA 'UMEPIMA''? SHAURI LOOO'''' 'WACHA KUWATANGAZA WENZIO WANA UKWIMWI WAKATI CHUMBANI KWAKO MKE MWENZIO ANAJUA KUNA MASHUKA MANNE'' NA MME KILA LUNCH TIME ANAKULA KWA MKE MWENZA'' MBUTA NANGA''TUTAKUFAJE WENGI'' JAMANI OMBENI MUNGU SANA ''HAWA WANAUME NDIYO CHANZO CHA MAGONJWA YOTE MAKUBWA DUNIANI ''HAWARIDHIKIIIIIIIIIIIIIII'''
 BLESS ''MNAMUONA MKE HALALI NA WATOTO HALALI WA CHARLES (Kitombi Tombi na tapeli mkubwa wa mapenzi) Yani hakuna Lingine lakumuita huyu mwanaume''Hebu nyie Tizameni hapa huyu Mke wake na Watoto aliowaacha na kutaka kwenda kufunga Ndoa ya kiutapeli na Mwanamke Mwingine ambae nae zake ni Pesa na Bila kujali kuolewa kwanza alafu ndipo uzae'' (Hapo mwanzoni) Aliekuzalisha Vicky ulijua unamtaka mimanoti yake na ulijua wazi hata miaka elfu asinge weza kuvunja Ndoa yake kwa sababu ya wewe kumzalia'Mwisho wa siku Mkapatana na mkaapiana kunyamaza kimnya ili mradi mimanoti ipo kwenye benki yako Vicky na Limjumba la maana na magari bila kusahau nafasi ya kazi nzuri ya Ubunge huko Nyumbani Tanzania'' 
Vicky Alikuwa UK Southampton University (jina melihifadhi) akifanya Masters ambayo alifeli .anyway '' huku akipiga hatua za Glasgow na mwanaume alie kuwa anafanya kazi post doc Glasgow akiwa ana mahusiano makubwa nae,sim zilikuwa zinapigwa kutoka kwa mkubwa huyu ambae kazaa nae mtoto huyo wa kwanza na kumlipia fees ,Yani walikuwa wanamuweka loud speaker ' wabongo anapiga sim na wa Glasgow anajilia vitu vyake huku akimsikiliza mwaume mwenzake akidanganywa'' duuu'' kweli Dunia imekwisha''HATAREEE''Lets turudi kwa huyu Mke wa HALALI'' Sasa huyu Mke kisa cha kuachana na Mme wake huyu Tapeli la mapenzi '' ni utombi tombi wake'' na akaamua kwenda kujipumzisha kwake mbali na Mke wake huyu '' Huko kujipumzisha kwake ndiko anakojipatia nafasi nzuri ya utapeli wa hali ya juu kama mnavyoona na kusikia sasa hivi kuozeshwa kwa Ndoa mpya hiyo iliyokuwa ifungwe juzi jumamosi tarehe ishini na nne mwezi wa tano mwaka elfu mbili kumi na nne yani siku moja na the TOP IN TOWN MWENZA KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST 24.5.2014 ' Sijui kama walikuwa wamepania hii siku ''Ruwa Mangi''
Mwanaume mzima bila hata Haya unawezaje kumdanganya Mwenzio kiasi hichi na mahela kuchangisha watu ya Harusi na huku unajua kwamba una Ndoa ya KANISANI NA BADO HAMJAPEANA TALAKA YA MAELEWANO NA MKE WAKO WA HALALI ? KWELI KAMA HUU SIYO UTAPELI WA KIFUNGO CHA MIAKA SABA (7) JELA NI NINI ?WANACHI WA TANZANIA WENZANGU HEBU TUSHAURIANENI HILI GONJWA TULIANGAMIZE 'LA SIVYO WENGI TUTAKUFA HASA KINA MAMA''  HEBU JIULIZENI  WATOTO WATABAKIA WAKILELEWA NA NANI (HAKUNA KAMA MAMA) HATA UWE NA BABA ANAE MILIKI ULIMWENGU'' MAMA NI MAMA TU''NA MAMA NDIYO ROHO ZA WENGI KAMA SIYO MAMA HAPA DUNIANI USINGELIKUWEPO LEO'' POLE VICKY NA MKE MWENZIO'' KWANI NYIE HAMNA MAKOSA 'MAKOSA NA YA HUYU TAPELI LA MAPENZI Charles''CHA MUHIM SASA NI KUMFUNGA HUYU TAPELI'' CHARLES''ILI WANAUME WENZAKE (MATAPELI WA MAPENZI WATOE MFANO NA WAKAE WAKIJUA KIFUNGO CHA MIAKA SABA JELA KINAWASUBIRIA''(THINK BEFORE YOU DO) WAZUNGU WACHASEMA''MBUTA  NANGA!!
 VICKY KAMATA NA WATOTO WAKE '(majina mengine bwana ni nomaa) Kamata na kakamata kweli kweli '' Anyway ''Pichani ni MAMA NA WANAE'LEVO 16 YRS NA GLORY 5YRS NA HUYU LEVO NDIYO MTOTO WA MTU HUYU MKUBWA SERIKALINI AMBAE JINA (nimelihifadhi) Na Vicky hiyo ndiyo sababu yake kupewa hata hiyo kazi ya Ubunge ''Yani kweli Kula na Wakubwa kuna Faida na Hasara zake''
FAIDA''
Unaweza Kupewa mfuko wa mihela na kuridhika na Mtoto wako na mihela yako hiyo ukakaa Kinya bila Mke wa mtu kujua''Na usisahau Mtoto atakuja kuhitaji kumjua Baba yake''   
HASARA''
 Hasara ni pale utajakukutana na Watu wasio jali huyu ulie zaa nae na kukuanika mitandaoni kweupee'''Siyo wote hawatakuandika mitandaoni kama Flora Lyimo nilivyofanya hapa'' Jua watu wengi hawana SIRI na wakati kama huu ndiyo kila kitu huwa kinatolewa nje nje Maana kama ni ushaidi upo na kama ni DNA zipo ''
Mimi nilichokiona hapa ni kwamba ''TATIZO SIYO MTOTO WAKO WA NJE NA MKUBWA HUYO''TATIZO NI NDOA YAKO KUOZESHWA IKAOZA KABISA IKIWA MPYAAA'' NA MKE MWENZAKO'' SO WACHA TUYAZINGATIE HAYO YA KWENU NYIE WATATU ''VICKY 'MKE WA HALALI NA CHARLES''
 Mpendwa wangu Vicky 'Huu niushauri Mdogo tuu'' Kutoka kwa Your Top in Town Flora Lyimo Fashion Police '' (1)Fanya utoke hapo Hospital ''Urudi Home ili usije beba magonjwa mengine humo ' (2) Jipange upya sasa'Kila ulicho nacho cha huyu tapeli peleka kwa charity yoyote huko Bongo '' Msahau kabisa na isitoshe mfungulie mashitaka ya kukutapeli '' utajua mwenyewe ikiwa mmeelewana kwa yeye kukuambia kaowa au la'' Ila hata wewe usipotaka kumfungulia mashitaka 'Sasa Mke wake wa Halali atamfungulia mashitaka na vile vile Serikali ishajua sasa hivi huyu ni tapeli mkubwa sana na ni hatari kwa wanawake''Huwezi mtapeli Mtu kiasi hicho na huku unawakimbia Watoto wako uliowazaa wewe mwenyewe'' How come ukimbie Watoto wako alafu huku unakwenda kumzalisha Mke mwengine? Ina maana wale uliowakimbia siyo Watoto ? Yani sasa tuwe kakini sana Wanawake wenzangu maana hata mimi yashanikuta Thanks God mwisho wa siku nimeona ni Ujinga na Mwanaume mwenyewe keshafanywa kuwa litaira'' Sasa zuzu utampeleka wapi ''Wamaume vitombi tombi tulieni na mlio nao ''jueni mmetoka nao mbali na kama mnaachana hakikisheni mmeachana kiukweli '' wacha niache kusema mengi' Vicky yani nakupa Pole sana kwa sababu mpaka sasa hivi sijapata Muda wa kuweza kuongea na wewe au hata wa watu wakaribu na wewe kunipa habari kamili za kutoka kwako wewe mwenyewe'' Nakuombea Ujiondoe hapo Hospitali haraka urudi Home kwa Wanao wapenzi na kuendelea na Maisha yako na Kazi yako ya Ubunge'' Tutetee sie wanawake'' TUSITAPELIWE ''WEWE YASHAKUKUTA SASA'' YOU KNOW UCHUNGU WAKE NA HASARA ZAKE'' BE BLESS WANAWAKE WENZANGU''
CHARLES mwenye T-shirt ya Blue akiwa kazini TIGO Boss wa customer service ' Sasa Wanawake wenzangu mlioponjeka kwa Uzuri wake kama nilivyowasomeni mitandaoni mbali mbali  ''Mmeona hasara aliyowatia Wanawake wenzenu ? Nadhani wengi mmeona na kusikia'' Jueni huyu mwanaume ni tapeli mkubwa na I hope atafungwa kwa utapeli wake wa mapenzi'' Mwanamme Mtu mzima hivi jamani na siyo hata Kijana wa miaka 20 years ? Mbuta Nanga'' hata angekuwa kijana mdogo akishajua kula ndizi bila maganda yake huyu siyo Mtoto''kumbuka mtoto ukimpa ndizi atalitia mdomoni hivyo hivyo bila kulimenya''huyo ndiyo Mtoto''
Kilichobakia ni tujifunzeni kutoka hapa sasa hivi '' Mwanaume yoyote asikudanganye hana Mke mara wameachana Bila ya wewe kufanya mauchunguzi Vizuri na Usimfiche kwa Jamii au kwa marafiki zako 'HASA HUKO FACEBOOK MUWEKENI URAFIKI NAE'' MSIWAFICHE'' Kumbukeni wengi husema hawapendi PICHA''hao ni matapeli'' 'hata hivyo siku izi wapo wanaume wasiojali kukuwepo na wewe popote pale na marafiki zako au hata mitandaoni kwani yategemea na wake zao walionao wengine pengine hata ni vipofu hawaoni na mitandaoni hawaingii sasa hapo mwanaume huyu atakudanganya hadi ukubaliane nae na hata ndoa kwenda kuzifunga'' siku ya ndoa ndipo pale mmesimama Padri au anae wafungieni ndoa hizo kuanza kuuliza ikiwa kuna yoyote anae ipinga ndoa hii asimame ''watu mara mnaona Mama katokea na watoto hapo hapo hiyo ndoa hata kama inafungiwa chooni '' akishajitokeza mpinzani ndoa hiyo haitofungwa'' na watu mtabakia mkirudi Home bila ndoa lakini mkaendelea na shughuli zenu za misosi na mipombe kulewa kwa mahasira hadi kujitosa baharini au hata chooni ukiweza kujitumbukiza humo ''why not''maana ni AIBUUU'' RUWA MANGI''Alafu mke wa halali alifanya vizuri hakusubiria mpaka siku ya kusema WE DO'' akajitokeza na wanae na cheti halali cha ndoa yake ya kwanza na ya KANISANI '' Yani kweli amshukuru hata kwa hapo '' na inawezekana aliambiwa na hakukubaliana na Mke halali huyo'mpaka kilipowatokea puani' Mimi naishia hapa maana naona naweza kuandika Kitabu kizima'' Nawapenda sana WANAWAKE WENZANGU ''SIPENDI KUONA MKIUMIZWA NA HAWA WANAUME VITOMBI TOMBI NA MATAPELI WA MAPENZI'' NISHAUMIA SANA HATA MIE NINA YANGU LAKINI HAWATANIONA TENA ''YANI KWA WATANZANIA NIMEWAFULIA BAHARINI ''MIMI KWAO HAWATANIONA TENA'' NA MKINISIKIA NA MWANAUME MTANZANIA NATOKA NAE KIMAPENZI YA UKWELI ETI NAOLEWA AU NAWAZALIA ''BASI MJUE SIYO BURE 'IPO NAMNA'' KAMA NIMETAMANI SANA HIYO MIMBOOO-GAAAA YA HOME'' AISEE ISEWE TABU ''NI MAELEWANO TU''LAKINI SIYO KUPEANA SHIDA'' IM OUT FROM YOU MY HOME BOYS'' POLENIIII''' MBUTA NANGA''
Follow :FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

Monday 26 May 2014

BY FLORA LYIMO ~ YOUR DREAM HAIR STARTS HERE' PATA MREMBO WETU AISHA'S GORGEOUS NEW LOOK BY:FLORA LYIMO DESIGNS&TRADES'

 OUR MREMBO AISHA KAPENDEZAJE ''NAWE JISHINDIE HER LOOK KWA HELA NA RANGI YAKO''WIGS TUNAZO ZA KILA AINA NA ZA KAWAIDA AU LACE WIG''

 AISHA NEW LOOK BY : FLORA LYIMO DESIGNS&TRADES 'SHINY ,HELTHY -LOOKING AND GORGEOUS '








 MWANAMKE UREMBO NA NYWELE KUBADILISHA KILA MITOKO NDIYO THE TALK OF MUJINI'' I JUST LOVE AISHA'S NEW LOOK''SHE LOOK'KAPENDEZAJE SASA''
 GORGEOUS AISHA'S HAIR 'ZA PATIKANA IN RANGI HII PIA''NI HELA YAKO TU INATAKIWA IONGEE HAPA''MBUTA NANGA''




THE CEO FLORA LYIMO AKIWA KAZINI 'AKIHAKIKISHA WIGS ZIMEKAA HAPA DUKANI IPASAVYO KWA KUWARIDHISHA WATEJA'' GORGEOUS AISHA'S HAIR 'HIZI ZOTE NA RANGI NYINGINE PIA ZIPO WEWE TUPIGIE AU WHATSAPP +44 7787471024 
Email:flo1974@btinternet.com
Instagram:flora-lyimo-mbuta-nanga