KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 30 June 2013

BY FLORA LYIMO ~ALBUM (1) KWA WALE WALOWABEBA BIRTHDAY GIRLS ONLY ' OF MR & MRS MATONDA'S TWINS 1'st ' BIRTHDAY PARTY JANA TAREHE 29.06.2013 IN LONDON"

 In  LOVE with hii Picha kabisaaa'' yani Mwenyewe najiamini I can Take Good Photos'Mbuta Nanga'  Photographer wa ukweli Flora Lyimo'' 
 Jamani nimewaachini Picha zitawaambieni yote ''na ikiwa una swali wewe uliza anytime"

 Mama Mzaa NURU THE LIGHT ndo huyoo'na wajukuu wake .a.k.a. The Birthday's Girl"


 Lets Close our eyes and make a Birthday wishes Baby " 

 Time to be in mikononi mwa Flora Lyimo Fashion Police" na walipendezaje sasa"Habari ndo hiyo watu walikuwaje na Furaha na pia Mavyakula na Mavinywaji ya kila aina yakumwaga yalikuwepo yani si mchezo ' FOLLOW THIS BLOG' so you won't Miss the Next Album to Come"

FLORA LYIMO FASHION POLICE Q & A ~ IS SHE CHANGUDOA WORKER OR CHANGUDOA SUPPORTER? MBUTA NANGA!!


Newlyweds... again: NeNe and Gregg Leakes made their first public appearance as a re-married couple as they attended the 2013 Pre-BET Awards Dinner Party in Hollywood, California on Saturday
Newlyweds... again: NeNe and Gregg Leakes made their first public appearance as a re-married couple as they attended the 2013 Pre-BET Awards Dinner Party in Hollywod, California on Saturday'' 
Hivi unaweza kuwa na Mme wako mkaachana kisheria haswa alafu ukarudi kuowana nae tena kisheria haswa? Nyie mwalionaje jambo hili my dears Watanzania wote ''Mbuta nanga wacheni maoni yenu hasa ikiwa nawe ushafanya hivyo'

Be jealous... The RHOA star proudly flashed her extravagant 10-carat diamond wedding band and 15.2-carat engagement ring
Be jealous... The RHOA star proudly flashed her extravagant 10-carat diamond wedding band and 15.2-carat engagement ring''

Looking fresh! Showing her newlywed glow, NeNe appeared sophisticated and chic in her black-and-white ensemble
Looking fresh! Showing her newlywed glow, NeNe appeared sophisticated and chic in her black-and-white ensemble''


TUMESHIRIKI KUTOKA DM'

BY FLORA LYIMO ~ MATOKEO YA SHOW YA MNYAMA WA WANYAMA T.I.D AT THE PRIDE OF TOTTENHAM LONDON 29/6/2013 VUNJA JUNGU NA MSOMENI FLORA LYIMO FASHION POLICE 'KUHUSU WALOHUDHURIA SHOW NA AMBAO HAWAKUHUDHURIA SHOW"

 Flora Lyimo stejini na Mnyama wa Wa Nyama the one and only TID'' 
Yani the show was nice ikiwa wewe mwenyewe hujaja kuwinda wanaume umekuja kumwaga radhi uwanjani na Kumpa support Msanii wako wa Nyumbani 'Au hujaja kuwinda Madem hapa kwenye hii show 'cha kunishangaza kwenye hii Show ni kwamba watu ndiyo walikuwepo wa kiasi  ambao waliisababisha hii show ikawa ya kujimulika ki'VIP' zaidi na tatizo likawa pale ambapo Mimi kama Mpiga Picha za minaso ya Show na yaloendelea kwa Msanii huyo ni kwamba wote waliokuwepo ni wale Wanaotoka nyumbani na kwenda Club  bila kuaga,Kuwatorokea Wake zao au  hata kupewa Ruksa kuhudhuria lakini wanapofika huko ndo wanapata nafasi yakushika shika madema waliopo kujitafutia Riziki zao na ndipo hasa wanakuwa wagomvi na Flora Lyimo kwa kuwanasa na camera yake maana wanajua watajikuta hapa kwenye hii Blog yenu ya maukweli haswaa'' pia wengine wanaibia wake zao kwa kutoka na kinadada watafutaji ambao wameshapanga wakutane hapa siku hii 'huku kina dada wengi bado hawajiamini kwenda stejini kwani wanapokwenda pale wanapoteza muda wa kumtafuta mwanaume wa Usiku huu  na lift yakuwarudisha Nyumbani japo kama wakuwapa vijisenti hawapo'' let me tell nyie my dears kitu ambacho hamkijui '' huwezi kwenda Club siku zote unatafuta wanaume na hata kama unatafuta makaratasi nakuapia huwezi kuyapata kwa Watanzania ambo wapo hapa UK tiyari na wakukesha vilabuni 'kwani wao ni njaa tupu na pia wanajitafutia riziki zao na hawawezi kuja kuzimalizia kwako usie na lolote '' na hii inamlenga huyu Mburula wa Akili ambae nilimdhamini lakini kumbe ni Mjinga na nampotezea ila nitawapeni habari yake kamili ya whats happen jana baadae.si mweingine ni SHEILA FRISCH au LOUISA SHEILA FRISCH '' NA UKAE UKIJIPANGA SASA'' Heri kama sikukusikia Mwenyewe Ukiyaongea 'unanichimba kichini chini sasa mbona hukuniambia mwenyewe usoni '? aisee ningehakikisha Makaratasi ungeyapata jana Usiku maana Tungechunana Ngozi haswaa'' sipendi upuuzi na nishaapa sitaki kupigana tena lakini Mtoto usie na ADABU ''Mama yako yupo hapa hapa UK masikini amekushindwa unazidi kumpa matatizo kwa kuharahara ovyo''Tumia Mdomo wako kula ,kunywa,kuongea na siyo kuharishia'' sasa umepigiwa sim unaambiwa sema ya Flora Lyimo kwanini  hamuongei ''jamani Nyie si nimarafiki tangu zamani''Linaanza kuharisha bila kujua limewekwa kwenye loudspeaker or rekodiwa'' sasa unajua nimekusikia mwenyewe na masikio yangu ,mauwongo yako yote' nilikuambiwa mimi mwenyewe kwamba siyo wewe niliekutukana kwa kukupa maukweli yako ni Sheila Mkubwa mnavyomuita nyie ambae tulikuwa wote pamoja 5of us na wewe ulikuwepo pia na unajua whats happen that day in Reading'sasa mbona unanunua maugomvi kujitangazia kwamba ni wewe?? na huku ukija kwangu unajifanya Flora is ok I know is not me'''''sasa nataka niutumie Muda wangu wakukupa maukweli yako ambayo nina ushaidi wakutosha na sitowataja hao vijana ambao unawatapeli kwa kuwazingizia una mimba zao ili wakupe pesa ,Wakuowe,Hivi ulivyomjinga wa Akili unadhania kuwa na Mimba ya mwanaume ndo kuolewa nae? Mbuta Nanga'' kweli sitowataja maana nawafaham na ni mafariki zangu wa Mambo Vip Facebook so hawajanikosea na sitowataja ila Msichana umenichokoza yani umelikoraga na utalinywa sasa" wacha kwanza nimalize supu yangu hapa"

 Msafi wa Wa Nyama wote akiwapa maukweli yao ''Mnamsikia eee"

 Can you T.I.D. yani Kitu cha Mnyama haswaaa..mchezo wake Flora Lyimo mpya ndo huoo'kuiga ni bure jamani'mbuta nanga"


 Flora Lyimo Nguo hiyo alovaa hapa is her own Design 'Kitu cha mtoko wa Club ''Flora Lyimo LTD"Mwanamke najiaminije sasa"Ruwa Mangi''
Hadi imejiengezea mistari yenyewe hii picha jamani ni moja wapo ya picha zinazokuambia kweli na zinazosema yote"
Makamuzi yakiendelea huku Flora Lyimo /mbuta nanga akiwa uwanjani nikipaaza mistari ya wimbo wake Mnyama wa Wanyama full kumpa big support mannn!!
Hivi London imeishiwaje Watoto wakishua' yani nilikuwa naangaza macho mbele yetu hapa ndo watu waliko wakitizama show na ukiwaanalia basi hakuna hata Mmoja ambae alikuwa ni toto la kishua aliekuwa peke yake na yupo huru kufanya hii show kuonekana kama show ya Mnyama wa Wanyama ,hata Diamond show' ilikuwa hivyo hivyo yani London au niseme UK hakuna Matotoz wakishua(sure) anymore'' wengi wameolewa sasa wana Familia zao na wengi wameowa sasa hata wameshakwenda kujiunga na Familia zao'kama kina Honga ,Kina Kasongo kina Sporah ,kina Jesicca ,kina Bebii kina Schola ,kina Rhoda ,kina Angela ,kina Samera ,kina Vicky ,kina zubeda ,kina Neema mapacha na wengine wengi jamani nikiwataja hapa hapatatosha kabisa na hao ni daadhi yanilowafaham mimi sasa hebu fikiria wale mnaofaham nyie''na sana sana wengi wenu mnajijua Enzi zenu zile za ZEUTAM na Club Afrique '' yani mimi nilikuwa sijui hata kama kulikuwa na Club cha kwenda ukakutana na Watanzania kibao in London au niseme in UK the only Mtanzania niliekuwa namjua anaishi London nzima ni Jesicca'mbuta Nanga' wacha nilipoachana na Mzungu wangu wa miaka saba pamoja ,sii mchezo ni uzoefu wa mapenzi ya ukweli na kuyatimiza ipasavyo jamani,Mmimi naamini sana Unapompenda Mpenzi wako mnapendana kiukweli na hasa kuishi pamoja'Anyway  'sasa nikaingia kujiunga na Facebook 2008 ''nilichelewaje sasa''na ndipo kujiunga Friends with Black People in there which mpaka sasa najiuliza hivi ni kwanini Facebook kila rafiki ambae alikuwa anakuja kuniomba urafiki au niliokuwa nawaona kuwa Add kama Marafiki walikuwa just Black and of Tanzania? and nikaenda kujiunga na Myspace' na huko wengi wao walikuwa white tena vijana wadogo wadogo kwa wingi 'basi mpaka leo sijafuatilia Myspace tena nilikuwa nafuatilia Facebook kwani nilikuwa nakutana na hao Black kutoka Nyumbani na nilipokuwa na wasoma Kiswahili chao nilikuwa nasikiaga raha sana na kujisikia nipo Home'' kweli kwa mtizama wangu na kwa miaka niliyoishi hapa UK LONDON ni kwamba kuna mitandao mingi sana bado inahusu Ukabila,Siasha na Ubaguzi fulani fulani hivi'Ila kizuri ni kwamba upo huru kujua unachokitaka ,unachokifanya na unachokitafuta huko 'na ndiyo maana narudia tena kusema msishangae kuona Msanii amekuja hapa UK na show yake ikawa kama ya VIP only 'yani hakuna watoto wakisua tena ''ni heri kufanya Show zenu kule Home kuliko kuja kuzifanyia mahali kama UK '' huo ni ushauri wangu tu'' au labla uwe Msanii ambae anapiga Nyimba za kizamani sana ambazo zitawashughulisha Watoto wakisua wale wazamani ambao siku izi wapo na Familia zao wanaweza kutoka kwa Mara moja kuja na ikiwa wamempaka mtu wa kuwaangalilia Watoto wao au Mtoto wao'' ni hayo tu kwa sasa jamani poleni kama kuna niliwagusa na nilowataja hapa siyo Mchezo mlikuwa ni Moja wapo ya Watoto wakisua waliokuwepo UK na kujitokeza kuwa support wasanii wao wanapokuja kumwaga radhi majuu'' 
Dont forget to FOLLOW THIS BLOG and to be  back here today kwa mapicha na Habari moto moto zilizowaka jana ''

Saturday, 29 June 2013

I LOVE SREET MODELLING PHOTO'S '' FLORA LYIMO FASHION DESIGN ON SHOW'' KAMA UONAVYO NJIANI''MBUTA NANGA!!

 HEBU PIGENI MAHESABU FASTA FASTA'' Mteja kanunua nguo 14' kila moja ni £65 'na anataka nimpunguzie ni muuzie kwa £60' je anipe how much ? Mbuta Nanga!!
 Mchagga napiaje mahesabu fasta fasta 'hadanganywi mtu hapa''mbuta nanga!! Mwaiona vizuri ee,,Flora Lyimo Designer anawatengezea kila kitu kwa yaliyopo na yaliyopita yote nayarudisha ''

 Nimeinama nimeinuka nimekiokotaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 Hhahahaaaa' NO COMMENTS''MBUTA NANGA"

Your Flora Lyimo Fashion Police CEO and Designer ''
Unaweza kumpigia sim au whatsApp yeye anytime'' +44 (0)7787471024 But kwa Mambo ya Biashara ZAIDI 'hakuna utongonaji''She is OFF MARKET'' Muke yake African King wa Ukweliiii" Mbuta Nanga' no joke'ooooh"
Enjoy your June -end week" FLFP"