KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 31 May 2013

BY: FLORA LYIMO: MBUTA NANGA!! FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 31.5.2013 HUYU NDO KATUFUNGIA MWEZI WA MAY"

 Yani hapa mngemuona msingeacha kumgeukia kama hawa hapa pichani walivyobakia kushanga huku wakitaka kuingia kwenye basi aliloshuka msichana huyu baada yakuulizia ikiwa laenda anakotaka kwenda akaambiwa haliendi ndo akashuka na kukutana na Flora Lyimo yupo tiyari kumfyetua"chezea Mpiga picha wa ukwee Flora Lyimo Photographer' ,wakuwachambua wachafuaji washughulini zaidi na hata yale yaliyojificha kuyafichua'



Flora Lyimo Fashion Police:
Yani huyu msichana ni bint mdogo na sijamuelewa ni kwanini haswa mchana huu ajipake sijui ni poda alafu kawa mweupe wa majivu yani poda yaonekana kabisa na kila mtu alikuwa anamgeukia yeye'' hivi hizo makeup zakutaka muwe weupe mnadhania kuwa mweupe ndo kuingia moja kwa moja Mbinguni au ? hebu nipeni jibu jamani maana kuna wengi sana wameharibika uso na viungo vyao vya mwili wakitumia mikorogo"  have your say and don't forget to FOLLOW THIS BLOG"

Wednesday 29 May 2013

BY :FLORA LYIMO~ HHAHHAA MAPYA YA ULIMWENGU' HII NI MUST WATCH >TANZANIA TO DENMARK Official trailer 2013


I CANT WAIT KWA KWELI ''ALL THE BEST MY DEARS!!

BY: FLORA LYIMO~ HII NI KWA WALE WASANII WANAOHUSIKA APA NA NDUGU ZANGU WATANZANIA!!!

FLORA LYIMO MTANZANIA HALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO"
HARD TALK. JAMANI WASANII WALIOKUWA NA SHOW ZAO WEEK HII. LADY JAY DEE .MWANA FA NA WENGINE. HONGERENI SANA KWA KUAIRISHA SHOW ZENU KWA SABABU YA KIFO CHA MSANII MWENZENU NA NDUGU YETU ALBERT MONGWEAR. Ushauri wangu kwenu ni kwamba Fanyeni show ya wasanii wote kwa pamoja .IJUMAA na viingilio vyote pesa hizo ziwe kwa ajili ya mazishi mazuri ya marehem na Familia yake. Hivyo mtakuwa mmefanya kitu cha maana sana. Na vile vile kuzipiga nyimbo zake most of the show hiyo. Na pia Clouds FM hongereni sana na endeleeni kutupeperushia nyimbo za Marehem Albert .kwani wanaosema msipige ni Walevi hawajitambui. Mbuta nanga. MSINGE PIGA WANGESEMAJE NA WASHABIKI ZAKE KWA JUMLA?. JAMANI WATANZANIA TUJIFUNZENI KUONA MAENDELEO YA WENZETU NA KUYAFURAHIA BADALA YA KUWAPOROMOSHEA. NI HAYO TU. NOW TUWAOMBEE MAREHEMU KWANI WAMETUTANGULIA TU.SAFATI NI YETU WOTE. R.I.P.

Tuesday 28 May 2013

BY:FLORA LYIMO~ SIKIZA WIMBO WAKE HUU SHE GOT A GWAN & KILOCHOMUUWA KIJANA WETU WA BONGOFLEVA MBICHI MBICHI NDO HICHI SOMA HAPA!!

Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
May God give you peace brother.

BY:FLORA LYIMO ~ BREAKING NEWS' MSIBA UNAOMIMINWA MITANDAONI NOW KAMA MVUA' SO SAD R.I.P "


  • DAH! bado nashindwa kuamini nna chokiskia na kukiona kwenye Media...
    Like · · · 3 minutes ago ·
    • 4 people like this.
    • Flora Bahati Lyimo POLENI SANA JAMANI ...SAD TO ANYONE!!
      1. RIP Albert mangwear inauma ,inasikitisha gone too soon bt we hv no way kila m2 ataonja umauti..tulikupenda mungu amekupenda zaid....mungu akulaze mahal pema peponi amen..♥♥...
        Flora Lyimo Fashion Police CEO/Founder"
        Poleni sana wafiwa ,my dears sijapata habari kamili ya kilichosababisha kifo chake nikipata nitawaleteeni hapa hapa" kilichopo sasa hivi nikumuombe afike salama kwenye hiyo safari yake aloianza leo ya kwenda Mbinguni''

BY:FLORA LYIMO~ GET FLORA LYIMO FASHION POLICE MAY OCCASION DRESSES HERE'' KUIGA NI BURE ILA KWA PESA ZAKO'MBUTA NANGA!!

Flora Lyimo Fashion Police; now kuniiga ni bure na mahali pakuniga ndo hapo nimewawekea  mwishoni mwa picha hizi"

Vaa your Dress and dance with it ki Taarabu zaidi hata yoga ina huu" mbuta nanga!!
 wahini huko jamani kuna nguo za kumtoa nyoka pangoni"





 Hata kwenye mkeka mwekundu ndokabisaaa ina huuusikaaaaaa!! mwaona mambo lakini msiseme sijawaambia nakoyatoa magauni yangu na kama una bahati pia unawezakukutana nayo T.K.MAXX 'Ila kwenye maduka yao ya mijini na siyo yale yakule vijijini"


Hii nguo imetengenezwa ka adabu mbili " yakuketi na yakusimama' si mmeiona ee" chezea  magauni ya kwenye mikeka mwekundu na yawana Taarabu full Rusha Roho keti chini wapate lakusema simama uwafume midomo yao" mbuta nanga" 
ANYWAY TO GET FLORA LYIMO MAY OCCASION DRESSES GO TO "
http://dressesbylara.com/

Tell: 07960862494 TS Sagal
Wapo mji mkuu London ' 37 Great Titchfield Street,W1W7QZ
Naikiwa unataka upewe kwa bei powa wasiliana na mimi nikupe code " ili ukienda wakupe kwa bei powa" 
WhatsApp +44 (0) 7787471024
Simnaona navyowapenda eeee" mwengine asingewaambieni ng'oo"

BY:FLORA LYIMO~ MBUTA NANGA" HII NI KWA WALE WAJUAJI WAKUSEMA 'HAPA MTASEMAJE SASA!!!

Sasa mtu akipiga picha hivi na hadi kufikia mitandaoni mtamlaum muweka kwenye Blog au alojiandaa and Happy kufyetuliwa' watu wengine wana maisha ya Freedom to do what they are happy with and not what they are not happy with" hakuna kuishi maisha ya kujisinyaisha kama milenda ilokosa maji'' the only bad thing in here is KUMSHIKA NA NGUVU ''YANI HATA MTU AWE UCHI WA KUZALIWA HUNA RUHUSA YAKUMSHIKA KWA NGUVU (UBAKAJI) HUU NI MFANO TU" NO RAPE (UBAKAJI ) WA MTU AU KITU CHOCHOTE UNAORUHUSIWA" RAPE IS A RAPE "
ANYWAY' Semeni yenu wajuaji wakusema and don't forget to
 FOLLOW THIS BLOG"

BY: FLORA LYIMO ~ MAPENZI YA CHINI YA MTI'UKIONA HIVI JUA LINACHOMOZA ULAYA'HIVI MBONA SIONAGI HIVI WHEN HAKUNA JUA"MBUTA NANGA!!

 mapenzi ya juani na ya mvuani yapi matamu''mbuta nanga!!
Waone sasa ila hawa watakuwa wanapenda kujionyesha wakidonoana yani jana was like so many of them walikuwa wanadonoana donoana kama nziwa vile'' usikose kurudi kuona wengine nilowafyetua pia''yani mchana kweupee watu kibao but hawakuwa wanajali kabisa kwani wao hapo wanajiona Dunia ni yao peke yao " Anyway karibu tena 'and don't forget to FOLLOW THIS BLOG!!

BY:FLORA LYIMO ~ ALBUM (3) YA THE SPICE WEDDING OF ABBLA ILOFANYIKA ON 25.5.2013 AT SUN LOUNGE BANQUETING WEMBLEY " HII NI PARTY YA NNE YA HARUSI HII NA YA MWISHO !!

  





 Love you my dears' Thank you so much for your love and support 'keep loving your Flora Lyimo Trade Handbags" 

 The best African Fashion Police ' the one and only Flora Lyimo Fashion Police Blog'where you can get Hot Handbags trade and design by:Flora Lyimo "WhatsApp OR call +44 (0) 7787471024 











Mbuta Nanga ' kwa hiyo nguo zingine ni zakuvaliwa bila kuketi '' Ruwa Mangi'






Palikuwa hapatoshiiiiiiiii''yani was all vigelegele na shangweeeeeeeeee" All the Best Maharusi wetu"
Jamani msisahau kurudi Album ya mwisho ya hii Spice Wedding will be coming soon " Don't forget to FOLLOW THIS BLOG"