KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 16 September 2012

*IN FLORA LYIMO BLOG* FASHION POLICE WA FLFP OF 16/09/2012 NI MVULIWA CHUPI NA BEGI LAKE KUBWA" ANGALIENI HASARA YA HAYO MABEGI MAKUBWA SASA KINA DADA/MAMA" UCHI HATARII!!

 Unaweza kumtambua na chupi yake kubwa?

 Hapa bado wanatembea wanabiga maumbea yao hapa hata usikute amsema mwenzie kwa kuvaa machupi makubwa .mbuta nanga""
 Amini usiamini picha hii inakuhakikishia yote,hapo yupo ndani ya mkahawa huo "


 Hapa bado hupo ndani anatoa oda yake na hapo pembeni kuna mwanaume ambae nilimuona alikuwa kamuona na kumtizama kweli "lakini hakumuambia kwani watu wengi huwa hawatakuambia maana wanaona watakuaibisha ." so wanakuacha tu hasa wanaume tena" ndo basi hapo yeye atakuangalia mpaka asahau na anakokwenda au anachokifanya "


Yes Costaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! for anyone hasa kina Dada wapenda machupi makubwa leo wanapata nunua moja pata ingine bureeeeeeeee!! walikimbiliaje hum sasa"
"Na *Flora Lyimo Fashion Police* alikuwepo tayari na Camera yake.chezea yeye hapana kabisaa" mbuta nanga"
Anyway ..FLFP SAY: Kama unabeba hayo mabegi makubwa na umevaa nguo nyepesi (fupi)huku ukilibeba begi lako begani tambua wewe utakuwa my next mvuliwa chupi na begi lake kubwa in Flora Lyimo Fashion Police...Hii ilikuwa jana at my own City of London Liverpool St" kaaeni mkijua natembelea your City anytime"Nani atafuata?!!
PICHA ZOTE ZIMEPIGWA NA "FLORA LYIMO"

No comments:

Post a Comment