KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday 13 February 2013

THE DAY KUMKUMBUKA MAREHEM WHITNEY HOUSTON ALIKUFA TAREHE 11/02/2012 MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI AMEN! ENJOY WIMBO WAKE HUU !!

 Hapa natizama TV yani siamini macho yangu Whitney Houston hatunae tena siku hii 11/02/2012" Kweli kifo kiboko yao"
Aisee Hata huyo Mtoto nyuma yangu alilia yani hii siku sitakaa nisahau yani nilikuwa na mtoko na siku hii hii jioni hii hii ndo Whitney Houston alikuwa anaagwa kanisani kwenda kupumzishwa kwa Amani ,nilitamani sana kukaa na kuyatazama mazishi yake mpaka mwisho lakini ndo hivyo tena ,yani Leo I wish nisingeenda maana hata shukrani yao hao nilokwenda kwenye shuguli zao siioni yani Kweli nimeamini Mimi ni mtu wa Mungu na tenda wema vile Mungu anitumavyo na wala nisiporudishiwa na mshukuru Mungu tena sana" Yani sijui wao hujisikiaje Mtu aje kwako kukufanyia kile ulichomtaka akufanyie alafu yeye shughuli yake inafika alafu unamchunia na masababu kibao" yani Mwenyewe anajijua and you know what ,Malipo ni hapa Duniani na Kila mtenda Mema hulipwa na Mungu mwenyewe" Habari ndo hiyo na imfikie popote pale alipo "
HUU WIMBO IKIWA HAUTOKUDONDOSHA CHOZI BASI WEWE HUNA MAPENZI KABISAA UNATAKIWA UKAMUONE DACTARI!! FLFP SAY IT WITH LOVE"

4 comments:

  1. So, while I am no roving reporter I am endeavoring with my menial
    reporting skills, to bring you. " Earlier today some cruise ship struck land in Alaska. Due to the recent horrifying terror attacks and other such couple of events people want to be aware and alerted of the whereabouts of the nation.

    Feel free to surf to my web page :: Latest Daily News

    ReplyDelete
  2. But it's always wise to check in with a doctor before you start using a supplement regularly. What you should do is to focus or target a particular group of muscle for once or even twice a week. This type of exercise will increase your cardiovascular endurance, improve your flexibility, increase your muscle strength, improve your balance and can actually reduce the risk of osteoporosis.

    Also visit my weblog; www.carquack.com/index.php?do=/RaymondWi/info/

    ReplyDelete
  3. The advantage about the funny pictures is that you can
    watch them along with the family. The goal with a funny picture
    is to have the photograph be almost a blank canvas for you to put the punch
    line on. While almost every cat is a work of aesthetic beauty, they are often animals that combine silliness and a fierce disposition.


    my web site; nukad.expl.us

    ReplyDelete
  4. Very often, these people give up before giving the program
    a real chance to work. If you weigh yourself everyday
    or every other day and see that you've gained weight, your motivation may go down and you'll be likely to give up.
    The decisive factor is that men would want to show themselves
    as hot and rock solid before the fashionable ladies as ever.


    Also visit my page ... women fitness tips abs

    ReplyDelete