KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 25 March 2014

BY FLORA LYIMO '' BREAKING NEWS..YASHIKA BAGEERATHI SHE IS TO BE DEPOTED LEO SAA NANE'' ONA PICHA ZA KULE WALIKOWASHIKILIA YEYE PAMOJA NA WALE WATANZANIA WENZETU 'FLORA LYIMO ALIPOKWENDA MAHAKAMANI TO GIVE HER SUPPORT'

 Hii ni baada ya Cara Delevingne the Celebrity Tweeted Support''Like Flora Lyimo alivyo Blog and Facebook for the Support of Wale WATANZANIA WENZETU KULE Detention last week'' Yani if Ndugu zangu watanzania (Baadhi) Mgekuwa na Moyo Upendo na Umoja Kujitokeza kuandamana kule YARL'S WOOD '' ambako kama mnavyo ona Picha hizi nilizopiga na pia kunyimwa kupiga na kuwakatalia huku nikiwaambia kwamba tunahaki yakujua mijengo wanayowaweka Ndugu zetu na Family vile vile Friends zetu yakoje''na Picha ni njia ya pekee ya ukweli wa kila kitu'' maana picha hazidanganyi'' sasa ona wenzetu walivyojitokeza kuandamana at the Home Ofiice jana' yani hawa wengi wao ni wanafunzi wa huyu Msichana Yashika Bageerathi ambae yupo huko Detention akisubiria to be deported leo mida ya mchana 'sasa Habari au niseme kesi cha huyu Msichana ni kama cha Yule Mdada mtanzania mwenzetu niliekwenda kumsaidia kwa barua na vile vile for anything that HOME OFFICE Wangekihitaji kutoka kwangu''I went there nikiwa tayari for anything'' Yani sikuwaogopa kwa lolote'' and i will never waogopa kwa lolote''Always will tell them the truth'' what they are doing is wrong'' and this detention should be close and let People live where they want to live''' I hate these STUPID AND STRESS RULE'S '' Hawa viaongozi wenye kujidai wanauwezo wakusema no'' ndio wanaotusababishia wenzetu kupotea na mandege na mandege kulipua magorofa'' yani hata aina zote za kulipua lipua 'husababishwa na watu kunyimwa haki zao'' and if you have no life ,nothing you feel left for you in this world ''why dont you just do just that'' not to die alone but to die with people or make sure the world is in tears when you are gone for people not let you live your life the way you want'' and you dont ask much at all ,all you ask is the passport or the right to live in The Country that you want to live in''Back to Yashika'' huyu msichana yupo hapa detention na Mama yake pamoja na ndugu zake wengine wawili,,yani hapa ni Mama na watoto wake watatu ,,sawa sawa na Yule Mama Mtanzania mwenzetu na watoto wake wawili'' ambao kesi zao zimegawanywa 'ili wapate nafasi na kizuizi cha kuwarudisha au kumrudisha mmoja'' sasa ikiwa upo chini ya miaka 18 'kesi chako ni kingine'' na ikiwa upo over it''ksesi chako ni kingine na hatari kurudishwa kwenu mara moja'' sasa hiyo ndiyo sababu huyu msichana yeye anarudishwa kwao japo she is here kwa muda mrefu sasa na vile vile ni mwanafunzi ''Ila yeye atarudishwa bila Mama yake na wadogo zake wawili sababu wao wapo chini ya miaka 18 na Mama yao ni lazima abaki nao ili kuwaangalia'' sasa huyu Dada yao kwa kuwa she is over 18''Yeye atarudishwa leo ''je atakwenda kuishi na nani ? Jamani hivi Watu wamekosaje utu wa Binadam siku izi ? what a stress unampatia mzazi na pia Unae mrudisha kwenye Nchi ambayo hivi sasa hata hajui barabara kama zina lami au majani anymore tangu alipotoka huko? I want you HOME OFFICE To stop this stupid Rules before anymore Plane kupotea na abiria wake au kulipukia mamijengo'' its all because of nyie HOME OFFICE na Viongozi wa Nchi zote ambao mnaweka vizuizi vya kijinga'' why you didnt stop them kabla hawajaingia na kuishi kwenye Nchi hizo over 20 or even 2 years? You should stop them kabla''but kwasababu you didnt and are tiyari kwenye Nchi hiyo and are crying to live where they want you to let them live'' let them'' hadi watakapo vunja sheria'' and uwachukulie sheria ya haki kama everyone else'' I DO THINK IS ABOUT THE TIME'' HOME OFFICE TO CLOSE THAT YARL'S WOOD ''SIYO VIZURI KABISA KUWATESA WENZETU HUKO'' HUKO NI JELA NA NI NJIA MLIYOITUMIA YA UTUMWA WA KARNE HII'' YA 21'st CENTRE'' NI UTUMWA HUU''

Flora Lyimo akiingia Mlango wa Mahakamani hapa YARL'S WOOD'' DETENTION UK ''


Hapa ni mahali pakukaa ukisubiria kuhudumia kwa yale yalokuleta hapa ''

Hapa ni picha tu.jamani imanifanya kama mjamzito''mbuta nanga'' Anyway hii sanduku nilimpelekea Mdogo wetu na Mtanzania wetu huku ndani ambae ndie nilie kwenda Mahakamani to give her my support 'so aliniomba sanduku 'nikaona nimpe hiii ya kwangu i dont need it for now'' and also ninazo nyingi za kunitosha for now'' Ila walinizungushaje nayo''Yani is like hawakupenda kabisa kumletea ni vile hawakuweza kunikatalia'' yani ilikaguliwa utadhani nilikuwa naingia kwenye ndege'' hata kwenye ndege wanashindwa kukagua hadi wengine wanaingia na passport za wizi ''ila hapa sijui walidhania ningemuweka humo huyo Mdada mzima'' hahhaaa'' kweli they need to close it now''
 Haya ndiyo mabasi yao ya BURE''hebu jiulize kuna cha bure kweli Ulaya hii kisicho na Faida? Yani hapa wewe jipeleke ukiwa huna makaratasi alafu uone hivyo vyumba humo ndani kukoje'' mbuta nanga'' Wazungu Waingereza wanaakili hatariii'' wameona wakitoa mabasi ya BURE mtamiminika huko kwenda kuwaona Ndugu ,mafariki na Familia zenu huko''na hapo hapo ukiingia unaona umeanza kuulizwa uonyesha kitambulisha au unapoishi ni wapi ''na hapo hapo unajikuta ukitetemeka na ukiwa chini ya ulinzi''chezea wao'' 
na TIME ZAO NI KAMA HIVI' DEPARTS FROM BUS STATION 13.40PM. 15.40 PM 17.40PM NA 19.40PM
ARRIVE AT YARL'S WOOD.13.55 PM 15.55PM 18.00PM NA 19.55PM
Mwamuona kwa ukaribu eee''siyo Mwingine ndiyo The big Support of hawa ndugu zetu huko Detention '' wanaosubiria kurudishwa wasikopenda kuishi au ambako washakusahau kabisa'' All i can do now is Praying for them to stay in UK FOR LIFE'' 
HAPA  NADHANI UNAPASOMA VIZURI '' SASA WANAJIDANGANYA AND WHAT I CAN SAY 'IS NO'' YOUR PURPOSE IS TO MAKE THEM STRESSED UP'' Yani unawasababishia na ugonjwa wa Moyo ''and also make other people who care like Flora Lyimo to do things that will only left the world in tears'' Kama hao walioamua kuishia na ndege''only God knows what happen and why waliamua kuiba passport na kuingia kwenye hiyo ndege which mwisho wake imeishia baharini na bila kubakisha mtu hata mmoja'' yani all those to me look like STRESS ZA KUNYIMWA HAKI ZAKO'' ANYWAY ,SINA MENGI YAKUSEMA ANYMORE''NOW IM JUST PRAYING FOR YASHIKA TO STAY IN UK AND THAT YARL'S WOOD TO CLOSE DOWN ''AND LET EVERYONE IN THERE TO BE FREE TO STAY IN UK '' GOD IS THERE WITH THEM'' GOD CAN MAKE ALL THING POSSIBLE'AMEN'' 

No comments:

Post a Comment