KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 2 June 2013

FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 02/06/2013 " SHAMIM'S WEDDING CEREMONY AT MILIMANI CITY' OF 8020 FASHIONS ' KWANZA HONGERA ZAKE JAMANI KWA KUOLEWA 'ILA HIZI NGUO NA PICHA ZAO HIVI NDO KWELI ALIOLEWA HIVI? MBUTA NANGA' KWELI UMZANIAE SIYE'

 Shamim my dear,nani kakudanganya sasa hivi ndo vaazi la harusi kweli..Ona sasa kifuani ilivyokubana kukukata haswaa na huo mtandio umeshoniwa kwenye nguo alafu ukaamua kuziba mkato wa hapo kifuani kwa kukichomokea hivyo ndani ya maziwa au'' Polee yani kweli sikuzingatia ndo ungevaa hivi..na nywele jamani'polee'aisee" wachaniishie hapa' 
Shamim my dear,nani kakudanganya sasa hivi ndo vaazi la harusi kweli..kama siyo on the Harusi ulivaa hivi pole ..but kama ndo hivi aisee inabidi tuifanye upya haiwekezani uanguke hivi on your big day"Mbuta Nanga'mimi nakuambia ukweli waliokuja na Nyeupe zao sasa ndo pengine walikuponza wakapendeza wao afadhali kidogo kukuliko" na Shemeji imekuwaje hakujua anakuowa na utavaa nini ili hata mmechishe hata kwa kiatu alichovaa''

 Hongera zenu ila ifanyeni tena jamani watu mvae mpasavyo 'hasa Shamim wa 8020 Fashion's au hizo ndo za 8020 Fashion's" Ruwa Mangi"
 Gauni kuanzia kiunoni nzuri sana''Ila siyo la Bi Harusi ' na juu ndo kabisaa sijui nisemeje. na Bwana Harusi ndo hayupo nae kabisaa'' yani nikama haikuwa Harusi yake''Mbuta Nanga" mechisha na kiarusi arusi amekiacha Home i think"
 Waliohudhuria na kuvaa Nyeupe zao na kuhakikisha angalau wamependeza kumshinda Bi'Harusi' sijui wanaurafiki gani na Shamim' but wangemshauri mwenziwe avae ki Bi'harusi harusi na siyo kialikwa alikwa"

 Hiyo nguo sasa ona kwenye kifua inavyomkata yani imembana nikama hakupata muda wakuijaribia' I wish ungenifahamisha nikakurushia Gauni la Harusi tena kwa bei sawa na Bure kwa Blogger Fashion Mwenza HATARII"
Pole sana Shamim' alokuwa anakushauri ajipange sasa kakuharibia your Big day kinomaa" anyway mimi nihayo tu ,maana nilikuwa na subiria sana HARUSI YA MWENYE 8020 FASHIONS SHAMIM' kwani mitandaoni ndo the talk of kimnya kimnya" ila mimi napenda kukuambieni Ukweli ' let's do it Again au mwaonaje jamani'' and kwa wale wenye mahasira zenu msijezimalizia hapa 'yani hakuna COMMENTS ZA MATUSI ZINAZORUHUSIWA HAPA..SEMA KITU CHAKUWEZA KUMBADILISHA MTU " AU WAPONGEZE PIA..MAANA HATA MIMI NAWATAKIA KILA LA HERI NA HARUSI YAO"And don't forget to FOLLOW THIS BLOG"
Flora Lyimo Fashion Police"

27 comments:

 1. Mbuta Nanga mie napita tu...

  ReplyDelete
  Replies
  1. Shamim hana damu ya nguo hiyo nguo angevaa mtu mwingine ingemtoa bomba zeze anatumia nguvu nyingi kuwa fashionista angevaa simple angependeza mbona ana shepu la kufa mtu, hii nguo ya harusi ni nzuri nimeipenda rangi zake kazipangilia vizuri ni color of the year mint kasoro yake hapo shingoni kuna unfinish business utasema fundi aliambiwa harakisha akatupia kamtandio awahi, nywele tumsamehe aliamkia kwenye honeymoon suite baada ya ligwaride la harusi akazirudishia na kibanio, kuhusu shemeji angejivalia suti ya rangi moja tu angependeza au kuna michanganyiko mizuri lakini sio hiyo hapana kaonekana kama mfanyakazi wa benki jumatano asubuhi anawahi kazini sio suti ya harusi wala party na hicho kimsitari kwenye suruali utasema afande wa sentral.kwenye sherehe ya ndoa lile lemba la akdi limezidi kimo angeweka kalemba kadogo tu mhhh shamim umependeza lakini kwa standard yako usitusikilize waosha kinywa unafuraha sana hapo ulipo mapenzi mapya na shemeji hata sura yako inaonyesha usitusikilize mwaya

   Delete
 2. mmmh jamani kweli yani mimi sikutegemea kabisa yani hiyo nguo imemkaba shingo na kifua......hivi kweli kwenye your big day utavahaje hivyo?????kwakweli hakupendeza kabisa but the decoration kidogo ndoamejitaidi.Shamimu wa 8020fashion umetoa kali ya mwaka

  ReplyDelete
  Replies
  1. fundi alieshona hili gauni ndio yuuule alimshonea lile la ile shughuli ya wanawake alipata sifa nyingi sana kapendeza akaona arudie tena pole shamim siku zote sinema nzuri part one

   Delete
 3. UMEONAEEE,MIMI PIA NIMEBAKI KUSHANGAA SAANA,HIYO NGUO YA BIARUSI SHINGONI INATIISHA ADI URUMA JAMANI,IMENIBIDI NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA MAANA NIMESAHAU MIWANI YANGU OFISINI,SASA NANGALIA GAUNI HILO NA SUTI YA BWANA ARUSI NABAKI WHAAT,HUYU NISHAMIMU AU NANI?NGUO IMEMBANA MAZIWA AWEZI HATA KUGEUKA MBUTA NANGA,SHEM WETU NAE SURUALI HIYO MH,NAKOTI YAANI RANDI SINZURI,MH NIMEBAKI MDOMO WAZI,

  ReplyDelete
 4. huna lolote wewe,hebu jirekebishe wewe na mavazi yako kama mama ntilie na make up zako hizo ,hujui hata kuvaa unajifanya kukosa wenzako

  ReplyDelete
 5. huyo jestina naona marafiki wa Mange wa zamani amewaganda ile mbaya kutwa anawafata fata sijui ndo anataka kuchukua nafasi ya Mange kwenye group. anachekesha

  ReplyDelete
 6. hajapendeza kabisa.
  wwell said flora

  ReplyDelete
 7. achene uongo shamimu did this purposely coz ni ndoa yake ya 2. mlitaka avae veil tena? nyie ndo hamjui tips za second wedding.alipendeza sana kwa reception yake uongo tuache. kuhusu bwana harusi kweli rangi ya koti haikuwa pouwa but kwa shamimu let us give the credit when is due......

  ReplyDelete
 8. Jamani mwenzenu hii ni Haruc ya pil,so kwa wanaoelewa wanajua kwamba HAKUTAKIWA KUVAA WHITE GOWN,ndo mana katoka na style yake ebo??ila kwel nguo haikuwa ya kiharuc ameonekana kama mwalikwa,angalau angevaa pink akashona kama Shela..waliovaa white wamependeza sana..ndo tujifunze,unaweza kuwa na hela ukaingia gharama but ukatoka kituko,ilhal wasokuwa na hela ndo wanaopendezaa na Shela zao za laki nane

  ReplyDelete
 9. mbona humsemi kiki aliyevaa pazia kwa madai yake lace wakati ni pazia hilo

  ReplyDelete
 10. MY DEARS MUNGU ANASAIDIA TUPO PAMOJA SIKU INGINE TENA HII...
  Asanteni kwa kuja hum nakushiriki kumrekebisha mwenzetu atakae kuwa anaolewa kesho maana hii imepita now na ndo maana twajifunza kwake..UMMZANIAE SIE''
  Anyway ...Mimi sijasema angevaa NYEUPE...nilisema hajavaa KIHARUSI KAVAA KIALIKWA...NGUO ZA HARUSI SIYO LAZIMA NYEUPE..KAANGALIENI HARUSI NILIYOHUDHURIA JUZI...MTAPATA MFANO..MSICHANA WETU ALIVAA NGUO MARA MBILI..ILE YA KAMA YELLOW NA ILE YA NYEUPE LAST ONE..SHAMIMU angevaa nvuo ya kiharusi na mbali na nyeupe na pia huyo mme wake kumechisha nae siyo hata kila kitu ila hata kiatu basi..yani ilikuwa ni full mchemsho alafu zingatia ni harusi watu walikuwa wanamsubiria kwa ham kumuona..kumbe ni zizzzzzzzzzipodopu'' sasa hata sijasema waliovaa white wasingevaa white ..yani niliimanisha walipendeza kumzidi huyo biharusi,Shamim,na KIKI alipendeza sana the dress ungeweza kuzania yeye ndo kafanya party yake ya harusi..so nice na siyo pazia kama ulivyosema mdau hapo... sasa mjifunzeni nguo za harusi hasa hata zile za Kislam zipo nyingi nzuri mno..

  ReplyDelete
 11. kwiwkwiwkwi hata mi kaweli sikupenda nguo ilivyombana kifua na bwana harusi ndo yuko of point kabisa, na huyo kiki loooo anajidai class lakin wala ajitambui wakati mwingine

  ReplyDelete
 12. Dada flora shikamoo.ndo maana nakupenda kwa maukweli yako..yani umesema ukweli mtupu hajapendeza kabisa na mme wake ndo 0/0. kweli wewe ni flora lyimo fashion police wa ukwee upo juu kama muke ya Obama''

  ReplyDelete
 13. FLORA UKO SAHIHI HAJAPENDEZA HATA KIDOGO.
  HATA KWENTE RED CARPET ATAKUWA WA MWISHI NA COLOUR ZA KIZAMAN

  ReplyDelete
 14. ahahahahhaha nimecheka mpaka sina hamu dah mchesho huu ni wa harage la mbeya likagoma kuiva lol

  ReplyDelete
 15. TEHE TEHE TEHE,SIKU ZOTE NASOMAGA HII BLOG LAKINI HAKUNA SIKU NEMECHEKA KAMA LEO.KHA!FLORA UMENIVUNJA MBAVU KWA KWELI.SASA HUYU SHEMEJI NAE ANAENDA MICHEZONI?MBONA KAMA AMEVAA TRACKSUIT?KWA KWELI MAVAZI YAO NAYAPA BIG NOOOO.
  KAMA NI SHULE YA DAY WARUDISHWE NYUMBANI WAKAVAE UNIFORM.

  ReplyDelete
  Replies
  1. INAWAHUUUUU! ANGALIENI YALIYO YENU JAMANI! MUMUACHE MTOTO WA WATU KAPENDEZA.

   Delete
 16. kwa kweli as a learning point nooooooooooooo not at all ila vi baby vimependezaa

  ReplyDelete
 17. yaaaaaaaap upo sawa wajina wangu shamimu ni kioo changu sana katika mambo ya urembo na fashio hata mm mwenyewe nimeshangazwa na kituko alichovaa siku yake muhimu kama ile jamani hebu tupunguze mambo ya kujifanya unick tunaharibu badara ya kujenga yani hapo angevaa white gaune angependeza saaaaaaaaaaaaaaaana

  ReplyDelete
 18. ushaur wa bure hata ukiwa unaolewa mara yan 8 ukavaa nguo isiyo white usikubar ur maids au kundi flan wavae nguo nyeupe lazima watakufunika tu. white s white asikwambie mtu. hao wenye nyeupe wamemzid shamim. ilo gaun lake angevaa kwa kina lundenga angependeza na noah angepewa au angempa madamee rita akalivaa fainal za bss angependeza sana ujanja mwingi mbele giza bora

  ReplyDelete
 19. lol Flora Lyimo sikuwezi. ila ni kweli kabisa gauni la shamim ni zuri ila lingefaa kwa sendoff party not harusi yani it needed simple modification asinge zuia cleavage yake angeavoid use of two colors on a wedding dress lol. bwana harusi angepiga suti ya light blue na shirt ya white na viatu hivyohivyo vyenye light blue na white aisee angetoka bomba sana combination ingekuwa nzuri hatareee.

  ReplyDelete
 20. Bwana harusi kama kiongozi wa brass band...

  ReplyDelete
 21. weka nguo yake aliyofaa kwenye harusi part 1 morogoro hiyo ndo ingekuwa ya mlimani city angewaacha mbali wote, alichemka sana.

  ReplyDelete
 22. Duh, Kwa kweli Shamim umechemsha mbaya!... Bwana Harusi ni mgambo? duuh dada utafikiri anaenda kwenye kutoa mahali ya mdogo wake!.. ila hongera kwa kuolewa olewa!... wengine hata moja wanaitafuta hawaipati.

  ReplyDelete
 23. BWANA HARUSI MUUZA SEMBE YANI KUNA MAHALI WATU WAMETIRIRIKA COMMENT VIBAYA MNO ANA DUKA LA NGUO MAY FAIR , SHAMIM NI MNAFIKI MUONENI TUU HIVI WATU WANAOMJUA WANAKWAMBIA ACHA KABISA NI NOMAAAAAAAAAAA KAKIMBILIA MAISHA YA HARAKA HARAKA ASIJE KUWA KAMA JACK CLIFF HAYA WE MTAA WA PILI NDIO KUNA STORY ZAKE MIE HOI FLORA UMEMPA UKWELI SAFI SANAAAAAA WADADA WA MJINI KUTAKA SIFA TUU , KIATU ALICHOVAA PUUUUU MBUTA NANGA

  ReplyDelete