KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday 23 March 2011

SALA KWA AJILI YA KUWAOMBEA ,NDUGU ZETU  WA KUNDI LA FIVE STAR'S TAARABU WALIOPATWA NA AJALI KUBWA YAKUSHANGAZA MNO NA AMBAYO SIJAWAHI KUIONA MAISHANI MWANGU" NA VILE VILE KWA WALE WOTE WANAO WAHI KUTUTANGULIA KWA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI KWA BABA.

                                                         * NATUOMBE* 
Ee Mungu unirehem sawasawa na fadhili zako ,kiasi cha wingi wa rehema zako uyafute makosa yangu .Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhambi zangu . Maana nimejua mimi makosa yangu na dhambi yangu i mbele yangu daima, nimekutenda dhambi wewe peke yako na kufanya maovu mbele za macho yako wewe ujulikane kuwa una haki unenapo na kuwa safi utoapo hukum .Tazama wapendezwa na kweli iliyo moyoni nawe utanijulisha hekima kwa siri  unisafiche kwa hisopo nami nami nitakuwa safi , unioshe nami nitakuwa mweupe kuliko theluji.Unifanye kusikia furaha na shangwe MIFUPA ULIYOIPONDA IFURAHI ,USITIRI USO WAKO USITAZAME DHAMBI ZANGU UZIFUTE HITIA ZANGU ZOTE,Ee MUNGU UNIUMBIE MOYO SAFI UIFANYE UPYA ROHO ILIYOTULIA NDANI YANGU. 
Roho za maremu wote waliowahi kututangulia uzipokee kwa neema na mwanga wa milele uwaangazie baba, tuna amini kwamba wote njia yetu ni moja yakuja huko mbinguni uliko baba. tuliobaki twaomba utubariki baba mpaka hapo utakapo tuamulia siku yetu ifikapo . tunaomba hayo kwa njia ya YESU KRISTU ANAYEISHI NA KUTAWALA DAIMA NA MILELE AMEN.

SALAM MARIA MAMA WA MUNGU .UTUOMBEE KWA MWANAO MAMA ,ATUSAMEHE ZADHI ZETU NA ATUFIKISHE KWENYE UZIMA WA MILELE.AMEN.
RUWA MANGI LUIKANIE SHIWANA SHAFO MBEE.

ASANTENI SANA KWA KUWAOMBEA WENZETU MY DEAR'S.
          * LOVE YOU ALWAYS. MISS FB LYIMO.

No comments:

Post a Comment