KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 19 May 2011

* YOU BEEN SNAP * NDUGU ZANGU WATANZANIA KWA WALE MLONIPIGIA SIM NA MSG KUNIULIZA KUHUSU SEMINAR HII,,POLENI SIKUWEZA KUWAPA JIBU LENU MANA SIJUI MENGI KUHUSI HII SEMINAR..NA NINAVYO ELEWA MIE NI KINA MAMA/DADA. NA KWA MAELEZO ZAIDI PLS, NIMEWEZA KUWALETEANI NAMBA ZA WAHUSIKA.STAY BLESS NA MSISAHAU KUSALI" RUWA MANGI"


SEMINAR YA WANAWAKE WA KITANZANIA WAISHIO UK NI JUMAMOSI HII 21 MAY 2011...!!!

TA na TAWA UK wakishirikiana na mlezi wao Mama Balozi Joyce Kallaghe, wanapenda kutaarifu wanawake wote waishio UK ya kwamba tarehe 21 May 2011 saa saba mchana (1300 hrs) kina mama  wakitanzania waishio UK wanaombwa kufika nyumbani kwa Balozi kwa ajili ya Semina iliyoandaliwa.  Mjadala wa seminar hiyo utakuwa "Wanawake kama Wakala wa Mabadiliko" (Women as Agents of Change); ikiwa pamoja na Ustawi wa Jamii kwa ujumla - matatizo yanayowakabili wanawake na namna ya kusonga mbele.
Kutakuwa na viburudisho na vitafunio kidogo.  Atakaye weza kuleta chochote tutashukuru sana.  Vile vile itakuwa vyema kujua idadi ya watakaofika; jibu kupitia ujumbe huu au piga simu: Uli 07949903948 au Mariam 07903679317, kuthibitisha kufika kwako.
 Tafadhali mpe/tuma ujumbe huu kwa mwenzio ambaye hana access ya internet.

Tafadhali sana tuzingatie muda.Wenu
Katibu - TAWA

P.S:  Anuani ya Nyumbani kwa Balozi ni:
        3 View Road
        Highgate
        London N6 4DJ
"TAFADHALI MNAOMBWA MPIGE SIMU AU TUMA SMS KWENYE NAMBA ZIFUATAZO: ULI - 07949903948 AU MARIAM - 07903679317 NA KUWAJULISHA KAMA UTAHUDURIA SEMINAR HII."

No comments:

Post a Comment