*Kutoka kwa MISS FB*
MIMI NAPENDA KUWAPA POLE WALE WOTE WALOFIKA PALE MLANGONI 9PM NA KUKUTA MLONGO UMEFUNGWA NA WALE WENGINE WOTE WALOFIKA PIA, NA KUBAKIA KUPIGWA NA LILE LIBARIDI LOTE PALE NJE" JE WAHUSIKA NI KINA NANI ? NA TUNAPENDA KUWAFAHAM ,MAANA NI AIBU TUPU KWA WANZANIA WAISHIO UK .NA I HOPE BALOZI WETU AMESIKIA HAYO YOTE NA ATASAIDIA KUTUAMSHA NA KUUNGANA NA SISI KWA UZURI ZAIDI KWA VITU VYA HUHIM KUHUSU NCHI YETU KAMA HIZI ZA KUSHEREKEA MIAKA HII YA MUHIM 50YRS SI MCHEZO JAMANI ".NA WASILITUMIE JINA LA KUENDANA NA SHUGULI HIZI KWA MAMBO YAO YASIO NA MSIMAMO"
UKWELI>Mimi nilifika pale saa 8pm kwasababu zangu nyingine ,na vile vile ni karibu na my Blessing home ndo nikaona nkafanye maaandalizi yangu pale na kurudi nyumbani kujiandaa kuja kusherekea na wenzangu na huku pia nikiwa na marafik zangu home for what i cal a pass-by dinner and drink , so nilipofika nikakuta mlango umefugwa lakin DJ yupo pale nnje na anasubiria what he told me MTU mwenye Ufunguo aje kuwafungulia " so we wait pamoja now was 9pm. ndipo watu wakaanza kuingia ,Mpaka hata na wana Band walikuwa washafika'wakaniuliza vip mbona hawajafungua ,nikawaambia kama DJ yule alivyo niambia. Then ikafika 10pm bado hajafika mwenye ufunguo huo , huku watu wakifika pale mlangoni na VIMINI-SKIRT vyao na ile baridi yote yani ungewaonea huruma. then wakafika wengine ambao nawafaham ,wakaniuliza mbona hawajafungua? nikawaambia anakuja mwenyeufunguo ..so punde si punde Francia akawasili pia. nae kuona hakujafungulia akawa anatafuta mahali pa kula kwani mgeni wake alikuwa ananjaa..so nikawaalika kwangu ,lakini kwa kuwa watu hawajui ni saa ngapi mlango utafunguliwa na isitoshe yeye ndo mwenye sauti ya malaika kutuimbia zile nyimbo zake za Mtanzania wakileo ...ni vizuri akuwepo hapo karibu .So nikawaaga nikawaambia narudi nyumbani tutaonana baadae. kurudi nyumbani nimekaa na mbege yangu mkononi ndo nikapigiwa sim ,vipi Miss FB ,HIZI SHUGULI MBONA NASIKA ZIMEAIRISHWA ? I WAS LIKE WHAT ? POLE ZAO WALE WOTE WASHAFIKA NA WENGI WAO WAMETOKA MBALI " then ndo hapo na mimi na marafiki zangu tukaamua kwenda kwengine,huku tukiwa tumeshajishibia Machalari yetu na mbege zetu at my Blessing home"
Anyway kwangu mimi nimeona niyaseme haya ambayo mimi nimejionea mwenyewe na macho yangu na vile vile nikama vile nilivyo waambia juzi wale wote watuleteao WASANII -WANAMUZIKI MASATAR WETU KUTOKA HOME.hawanampango na wanachuki chuki zao wenyewe ,na hizo chuki zao wasizichanganye na mambo ya Biashara zinazowashughulisha wananchi kwa ujumla.au nitumie WASHABIKI WA HAO WASANII" nakusababisha watu kukosa raha kwa ajili yao .hakuna mtu anapenda kutoka nyumbani kwake aende mpaka sehem hizo na kukuta MLANGO UMEFUNGWA NA HATA HAMNA MTU WAKUTOA HABARI KAMILI ZA YANAYOENDELEA. HIYO NI AIBU SANA KWA WATANZANIA .JAMANI TUJIFUNZENE KWA YALE MABAYA TUMESHAYAFANYA TIYARI NA SIYO KUENDELEA KUKUZA UBAYA AU MABAYA "
NI HAYO TU KWA SASA..KWANI BADO NINAHASIRA ZANGU"
GOD BLESS TANZANIA AND GOD BLESS THE WORLD AMEN" AIKA RUWA MANGI"
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Sunday, 11 December 2011
* YOU BEEN SNAP* KUDADADEKI "" WHO WANTS TO BE A TANZANIAN AFTER YESTERDAY DISSAPOINTMENT ZA 50YRS UHURU WA WATANZANIA UK ? ILIKUWA NI AIBU ISOKUWA NA MFANO"NA TUNAOMBA KUWATAMBUA WALOSABABISHA YOTE HAYO KUTOKEA.WACHENI MAONI YENU WADAU KWANI TANZANIA TUTAJIFUNZA LINE ??TUTAKAA TUWE NA MAENDELEO KWELI ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mimi binafsi nimechukia sana nimefika na mini cab then mlango umefungwa halafu walikuwa wanajua kwanini hawakusema mapema watu tukajua nini cha kufanya cjawahi kuona aibu hii na ctosahau baridi ilivyonipiga
ReplyDelete