Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya saa yenye Picha kubwa ya Rais mwenyewe"toka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga huku Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange wakishuhudia. Saa hiyo imeandaliwa na makamanda wa JKT kumpongeza Rais Kikwete kwa kurejesha mafunzo ya jeshi la ulinzi kwa mujibu wa sheria kuanzia mwaka huu.
Rais Kikwete akihutubia Makamanda wa JKT Mjini Dar Es Salamu leo kwenye makao yao makuu"
Wakiwa kwenye Picha ya Pamoja na Rais Kikwete,yani Rais utamjua tu,mwaangalie Mikono yake alivyokaa hapo kiti cha kati na chekundu.safi sana hakikisha Matunda yako ya CCM yametulia Rais hakiibiwi kitu hapo'Mbuta Nanga"
Hi, I read your new stuff daily. Your story-telling style is awesome, keep doing what you're doing!
ReplyDeleteMy webpage; franchise opportunities