KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday 14 April 2013

INSIDE THE RITZ HOTEL LONDON (ALBUM4) NA YA MWISHO " FLORA LYIMO AKIPATA MOJA MOTO MOJA BARIDI" CHEERS OUR IRON LADY MARGARET THATCHER" TUTAKUKUMBUKA DAIMA"

YOUR ONE AND ONLY FLORA LYIMO'FROM RITZ HOTEL CHEERS TO OUR IRON LADY  " MAISHA YA RITZ HOTEL LONDON SI MCHEZO AISEE..NATAKA KUFANYA KAZI KWA BIDII NAMI NIKUIGEJE SASA!! TANZANIA WILL STAND BY YOU FOREVER AND TO HELP WHERE I CAN" HATA NIKIPEWA KITUNZO CHA MBEGE YA UCHAGGANI ( WARI)" NI POWA SANA TU" MBUTA NANGA!! I LOVE TANZANIA NA WATU WAKE PAMOJA NA DUNIA NA VYOTE VILIVYOPO "




 TIME TO GO " KAZI KWELI KWELI "MWENYE KUFA KESHA KUFA 'TULIOBAKI NDO MAJONZI NA MAHANGAIKO KIBAO"



 HAPA NDO KWA AJILI YA CHAI NA MANDAZI ,BISKUTI NA VITAFUNIO TAFUNIO VYA KUTEREMSHA KWA CHAI ZAIDI'MBUTA NANGA" UNATAKA KUJUA BEI EEE"


 KUNA VIROOM ROOM VINGI SANA HATA NINGEAMUA KUVIPIGA PICHA VYOTE NISINGEVIMALIZA "

 HAPA NDO POSH BAR " YANI USIPIME VINYWAJI NA VYAKULA HAPA RITZ NI PESA NGAPI" YANI NI NOMAA"
VIBIBI MNA MUONA EE,YANI HAPA HUWA NI VIJIBIBI NA VIJIBABU VINAVYONUKIA UTAJIRI ZAIDI VINAVYOKUJA HAPA "
CHEERS OUR IRON LADY " TUTAKUKUMBUKA DAIMA" R.I.P" KWANI UMETANGULIA TU" NJIA YETU SOTE NI HIYO HIYO " ILA SIYO HAPA KWENYE HII POSH HOTEL RITZ HOTEL LONDON KAMA WEWE"
Jamani you know what 'this is why I work hard and make sure I help others 'Maisha nikufanya bidii na kazi haswa ili uweze kuamua kuishi upendavyo na siyo watu wapendavyo 'kwani ukiishi vile watu wapendavyo na kwa msaada wao ,aisee hutokaa hata upanuse hapa Rizt Hotel London au hata Hotel yoyote Posh pale ulipo sasa hivi" can you think of the Posh Hotel like Ritz Hotel in London au hata Posh zaidi ,and then ujiulize je? unaweza kwenda kuamua kuishi humo kwa miezi minne au hadi Mwisho wa maisha yako? kisa Nyumba yako imekushinda na ni kwaajili ya Uzee ,au Ugonjwa au basi umeamua mwenyewe kuishi upendavyo" basi huyu Mama ,Bibi na our one and only Iron Lady Margaret Thatcher 'aliamua kwenda kuishi hapa kwa ajili ya ngazi nyumbani kwake zilimshocha baada ya uzee na ugonjwa kumuingilia"
Alifariki Asubuhi ya tarehe nane mwezi wa nne mwaka elfu mbili kumi na tatu"ndani ya room yake ya kiposh kulikoni hapa Ritz Hotel alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wakupoteza faham yani hakuwa anamtambua yoyote wala chochote tena ,yeye alikuwa yupo yupo tu'na chakushangaza na kilichonitia huzuni na kulia kachozi huku nikijiuliza kama kuna haja yakuzaa kabisa" Ni kwamba Ana watoto wake mapacha msichana na mvulana na hao watoto wake wanamtambua Mama yao kwamba ni mgonjwa lakini hata hawakuwepo wakati Mama yao alipokufa kajifia mikononi na machoni mwa watu wasokuwa na uhusiano nae kabisa" yani alokuwa ni care wake ,kama mfanyakazi wa nyumbani na dactari wake 'hao ndo walimfunga macho na pia kuhakikisha kajipumzikia kwa Amani na kukiaga Kitanda chake cha Posh Ritz Hotel alichokuwa anakilalia na alichokichagua kuwa nacho for Life hadi Kifo "
Alikuwa Prime Minister Mwanamke pekee na wa kwanza England first female prime minister mwezi wa tano mwaka elfu moja mia tisa sabini na tisa' na kuongoza Nchi ya Uingereza kwa kipindi cha miaka kumi na mbili na ni yeye aliweza kushinda Falklands war na kusaidia cold war kuisha in triumph.mwengine hakunaga na ndo maana England watamzika kijeshi jeshi na kwa heshima zote Jumatano ya tarehe kumi na saba mwezi wa nne mwaka elfu mbili kumi na tatu ,ambayo ni siku kumi tangu alipo aga Dunia" Ataagwa na Viongozi wa mataifa mbali mbali na pia Malkia wetu wa Uingereza Queen na Mme wake pia watahudhuria.ndani ya St Paul Cathedral in London Mji mkuu wa Uingereza sijui kama patatosha kwa kweli.Yani hili ni fundisha kwa Ulimwengu kuiga pale Watu ambao wameifanyia nnchi yao kitu cha kuiwezesha kujulikana na kusimama imara 'wanapokufa wazikwe kwa Heshima zote hata kijeshi jeshi hivi ni poa sana,kwani hata Mtu unapoona mwenzio anapotendewa haki na kupewa heshima zake na tuzo kibao utajipa Moyo nawe kufanyia Nchi yako hivyo na tena na zaidi"kwani watu tunaishi kwa kuyaiga mazuri kwa pale tunapoona watenda mazuri wanafanyiwa nini haswa"MARAIS  NA VIONGOZI WOTE ULIMWENGUNI MPOO"MBUTA NANGA!! 
                          Kilichonikasirisha zaidi"
Ni kwamba ameamua au niseme alikuwa kasema kwamba anaomba atakapokufa achomwe majivu yake her ashes to rest alongside those of mme wake Sir Denis who was buried in cemetery kwenye makaburi ya Royal Hospital'Our last days  hapa Duniani siku zetu za mwisho tunatakiwa kuzikwa na siyo kuchomwa jamani jamani" who say that watu wanatakiwa kuchomwa wanapokufa ikiwa hata wamejisemea wenyewe" is sad kwa kweli mie naona hata kwa Mungu hawatafika na je 'siku ya kufufuka watafufuka vipi wakati wao washa chomwa na kubakia majivu ? anyone who chama wenzao badala ya kuwazika ni kama kuwasaidia kujiuwa " should be stop now'.Ruwa Mangi ngamanya sepfo" yani Ningekuwa na uwezo ningeweka NI MARUFUKU KUUCHOMA MWILI WA MTU ANAPOKUFA"HOW MANY OF YOU AGREE WITH ME"
Namaliza nikisema Mwenyezi Mungu ampokee kwa Amani na mwanga wa milele amuangazie "Ila kwa kweli sijui kama kuchomwa unatakiwa kuambiwa hivi ,upumzike kwa Amani na wakati huku wanakuchoma kisawa sawa'tena ukute mwenye kufanya hiyo kazi yakuchoma on the day of your kuchomwa ni your hater ,ATAKUCHOMAJE KWA MAHASIRA"MBUTA NANGA!!
By:Flora Lyimo

47 comments:

  1. I am genuinеlу grаteful to the holder of this site who haѕ shared
    this fаntastіc artіcle аt hеre.


    mу web ρаge; tusaajit.org

    ReplyDelete
  2. Because of the fuel economy the tank looked full when we returned it,
    two weeks later. Paphos Car Hire Tourist Office, 13 East 40th Street, New York.
    And more importantly, having the Sedan at major paphos car
    hire companies lowers the barrier to experiencing Coda's electric vehicle which may result in follow-on sales. In the U N.

    Here is my blog post: car hire paphos airport cyprus

    ReplyDelete
  3. Asante kwa habari na picha Flora Lyimo,kweli hata mimi sikubali kuchomwa...alafu nimecheka sana eti hater wako ndo atakuwa kwa job on the day na ndo atakae kuchoma na atakuchomaje sasa..hahahaa....NICE ONE "

    ReplyDelete
  4. Тhanκs for onе's marvelous posting! I seriously enjoyed reading it, you happen to be a great author.I will be sure to bookmark your blog and may come back down the road. I want to encourage you continue your great job, have a nice evening!

    Here is my web-site ... mega

    ReplyDelete
  5. What's up mates, how is everything, and what you wish for to say on the topic of this article, in my view its actually amazing in favor of me.

    my blog; Freebies

    ReplyDelete
  6. Link exchange is nothing else but it is just placing
    the other person's blog link on your page at appropriate place and other person will also do similar in support of you.

    My weblog - Freebies discounts

    ReplyDelete
  7. Great post.

    Also visit my website - Burnerswithoutborders.Com

    ReplyDelete
  8. What i do not understood is in reality how you're now not really a lot more well-favored than you may be now. You're so intelligent.
    You already know therefore significantly with regards to this subject, made
    me for my part imagine it from a lot of numerous angles. Its like men
    and women aren't interested unless it is something to accomplish with Woman gaga! Your individual stuffs great. All the time take care of it up!

    Take a look at my homepage - dominos Voucher Codes

    ReplyDelete
  9. With havin so much content do you ever run into any issues of plagorism or copyright
    infringement? My site has a lot of completely unique content I've either authored myself or outsourced but it seems a lot of it is popping it up all over the internet without my authorization. Do you know any techniques to help protect against content from being stolen? I'd truly appreciate it.


    my web site Aquamira.Com

    ReplyDelete
  10. If you desire to take a good deal from this post then you have to apply such techniques to your
    won web site.

    Also visit my web page - Dominos pizza vouchers

    ReplyDelete
  11. This post is actually a fastidious one it assists new web viewers, who are
    wishing for blogging.

    Here is my website - dominos voucher Codes

    ReplyDelete
  12. Every weekend i used to pay a quick visit this website, because
    i want enjoyment, for the reason that this this web page conations truly fastidious funny data too.


    Also visit my web page ... dominos 50 off voucher

    ReplyDelete
  13. Hi to every single one, it's in fact a fastidious for me to pay a visit this site, it consists of important Information.

    Review my blog dominos Pizza vouchers

    ReplyDelete
  14. I am sure this article has touched all the internet people, its really really pleasant article on
    building up new webpage.

    Here is my website; Freebies Uk Online

    ReplyDelete
  15. I loved as much as you will receive carried out right here.
    The sketch is attractive, your authored material stylish.
    nonetheless, you command get bought an shakiness over that you wish be delivering the following.

    unwell unquestionably come further formerly again as exactly the
    same nearly very often inside case you shield this hike.


    Feel free to visit my web page - freebies

    ReplyDelete
  16. Great work! This is the kind of info that are meant to be shared across
    the web. Shame on Google for not positioning this post higher!
    Come on over and visit my website . Thanks =)

    Feel free to surf to my web-site: cresenciafong.Com

    ReplyDelete
  17. What's up to all, the contents existing at this site are in fact remarkable for people knowledge, well, keep up the good work fellows.

    Also visit my weblog: freebies Uk

    ReplyDelete
  18. I all the time used to study paragraph in news papers but now as I am a user of web therefore
    from now I am using net for content, thanks
    to web.

    Look at my blog; Dominos 50 Off Voucher

    ReplyDelete
  19. Aw, this was an exceptionally nice post. Spending some time and actual effort to
    create a really good article… but what can I say… I hesitate a whole lot and never
    manage to get anything done.

    Stop by my webpage: Dominos vouchers

    ReplyDelete
  20. Hey there! I've been reading your blog for a long time now and finally got the courage to go ahead and give you a shout out from Lubbock Tx! Just wanted to say keep up the excellent job!

    Here is my page - Dominos pizza

    ReplyDelete
  21. You should take part in a contest for one of the most useful websites online.
    I'm going to highly recommend this web site!

    my blog; freebies uk

    ReplyDelete
  22. We are a group of volunteers and opening a new scheme in our community.
    Your web site offered us with valuable information to work on.
    You've done a formidable job and our entire community will be grateful to you.

    Visit my webpage www.Thewhir.com

    ReplyDelete
  23. Good day! This post could not be written any better!
    Reading through this post reminds me of my good old room mate!
    He always kept talking about this. I will forward this post
    to him. Pretty sure he will have a good read.
    Many thanks for sharing!

    Feel free to surf to my weblog: kitsch jewellery uk

    ReplyDelete
  24. What a material of un-ambiguity and preserveness of precious know-how about unexpected feelings.


    My blog post; fashion jewellery Uk

    ReplyDelete
  25. After I originally left a comment I appear to have clicked on the -Notify
    me when new comments are added- checkbox and now each time a comment is added I
    recieve 4 emails with the same comment. Is there
    a means you can remove me from that service?
    Cheers!

    Here is my homepage www.Republic.org

    ReplyDelete
  26. WOW just what I was looking for. Came here by searching
    for no win no fee accident claim

    Here is my web-site - dominos voucher Discounts

    ReplyDelete
  27. Whats up are using Wordpress for your site platform?
    I'm new to the blog world but I'm trying to get started and set up my own.
    Do you need any html coding expertise to make your own blog?
    Any help would be really appreciated!

    Also visit my web-site freebies uk online

    ReplyDelete
  28. Great delivery. Solid arguments. Keep up the amazing effort.


    My webpage :: the Freebies

    ReplyDelete
  29. When someone writes an paragraph he/she maintains the plan of a user in his/her mind that how a user can know it.
    Therefore that's why this post is great. Thanks!

    Feel free to visit my web page: dominos voucher codes

    ReplyDelete
  30. Fastidious response in return of this query with solid arguments and explaining everything about that.


    My website - http://cresenciafong.com/Wiki/coupon_tips_that_can_save_you_a_ton_of_money

    ReplyDelete
  31. Good day! I know this is kind of off topic but I was wondering which blog platform
    are you using for this website? I'm getting sick and tired of Wordpress because I've had problems
    with hackers and I'm looking at alternatives for another platform. I would be great if you could point me in the direction of a good platform.

    Have a look at my web site; Freebies

    ReplyDelete
  32. This piece of writing will help the internet people for creating
    new web site or even a blog from start to end.


    Look into my web site: dominos pizza Voucher

    ReplyDelete
  33. I wanted to thank you for this fantastic read!! I absolutely
    loved every little bit of it. I've got you saved as a favorite to look at new stuff you post…

    Here is my web-site; funky jewellery Uk

    ReplyDelete
  34. Good replies in return of this issue with real arguments
    and explaining everything regarding that.

    Feel free to visit my web blog: dominos 50 off voucher

    ReplyDelete
  35. Your means of explaining all in this post is really nice, every
    one be capable of easily know it, Thanks a lot.


    Review my page; Www.Pressace.Com

    ReplyDelete
  36. After looking into a number of the blog posts on your site,
    I seriously appreciate your technique of blogging.
    I bookmarked it to my bookmark site list and will be
    checking back in the near future. Please check out my website as well and tell me your opinion.


    Here is my web-site :: Funky Jewellery Uk

    ReplyDelete
  37. Hi everyone, it's my first pay a quick visit at this web site, and piece of writing is actually fruitful in favor of me, keep up posting these types of content.

    My webpage; dominos vouchers uk

    ReplyDelete
  38. Great work! This is the kind of info that should be shared across the web.
    Shame on Google for no longer positioning this post higher!
    Come on over and seek advice from my site .
    Thanks =)

    Also visit my page :: Www.Higherground.Org.Za

    ReplyDelete
  39. Keep on writing, great job!

    Also visit my web blog :: Dominos Uk Vouchers

    ReplyDelete
  40. What's up, its fastidious post concerning media print, we all be familiar with media is a wonderful source of information.

    Also visit my blog post: dominos voucher discounts

    ReplyDelete
  41. It's in point of fact a nice and useful piece of information. I am glad that you shared this useful info with us. Please stay us up to date like this. Thanks for sharing.

    Here is my web blog; dominos Pizza vouchers

    ReplyDelete
  42. Hello there! I just wish to give you a huge thumbs up for the great information you have got here on this
    post. I will be coming back to your blog for more soon.


    Here is my webpage http://www.oconnellmachinery.com/author/shirleyfi

    ReplyDelete
  43. You have made some really good points there. I looked on the net to learn more about the issue and found most people will go along with your views on
    this site.

    Also visit my web-site; Freebies Discounts

    ReplyDelete
  44. The other day, while I was at work, my sister
    stole my apple ipad and tested to see if it can survive a twenty five foot drop,
    just so she can be a youtube sensation. My apple ipad
    is now destroyed and she has 83 views. I know this is totally off topic but
    I had to share it with someone!

    Feel free to surf to my web-site free Stuff

    ReplyDelete
  45. Heya i'm for the first time here. I found this board and I find It truly helpful & it helped me out a lot. I'm hoping to offer one thing again and help
    others such as you helped me.

    My website dominos 50 off Voucher

    ReplyDelete
  46. Pretty nice post. I just stumbled upon your weblog and wanted to say that I've truly enjoyed browsing your blog posts. In any case I will be subscribing to your rss feed and I hope you write again very soon!

    my site - Voucher code for dominoes

    ReplyDelete
  47. obviously like your web-site however you have to check the spelling on several of your posts.
    A number of them are rife with spelling problems and I find it very troublesome to inform the reality however I will certainly come again again.


    My homepage pizza offers

    ReplyDelete