KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 12 February 2013

NYUMBANI LOUNGE DAR ES SALAAM TANZANIA YAWALISHA WATEJA SAMAKI WABICHI KWA UGALI NA PICHA ZA SEMA YOTE !!

 THE DIARY OF FLORA LYIMO FASHION POLICE HOME HOLIDAY IN TANZANIA 2012/13 DIARY "
*MSIKIZE BOSS MWENEYEWE HAPA WIMBO WAKE WA TEJA"ENJOY "NA UKIMUONA MPENI SALAM ZANGU I HOPE ATAFANYA VILIVYO ILI TUSIUZIWE SAMAKI WABICHI TENA NA WAITER WANAJUA KUFUNGULIA WATEJA CHUPA ZA WINNE"
Hapo juu kwenye picha yangu nilikuwa hata sijajua kama huyo samaki nimbichi ,hapa nilikuwa na lalamika baada ya kutokuambiwa hamna mboga za majani ,nami nilioda Mboga za majani ,Samaki na Ugali.kabla hawajaamua kunipikia ugali bila mboga"siwangerudi kuniambia hamna mboga ndipo niamue kama bado nataka ugali bila mboga au la' Ila hawakuniambia wao waliniambia wakati walipoweka ugali huu mezani ndo na shangaa mboga zipo wapi ?.samahani dada hamna mboga zimekwisha, kwa hiyo mbona hukurudi kunijulisha ? (Waiter) kanyamaza kimnya hana usemi"William ndo kaniambia Flora bwana naomba ule hivyo tu bwana hivi ndivyo  Bongo yetu ilivyo bwana"Mbuta Nanga!!


 Hivi ndivyo tulivyokuwa baada ya kulishwa Samaki wa bichi na Mimi kulala njaa huku mfukoni ninazo kama laki tano Tz shillingis" yani nilikuwa na hasira ila basi tu ndo hivyo tena hela yangu ilikwenda kutumika kwa shughuli zingine tena maalum kuliko hata chakula changu na njaa ya siku moja haiuwi mtu"
 Hapa huyu samaki walivyomfunika kwa mchuzi yani siyo rahisi wala kugundua hajaiva na isitoshe walikuwa wameweka taa zao za giza giza hata huwezi kuona vizuri wala nini"
 Hapa ndo nilianza kula na nilikuwa na mpekua pekua kwa kisu na uma hapo maana nilipomuonja nakugundua ni mbichi nilikaa kimnya ,sikutaka kulalamika juu ya samaki mbichi maana nishalalamika la kutosha sasa nilikuwa naona Wenzangu hasa William atanishangaa maana ashaniambia sie watu wa Majuu tunalalamika sana kuhusu huduma za Kibongo" lol"
 Hebu oneni wenyewe kwa macho yenu jamani samaki mbichi haswaaa"
Sasa  hii Sahani ya mwishoni hapa ilikuwa ya William Malecela,yani mimi nilipomuona anakula nilisema wacha nimuhesabie mpaka tano kama hata sema huyu samaki ni mbichi basi alopika wangu na siyo alompika wa kwake, but hakumaliza dakika tano kama haja nyanyuka na kusema samaki mbichi huyu Bwana yule Waiter yupo wapi ? ndo na mimi nikamuambia asante umegundua maana mie nimeshaacha kumla wa kwangu saa nyingi  na sikutaka kusema kitu maana niliona utadhani ninalalamika sana sababu ya kuishi majuu..so alienda kumlalamikia Mme wake Lady Jay Dee ,Aliporudi akaniambia kwamba hata haifahamiki kama Lady Jay Dee yupo hapa leo na kama atapiga? I was so Disappointed kwani hata haja yangu kubwa tangu nilipokuwa hapa London sijatoka nilikuwa nasema huyu  Dada yetu wa Kitanzania na zipenda sana nyimbo zake na anavyojitahidi kuifanya Tanzania Ijulikanie hata kama siyo kwenye mistari ya mbele iwe kwenye mistari ya kati" nikasema nikifika Dar Es Salaam lazima niende hapo Nyumbani Lounge" Ila ndo hivyo tena aisee sikuambulia hata kuiona Sura yake nilichoambulia ni kulishwa samaki wa Bichi " I hope sasa atasoma hii na pia azingatie Huduma wateja wanayo ipewa na Waiters wake pale Nyumbani Lounge, yani ikiwa umemuajiri Waiter na hajui hata kufungua chupa ya Winne , lazima awe Mjomba wako au Shangazi yako .la sivyo ulimpa kazi kwa CV gani na je unamuonaga anapowahudumia wateja ? ni jambo la maana sana nyie wote wenye Mabar na Marestaurant kuwafanyieni wafanyakazi wenu kitu kinachoitwa MYSTERY SHOPPER. hata mara moja kwa mwezi ,Kwa wale hamjui ni nini maana ya Mystery Shopper wacha niwaambie kidogo maana nikazi ambayo nilishawahi kuifanya tena kwenye makampuni makubwa makubwa hapa London " yani una waandika watu ambao hawajulikani na wafanyakazi wako, wao wanakwenda kwenye makazi yako na kujifanya wao ni wateja ,na huku kumbe siyo wateja wao wanakuja kukuambia kila kitu walivyo hudumiwa na pia aliyewahudumia " na hapo ndipo utakapo gundua wafanyakazi wako wanafanya kazi kiuzembe na pia ndo maana pengine hupati wateja wakutosha na mauzo kupungua kila mwezi" so zingatieni hilo my dears if you want makazi yako kupewa the best customer care!! Basi ni hayo tu kwa leo jamani things are off my chest now and I hope one day nitamuona Lady Jay Dee na nitakapo rudi pale Nyumbani Lounge nitakuta yule Mdada Waiter anajua kuifungua chupa ya winne maana nilimuachia pesa ili akajifunze angalau how to open it for the next customer" na siyo kumuambia customer afungue yeye kama vile she ask me to open it myself " I was like what ? hela zako za mshahara tunagawana au " Mbuta Nanga!! Score 4/10
Be a Mystery Shopper ,Tell us about your Experience in Tanzania ,whats good and what's not.
Which place offer the BEST CUSTOMER CARE ?
Email: flo1974@btinternet.com

12 comments:

 1. Hahah ukiongea utaambiwa unatafuta umaarufu, pole sana but hiyo ndio bongo mama, alafu oh watz hatuungishani, kwa upendo umeenda kumuuingisha but thats how she pay u back not even a phone cal ya Kukuomba msamaha dawa Yao hawa mastaa ushuzi nikuyatukana tu but ukijifanya mwema imekula kwako

  ReplyDelete
 2. Anonymous of 21:15. THANKS MY DEAR!!
  Yani nikama nakujua au nimekuambia chochote,,YOU KNOW hayo mambo ya SIM ..mimi nilidhani pale pale wakati William alipokwenda kutoa malalamiko kwa Mme wake ,Angekuja kutuomba msamaha pale kwenye meza yetu ,lakini wapi ? na tena eti huyo waiter ananiambia sasa Dada wacha tukakupikie tena..yani nikiangalia saa ilikuwa saa tano jioni na mpaka wapike tena ndo sijui muda gani watachukua and if walishindwa kuwapika wakaiva kipindi kile wataivaje kipindi hiki ? na isitoshe tulikuwa tuna mitoko yetu " so our time was limited" but never mind ,mie nawapenda sana Watanzania wenzangu hasa wale wanaoitafutia Tanzania Maendeleo ..UMOJA NI NGUVU NA UPENDO NI MUHIM"

  ReplyDelete
 3. Your feedback is Important to us!! thank you Miss FB"

  ReplyDelete
 4. Wala usiwape nafasi wabongo ni wajinga sana na hawapendi kuambiwa ukweli flora, kwani nimekusoma kwenye your wall in facebook wanatakiwa wakulipe for your free feedback for them"hata mimi nikipewa huduma ya ovyo hivyo nitasema bwana ,,we love you flora lyimo fashion police aka dada wa (mkopo express) stay Bless "

  ReplyDelete
 5. wera wera usiwaogope flora william j.malecela ni baba yake tu' na lady jd hawana lolote wanajifanya ndo wanajua kulikoni ,,yani mijitu mizima ovyoo kabisa tupa kule ...and why lady j dee hajakutaja popote na ana mpaka blog yake,,au anakuogopaa..fashion police wetu upo juuuuuuuu..wasikulishe masamaki mabichi mchagga wa uk..chezeaaaa me penda wewe mamiiii.

  ReplyDelete
 6. www.TFL.CO.UK ...say ..She need to face you and not william j.malecela.but you know there both stupid""

  ReplyDelete
 7. flora bahati lyimo we love you na tunajua wewe ni mtanzania asie muuga na mpenda maendeleo sana kazi zako tunaziona na tunazifuatilia unafanya vizuri sana endelea na shughuli zako zakuwasaidia watanzania kupata kazi kupitia mkopo express hatujawahi kuona kama wewe mwenye kujitolea bure bure na unakaa majuu..hawa wawili mr wiliam j.malecela na lady j,dee wanasemekana tena ni waoga..na hakuna dhambi kubwa duniani kama uoga" God bless you and tanzania!!

  ReplyDelete
 8. kudadadeki aisee wanatakiwa wakuombe msamaha na siyo kujifanya hili na lile,,ni waiter gani hajui kuwafungulia wateja chupa ya wine comong lady j,dee..you should know hilo ikiwa siyo watu wako unaowafaham futulia mbali wao watakuharibia biashara yako bure,,maana hata mimi nilikuja nikala ugali ukawa mbichi nikashinda chooni nikiharisha..

  ReplyDelete
 9. kweli hao samaki ni wabichi na pichni wanaonekana wazi ni wabichii..sasa na hilo kubwajinga linakana halikula na sahani yalo ipo hapo..mmmm,na huyo jd angefaa awaombeni nyote radhi i hope atafanya hivyo..

  ReplyDelete
 10. flora lyimo ur my favourite blogger i do appreciate ur work much love to u hun...

  ReplyDelete