MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS
CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com
FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Wednesday, 1 May 2013
KWA WALE WASOJUA MAPOZI 'MWALIMU WA MAPOZI NDO HUYOO DOLLA SONGAMBELE a.k.a.CEO WA LONDON LABLE''NA WIMBO WA KUNYANYUA VIMOKA VYENU' MBUTA NANGA!!
MAPOZI YA KUMKUNJUA NYOKA PANGONI..CHEZEA YEYEEEEEHAPANAEE"
TUNAKUKUBALIIIII MWALIMU WETU WA MAPOZI MWENGINE HAKUNAGAA"
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZA ALBUM
ZILIZOPITA" ZA FLORA LYIMO FASHION POLICE BIRTHDAY PARTY 2013' ILOTINGISHA LONDON NA DUNIANZIMA..MBUTA NANGA!!
ENJOY THE SONG NA HUKU UKIJITEMBEZA TEMBEZA KUJIFUNZA MAPOZI YA DOLLA SONGAMBELE ' YANI I LOVE HUU WIMBO SANA NA NINAJITEMBEZAJE SEBULENI SASA; HAHAHAA...BE BLESS MY DEARS ME LOVE WATU WENYE KUTAKA MAENDELEO HASA WANAWAKE /DADA WAFANYAKAZI NA SIYO KUTWA KUKAA VIBARAZANI NA KUWASEMA SEMA WATU OVYO '' Flora Lyimo "
kweli ni mwalimu na nimemkubali pia...naomba namba zake kama she is single miss fb'
ReplyDelete