KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 21 October 2013

BY:FLORA LYIMO~ BREAKING NEWS! TO ALL MY FANS AND MY READERS ' DUE TO OCTOBER MWEZI WA ROZARI 'NIMEFUNGA TO BLOG AND FACEBOOK FOR ONE WEEK FROM TODAY MONDAY 21/10/2013 ''KWA AJILI YA KWENDA KUSALI ROZARI ''HUU NI MWEZI WA MAMA YETU BIKIRA MARIA'KWA HIYO NITASAFIRI KWA MAFUNGO YA KUSALI ROZARI ZAIDI FOR ONE WEEK''POLENI SANA NA ENDELEENI TO FOLLOW THIS BLOG NA KUSOMA YALIYOMO 'ENJOY THE SONG PIA!!


 HAPA JAMANI SI MWINGINE NI YULE YULE 'FLORA LYIMO 'aka FASHION POLICE 'aka MUKE YA AFRICAN KING MTARAJIWA aka THE DESIGNER ,TRADER ,BLOGGER AND PHOTOGRAPHER''
TUPENDANENI JAMANI 'TUFIKIRIENI NINI CHA KUFANYA CHA MAANA KULIKO KUCHUKIANA WENYEWE KWA WENYEWE 'WENZETU WANATUCHEKA NA VILE VILE DUNIA YA LEO SIYO ILE YA ZAMANI YA UKOLONI NA YA KUFANYA WATU WAPENDAVY 'NOWDAYS IS MORE OF DO YOUR THING THE WAY YOU WANT ''ISHI UPENDAVYO NA SIYO WAPENDAVYO ' YANGU YA MOYONI KWENU NI HIVI 'JIFUNZE TO LOVE AND NOT HATE'' I LOVE YOU MY TANZANIA WENZANGU AND I LOVE EVERYONE !! STAY BLESS ALWAYS MPAKA HAPO NITAKAPO RUDI NEXT WEEK'' TUSALI ROZARI MWEZI WA BIKIRA MARIA HUU MY DEARS'' NA MSISAHAU KUZIBEBA POPOTE PALE MUENDAPO 'RUWA MANGI ''AIKENYI SANA NDAO KANYI ''


 MAANDALIZI YA KUSALI ROZARI AT FLORA LYIMO LONDON BLESSING HOME''HIZO ZOTE NI SADAKA HUWA KILA VIJISENTI NA WEKA HUMO NA HIZO DOLA MNAONA HUKO NILIZIPEWA FOR MY BIRTHDAY ZAWADI' NAZO NIKATIINGIZA HUMO' YANI I CANT WAIT HIYO CHUPA IJAE'NA IKISHAJAA NIKWA AJILI YA FLORA LYIMO CHARITY'' STOP RAPE AND RAP CHARITY''  KWA AJILI YA KUWASAIDIA KINA MAMA /DADA WA TANZANIAN WENZANGU ZAIDI ''ILI WAWEZE KUPATA HUDUMA BORA ZA UZAZI ,MAFUNZO YA NINI MAANA YA RAPE (KUBAKWA)NA VILE VILE KUWASAIDIA WASIO KUWA NA KAZI WAPATE KAZI NA MAMBO MENGI SANA AMBAYO NITAKUWA NAJISHUGHULISHA KWA KUWASAIDIA KINA MAMA/DADA WATANZANIA WENZANGU''PAMOJA TUTAFIKA ''


 NATAMANI KUWA SISTA ,SIJUI NIKAJIUNGE''MBUTA NANGA!! NATUOMBE KWA MOYO 'ILI TUPATE KUSAMEHEWA MAKOSA YETU NA MAMA BIKIRA MARIA ASIKILIZE SALA ZETU NA KUTUOMBEA KWA MWANAE YESU KRISTU''ANAE ISHI NA KUTAWALA DAIMA NA MILELE''

 PIGA MAGOZI 'HAKIKISHA UMEJIWEKEA KITU CHINI ILI USICHOKE MAANA KUSALI ROZARI YOTE HADI MWISHO UKIWA UMEPIGA MAGOTI CHINI SIYO MUDA MDOGO NA VILE VILE USIJIPE ADHABU ''HATA MAMA BIKIRA MARIA ANATAKA USITESEKE HASA KWA AJILI YAKE''
 HII NI ROZARI YANGU 'JE WEWE UNA ROZARI YAKO?KAMA HUNA KANUNUE AU WASILIANA NA MIMI NITAKUPA YA KWAKO BURE'' ILI UPATE KUSALI NA KUIBEBA ROZARI HIYO KILA UENDAPO 'KWANI TULISHAAMBIWA NA MAMA BIKIRA MARIA KWAMBA ROZARI NDIYO UFUNGUO WAKO WAKUINGIA MBINGUNI'' AMEN''
SALAM 'MARIA UMEJAA NEEMA'' 
TUOMBEE SISI WANAO WAKOSEFU KWA MWANAO YESU KRISTU ''MAMA TUNAKULILIA SIKILIZA SAUTI ZETU'NA VISHINDO VYETU TUKIKUKIMBILIA''

HAPA NAIMBAJE 'JAMANI NAJISIKIA KAMA NIPO KULE MOSHI KILEMA KANISANI'' NAIMBAAAA ,NAFURAHIIIIII,'NA TUSALI ROZARI NA TUIMBENI PAMOJA  MY DEARS' WAPENZI(FANS) WANGU PAMOJA NA WANAOITEMBELEA BLOG HII'' AGAIN POLENI KWA KUTOKUKUWEPO KUWARUSHIENI MAPOCHOPOCHO YA UKWEE'' ONLY SIPO KWA MUDA WA WIKI MOJA TU'NAKWENDA KUSALI ROZARI KUANZIA JUMATATU 21/10/2013 MPAKA JUMATATU IJAYO 28/10/2013KAMA MNAVYOJUA HUU NI MWEZI WA BIKIRA MARIA KWETU SISI WA KATOLIKI'' NA HASA WALE WANAO MPENDA MAMA YETU BIKIRA MARIA  NA KUMUAMINI NA VILE VILE KUMTEGEMEA KAMA MAMA YETU NA MAMA WA ULIMWENGU MZIMA KAMA MIMI HAPA 'NI MWEZI MZURI SANA WAKUKAA NA KUSALI NA KUONGEA NA MAMA YETU KIUNDANI NA KIUPOLE ZAIDI ''I LOVE HER SO MUCH '' CHAMESHA MAE KANYI''

1 comment:

  1. una sura mbaya flora,
    naomba rozar

    ReplyDelete