FLORA LYIMO AKIWA NDANI YA KANISA HILI LA CATHOLIC AMBALO NI LA KWANZA IN UINGEREZA KUTAMBULIKA RASMI AFTER THE PASSING OF THE CATHOLIC RELIEF ACTS OF 1778 NA 1791.WHICH BROUGHT FREEDOM OF TEACHING AND WORSHIP.YANI KWA KUSEMA UKWELI HATA MIMI MWENYEWE HILI NDILO KANISA LA KWANZA KULIJUA NA KUANZA KUSALI HAPA KILA JUMAPILI WAKATI NILIPOINGIA UINGEREZA1994'NA NILIKUWA PIA NAWASAIDIA MASISTA NA MAPADRI KUANDAA MEZA NA KUSIMAMIA VYAKULA KWANI BAADA YA MISA HUWA KUNAKUWAGA NA MISOSI ''VILE VILE KUSALI ROZARI KILA JUMAMOSI JIONI'' ILA KUSEMA UKWELI NILIPOTEAGA MOJA KWA MOJA SIJUI NILIKOISHIA HADI NIKAWA SIENDI TENA HAPA KANISANI NA KUJIKUTA MITAA MINGINE MINGINE NA VILE VILE MAKANISA MENGINE''
NIMEJIKUTA TENA HAPA KANISANI MWAKA HUU NA MWEZI MUHIMU SANA KWANGU NA KWETU WAKRISTU' OCTOBER NI MWEZI WA BIKIRA MARIA ALWAYS''
SO HII WIKI ILIKUWA NI NJEMA SANA KWANGU 'KUFUNGA KWA KUACHA VITU VITATU NAVYOVIPENDA NA VINAVYONISHIRIKISHA SANA NA WATU MBALI MBALI TENA HATA NISOWAHI KUKUTANA NAO FACE TO FACE KABISA, NA VYO NI TO BLOG,TO FACEBOOK AND TO WHATSAPP'' NILIVIFUNGA NA KUAMUA KWENDA KUKAA KARIBU NA MAMA BIKIRA MARIA KWA KUSALI ROZARI PAMOJA NA WASHIRIKI WENGINE MBALI MBALI AMBAO MALENGO YAO YALIKUWA KAMA YANGU AU NA ZAIDI'' HIYO NDIYO SABABU WENGI WENU MMENIKOSA NA MSIJALI NIMERUDI NA NITAWAJIBUNI EMAIL NA MESEJI ZENU ZOTE 'TARATIBU KWANI WAJUA HATA KAZI NILIACHA KUFUATILIA ODA ZENU''YANI MWEZI HUU WA BIKIRA MARIA AMBAO NI MWEZI WA ROZARI KWA CATHOLIC'S'' ULIKUWA PIA NA MAMBO MENGI SANA MAZURI KWANGU SO NIMEAMINI NA NIMESHAONA SANA MATENDO YA MAMA MARIA ALIYONITENDEA MWEZI HUU NA KANIAMBIA MWANANGU WEWE ENDELEA KUISHI MAISHA YAKO NA FANYA YAKO UNAVYOFANYA WALA USIPUNGUZE TENA ONGEZA'' YANI NINAIMANI MAMBO YANGU YOTE YATAKWENDA KAMA NILIVYOYAPANGA'' AIKA MAE'' HAKUNA KAMA MAMA'aka BIKIRA MARIA HUKU DUNIANI '' YANI MSIACHENI KUZISALI ROZARI ZENU NA KUZIBEBA POPOTE PALE MUENDAPO ''KWANI NI UFUNGUO WA KUINGIA MBINGUNI''AMEN''
SASA TAZAMA PICHA ZOTE NIMEZIWACHIENI ZIWAELEZENI YOTE''
HAPA NI MAJI YA BARAKA ''YANAHUSIKA SANA WAKATI WAKUINGIA KANISANI NA KUTOKA PIA'' AMEN''
FLORA BAHATI LYIMO 'I'M SO BLESS!! YANI NIMEBARIKIWA MNO NA NINASABABU ZOTE ZA KUMSHUKURU MUNGU NA MAMA BIKIRA MARIA''
HAPA NIPO PAMOJA NA MAMA BIKIRA MARIA'AMEMSHIKILIA MWANAE YESU AKIWA AMEKUFA'' EEee''YESU TUNAKUSHUKURU TUNAKUABUDUUU'''KWANI UMEKUFA MSALABANI ,UMEULIWA KWA DHAMBI ZETUUUUUUUU'' RUWA MANGI 'NIMEKOSA SANA BABA NA TUMEKOSA SANA BABA ,TUNAKUOMBA UTUSAMEHE KWANI HATUJUI TUYATENDAYO '' EEeeEE'YESU WEWE NI KINGA YANGU NA MUAMUZI WA MAISHA YANGU NIKIWA NAKIFANYA KIBAYA AU KIZURI WEWE NDIYO UJUAE NA WENGINE WOTE NAWAPUUZIA JAPO PIA NI DHAMBI KUWAPUUZIA BASI BABA NAOMBA UNIEPUSHE NAO ILI NISIPATE KUWAPUUZIA WAJA NA ROHO ZAO MBAYA TENA ZA KUTU HADI SURA ZAO KUZIFUNIKA NA KUTUMIA VIDOLE VYAO NA AKILI ZAO ZISIZO MEA MAPYA BALI KUZEEKA NA YALE YALE YA MWANZO NA HATA MPAKA KUFA KWAO''AMEN'' RUWA AIKA MBEE KANYI !!
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Monday, 28 October 2013
BY:FLORA LYIMO~BREAKING NEWS' FLORA LYIMO AMEFUNGUA TO BLOG,FACEBOOK AND WHATSAPP TODAY BAADA YA KUFUNGA KWA KUJIHUSISHA KWA VITU HIVYO NA KWENDA KUSALI ROZARI''POLENI SANA KWA KUNIKOSA NA PIA KUKOSA MAPOCHOPOCHO YENU YA UKWEE' NOW WE ARE BACK NA JEMBE NI LILE LILE' KWA KWELI NIMEWAMISIJE'MBUTA NANGA!! PIA TIZAMA PICHA HIZI ZA KANISA LA KWANZA LA CATHOLIC UINGEREZA ''HII NI ALBUM(1) RUWA MANGI''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment