ULAYA KUNA MITI YA AINA NYINGI SANA 'YANI HII HAPA IPO MJINI HASWAA'HUWEZI KUAMINI BUT NI KWELI KABISA LICHA YA MAGOROFA KUITAWALA LONDON 'PIA KUNA VIJINAFASI VYA MITI TENA MITI YA TANGU KARNE YA KUMI NA NANE''
NIKIDONDOKA YANI NDIYO NITAJUTAAA'ILA NILIANZA KUPANDA MITI NIKIWA NA MIAKA NANE'' NAKUMBUKA NIKIPANDA MITI YA MAEMBE PORINI ,NILIPOPELEKWA NA MAMA KUMTEMBELEA MJOMBA WANGU ANAE ISHI KULEE ''PORINI ''KILEMA CHINI''YANI SISI WA KILEMA JUU 'TUNAKUITA PORINI KWASABABU TUNA MASHAMBA YETU KULE KWA AJILI YA KILIMO TU' WASIJE KUNISIKIA HAPA WA KILEMA CHINI ''MBUTA NANGA!!
HAHHAHHAAA'KWA RAHA ZANGU 'YANI NATAMANI SANA KUSIINGIE GIZA NIKA KIDOGO HUM MTINI ''
MWAZIONA BOOT EEeeEE' NIMEZINUNUA LEO LEO MNADANI TIYARI KWENDA DUKANI MTAA WA MAPESA FLDESIGNS &TRADES OXFORD STREET LONDON'' ALSO IN TANZANIA NA MIKOA YAKE KWA ODA ''WEWE TUWASHIE TAA IN WHATSAPP +447787471024 KARIBU''
MAPOZI YA FLORA LYIMO FASHION POLICE NDIYO HAYOOO'''YANI HAKUNA KIMSHINDACHO 'UKIONA KIMEMSHINDA HAKIJABARIKIWA ''
HABARI NDIYO HIYOOOOOOOOOOOOOOOOOO''YANI ISHI MAISHA YAKO UPENDAVYO NA SIYO WAPENDAVYO NA MAISHA SIKU IZI SIYO YAKUSUBIRI KESHO MAANA KESHO INAWEZA IKAGOMA NA UKAISHIA LEO LEO ''MBUTA NANGA!! ENJOY YOUR DAY TO DAY AND YOUR LIFE KWA UJUMLA'' FLORA LYIMO''
No comments:
Post a Comment