KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 11 May 2015

WHAT NOW ? OUR EVIDENCE 'YANI MANGE HAWEZI KUTUHARIBIA NCHI YETU HIVI JAMANI '' NO WAY '' IS ANYONE IN TANZANIA HASA HUKO BUNGENI AMEONA HII? MBUTA NANGA!

TANZANIAN POLITICIANS – POSSIBLY THE PRIMARY KILLERS OF THE COUNTRY’S ALBINOS

Leo tuna chemsha bongo……
HII ISSUE INAWAHUSU WOTE CHADEMA, CCM,CUF NA VYAMA VINGINE VYOOOOOTE……
Unajua now nimekuwa nna interest sana na hii nchi baada ya hii shut up law yao. Yani imenichafanya nijue kuwa kweli kuna kitu kibaya sana wanachokipanga kukifanya so inabido tuanze kuwaanika sasa hivi….
Okay guys, hiyo heading hapo juu naomba uichukulie kama ilivyo na story itataendelea na heading maana sio kama magazeti ya Shigongo wanaweka bongea la heading ukifungua gazeti story haiendani na heading hata chembe….hahahhahaha..Ili imradi ununue….HAHAHA
Jamani leo we are going to play a game of  numbers….sawa….
So baada ya TANZANIA kuwa embarassed dunia nzima kwa ajili ya Albino killings basi ndo serikali  wakaanza kujifanya eti they are doing something about it, sijui kukamata waganga sijui nini, usanii mtupu, hakuna hata wanachokifanya….Yani ni hivi the most watakachofanya labda ni wataweka na shup law ya kuficha the exact number of albinos getting killed. Yani hizo number tunazopewa we fanya labda kuna more that 50%  ya mauwaji ya albinos ambayo hayakuripotiwa…..
Ni hivi embu tuulizane si mnajua kuwa viungo vya albino bei yake  ni kama 150 million tsh….sawa eeeeh
sasa tujiulize ni watanzania wangapi wana 150 million mkononi za kwenda kucheza bahati nasibu ya uganga…..Hiyo  weka pembeni je ni watanzania gani wanaoamini na kuhitaji  (pls understand kuhitaji in order to make any living )uganga kupita kiasiiiiiiiii kiasi cha kwamba ata invest 150milliom into his future. Niambie maana kila mtu anajua uganga hata wale wanaouamini huwa wanajua sometimes unaenda kwa mganga huyu na hamna kitu inabidi uhame waganga so wanajua sio kitu 100% so nikucheza bahati nasibu je mtanzania gani anahitaji huu uganga wa viungo vya albino kiasi cha kwamba atatoa milion 150 kwenye hii bahati nasibu?? nani anahiyo pesa imekaa benki tuuu na yupo desparate like that na uchawi. maana everyone kazini kwake ni mchawi na aamini kuwa kila mtu ofisni ni mchawi..Ni nani kati yenu anaamini collegues wake  Woooooote wanaloga zaidi ya wanasiasa wa Tanzania? ….UWIIIIIIII, jamani I never hear maneno nimelogwa, wataniloga, waliniloga,yule ni mchawi ,wale ni wachawi  au yule analoga sana kama nikikaa na wanasiasa wa Tanzania yani wanasiasa hakuna kitu wanaamini kama uchawiiii jamani jamani jamani, yani kila mmoja anasema mwenzie mchawi na mtu yoyote yule anaemini kuwa mpinzani wake analoga ili ashinde basi na yeye  lazma analoga….
HAKUNA WATANZANIA WANAOAMINI UCHAWI HASWA WA VIUONGO VYA ALBINO UTAWASAIDIA  KWENYE KAZI YAO AU CAREER ZAO NA PIA WENYE UWEZO WA KIPESA WA   KUNUNUA HIVYO VIUNGO VYA ALBINO KAMA WANASIASA, YES WABUNGE WETU, MAWAZIRI WETU, WAKUU WA VYAMA, SIJUI WAKUU WA MIKOA, OPPOSITION PARTIES, HAO NDO WENYE KUHITAJI ALBINO NA WENYE PESA ZA KUNUNUA ALBINO KUSHINDA WEWE NA MIMI WATANZANIA WA KAWAIDA……HII NI BIASHARA YA MATAJIRI AMBAYO KWA STATUS YA WATANZANIA NI WAFANYABIASHARA WACHACHE SANA NA WANASIASA. 
Yes kuna matajiri ambao sio wanasiasa  wananunua ila pia tajiri hana desparation ya kuwa na albino zaidia ya mwanasiasa,hivi si  mnajua kuwa wanaamini kuwa hivyo viungo vya albino vinasaidia  magic powers pamoja na KUONA THE FUTURE? sasa ni nanianaetaka kuona future kama hao wanasiasa???? EEEH mganga wake akishakoroga viungo  vya albino eti ndo anaweza hata kuona amtokeao ya elections so mwanasiana anaona kabisa jamani raisi atakuwa Mwakiyembe au Magufuli basi hapo ndo anaanza kujipanga anachagua the right team ili awanie uwaziri sasa  hivi, kwa yule anaetaka uraisi labda ndo anaona kuwa hatoshinda yeye anashinda nani so inabidia amuue,yani ni mambo kede kede….
So wanavyojifanya kukamata viwaganga vya watu kijijini huko wanadhani wanamfunga nani kamba? labda hao wazungu wa western countries ila sio sisi. We all know who has the albino parts  kwenye hirizi zao,who kachanjiwa na partz za allbono etc…
Na hivyo vi waganga vinavyoshikwa unajua ni vile viwaanga vya vijinini au uswazi mganga mwenyewe hana hata mteja mmoja wa kumlipa laki moja. wateja wako ni wale wa kumlipa elfu 5 mpaka 10 basi… Hiyo milioni 150 atoe wapi ya kutoa order ya albino ,na pia nna swali hao waganga woooooote waliowashika je kuna mganga hata mmoja wawmeweza kumshika hata na ukucha wa albino? hapana and you know why??? because wanawaandama waganga ambao hawana hata hiyo pesa ya kununua hivyo viuongo wanawaonea bureeeee maskini ya mungu…Seriously si wamekamata mamia ya waganga kuna hata mmoja alieshikwa na kiungo cha Albino?
Hao waganga maskini ya Mungu ni wale tunaowahitaji watupigie ramli mwaya ili tujue nani kampiga mwanangu zongo nikamsuteee mpaka hapo mtaani, eti hao ndo wamewakaba kooni kuwashika..Mganga mwenyewe pesa ya kununua kilo ya nyama tu hana ndo  ana $75,000 akanunue viuongo vya albuno, Sasa niwaambieni hakuna mwanasiasa ambae leo hii 2015 eti ana mganga kwenye kijumba cha udongo na hao wa vijumba vya udongo  ndo  wanaokamatwa maskini.
Yeeeees, hawa wanasiasa wooooooote waganga zao wanakaa mbezi beach huko, mikocheniiii, sijui wapi kwenye nyumba za maana na hata kama wako mikoani ni wako vizuriiiiiii,wanaendesha  mabenzi wanavaa suti ,utawajua niwaganga sasa. Na hao ndo wenye pesa au tuseme wenye wateja wenye pesa za kununua albinos. Yes most of them use one or 2 witchdoctors only. yani ni kama vile  wewe ulivyo na doctor wako wa miaka yooote ndo na wao wanastick na mganga huyo huyo as long as analeta results nzuri. So pale mwanasiasi anaposhinda uchaguzi basi ile ahsante anayompa mganga wake jamani mtachokaaaaaaaaa, mganga atanunuliwa nyumba, magari wanae watapelekwa international school. Hata ulaya atapelekwa akatembee.Ahsante tu hiyo
Sasa unadhani politician atakubali mganga wake ashikwe eti, tena atakuwa anamwambia hama kabisa huko mwananyamala hamia masaki maana huko wmanamyala watakushika….
Sasa jamani hivi mnadhani eti albinos wataacha kuuliwa leo ama kesho  wakati the very people who are supposed to  stop these killings are the very ones committing the killings? Au tuseme unaemwambia astopishe albino killings ndo yeye hswaaaa anehitaji mguu wa albino around August ili ashinde elections….uwiii, the best they will do now ili watu waache kuongea nI vifo visiwe reported anymore ni kwamba now watakuwa wanadili na wazazi wa hawa albinos directly. Kwanza kumbuka most of wazazi wa hawa albinos ni poor people  I think imekuwa hivyo sababu population kuwa ya Tanzania ni maskini in the first place and most of them kwanza tayari wameshakuwa isolated na society sababu kazaa albino so anaona acha tu niomtoe nipate milioni 1 yangu basi…Yes utakuta anapewa kamilioni tu huku watu wanapata milioni 150, Sasa wazazi watakuwa hawaendi kulalamika kuwa mwanae kauliwa sababu alimtoa yeye mwenyewe…. hIVI kwani hamjasikia hizi story za kuwa albinos wanakamatishwa na wazazi wao au ndugu zao wa karibu kabisaaaa….IT’S THAT BAD…
Kwanza sasa hivi naskia viuongo vya albino svimezidi bei mara mbili sababu hii ndo high demand season na pia sababu ya hiyo crackdown ya waganga..Yes high season ya elections………
Ukitaka kujua wanakamatwa waganga maskini tu jiulize je kama wanakamata any mganga maana uganga umepigwa marufuku je
Baba Miran anafanya nini uraiani? Baba Miran kazi yake ni nini? kila mtu si anajua? Hilo jina Chief Kiumbe lilitokana na nini? si uganga? mbona hashikwi na hao ndo wenye access na hela za viungo vya albino? Mbona anatembea mjini tu? kwani polisi hawamjui chief kiumbe? wanamjua, hao wabunge, mawaziri hawamjui chief kiumbe? wanamjua hawjaui kazi yake wanajua mbona hafungwi??? EEEH NDO MANA YAKE,,, Ndo Tanzania hiyo eti wanajifanya kujilizaaa huko bungeni wakianza kudiscuss albino killings watajilizaaa  weeeee nakwambia utadhani watu wa maana na mtu akitoka hapo anampiga mganga wake “ulishapata vile vifaa vya kazi mzee mambo ndo yanakaribia yani naweza nikaongeza pesa ” heeee!
Na kwa hili sio CCM  peke yao wooooote, chadema, cuf ushuzii wooooooote hii ndo kazi yao sasa imagine nchini kuna wanasiasa wangapi kuanzia sijui  serikali za mitaa wote wanaloga, bara na visiwani wote wanaloga sasa weka hesabu kila mtu apate albino wake si albimo watapotea nchini tuambiwe watu hawazaagi tena albinos ????Alafu sasa wako serious  kulinda wanyama huko bunga za wanyama kuliko kulinda albino????these people are a joke…
Anyways, nilikuwa nawaarifu tu ili tuache kupotezewa muda na issue za albino na kuwaambiwa kuwa wanatupiga changa la macho na hizo arrest zao za waganga….Wanajikosha tu to the international communitiy kuwa they are doing something about it.
So jamani subirini October  tuangalie matokeo wote watakaoshindwa  ujue  walitapeliwa waliletewa viungo vya wazungu wa Ireland  wakaambiwa albino, wazungu hawakuuwawa ila maiti zao ziliibiwa kwao huko , chezea matapeli wewe, hahahahaha the ones wataokuwa wameshinda vizuri jueni hao ndo walipata seti zooote nne za albino wale watakao fanya vizuri kidogo tu  ujue walipata labda mguu tu walikosa seti nzima watakao pata ukuu wa mkoa ujue alibahita na sikio la albino , and the president of TANZANIA UJUE HUYO ALIPATA A VIRGIN ALBINO GIRL…. jamani nataniaaaaaaa that was just a joke jamani…..Narudia huu ni utani tu jamani… Ofcourse ladba kuna 1 or 2 ambao hawafanyi haya mambo
Noamba niwaulize hivi kweli serikali imeshindwa kuwaprotect possibly maybe 100,000 -200,000 people???Kwa mfano tuseme serikali iweke mabasi huko vijinini watoto wasitembee tena kwenda shule wafatwe na masasi asubuhi wapelekwe shule na mabasi yawafate shule mpaka nyumbani. That means watoot hawatokuwa wanatembea tena peke yao…. Sio vijijini tu yani in short kila shule nchini ambayo ina mwanafunzi albino lazma serikali itoe basi moja au mawili kwa ajili ya kuwatransport hawa watoto back and forth. Sasa tuone kama watakamatwa ever again…
Then wajenge centres sio za kuchukua watoto tu ,hapana thats not fairkama wanavyofanya sasa hivi eti mama umpeleke mwanao akalelewe kama yatima kisa albino. NO wajenge centres kwa ajili ya kuhouse mzazi yoyote mwenye mtoto albino yani wanapewa room kama watishi baba mama na mtoto sijui ila wakewe centres maana. Mzazi mwenywe albino ambae atakataa kukaa kwenye hizo asainishwe mikata na serikali kuwa alikataa mwneywe kukaa kwenye hizp centre na mtoto huyo akiuwawa yeye mzazi ndo atakuwa resposnisble yani ni automatica jail sentence ya 20 yrs kwako mzazi kama mwanao atauwawa, maana kuna wazazi wengine wa albino wenyewe wanawato watoto wakauwawe so wengine watajifanya hawataki ili wapate mwanya…so atakaechukua mtoto nyumbani ajue kuwa anatakiwa kumwangalia mwanae 24/7 ukikaa kwako na mwanao the only assistance ya government utakayoipata ni moja tu school bus ya kumpeleka mtoto shule basiiiii…
Ila sasa uwiiiiii, watakwambia hakuna helaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya kuanya hayo yote,ila in the mean time wana hela za kununua ma G8 sijui manini, kusafiri 1st only , marupurpu ayo hawahesabiki, budget ya jeshi utakutaaaa hiyooooo kubwaaaa.Yani watapeleka buget kwenye vitu ambayo havimsaidiii mtanzania ila waambie vitu vya maana kama hivi….uwiiii….Issue kama hii haitopata support bungeni ever ila sasa waambie issue ya kuua freedom of speech watakavyochangamka huko bungeni na usingizi wote utaisha….hahahahha
Huko bungeni sheria walizopitisha kudeal na albino ni za kishenziii ambazo na wao wanajua kabisa kuwa still they will be able opportunity for them to still kill the albinos…yani wanajiona wana akili zaidi yetu hawa watu.. eti solution waliokuja nayo ni kukamata waganga tena wganga wasio hata  na senti moja ya kununua huyo albino.
Yani hapa solution either ni kweli waweke propoer solution labda sio hizo zangu ila waweke solution za maana la sivyo TB JOSHUA Aletwe apelekwe kkwenye bunge pale awaombeeeeee watokwe na imani ya kichawi,,hehehe mtawaona watakavyoanza ku confess kwa TB Joshua mimi niliua albino watano ila nimeacha …hahaha Ila TB JOSHUA zile confession huwa za ukweli jamani???
Eti wanasema wananchi waanze kuelemishwa kuwa viongu vya albino havina uchawi,wananchi????  mnatakiwa hapo bungeni mkiingia everymorning nyie wenyewe ndo muwe mnaelimishwa… sie huku nje hata bila elimu hatuna hata pesa za kwenda kununua albino…

No comments:

Post a Comment