KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday 10 May 2011

* YOU BEEN SNAP* FROM FACEBOOK TO BLOGGER"

Mimi nimeshindwa kuelewa, kilichoandikwa kwenye cheki hiyo ni milioni tatu na laki nane kwa maandishi kwa namba 380,000 (laki tatu elfu themanini). Vitendo hivi nia aibu na vinawadhalilisha viongozi wetu ukizingatia ya kua imewai kutokea kwa Mh.Rais. Swali la kujiuliza je huu ni usanii, ukosekanaji wa umakini au makusudi? KAMA UMAKINI UNAKOSEKANA KATIKA KUGUNDUA KILICHOANDIKWA KATIKA CHEKI ITAKUAJE KATIKA MATUMIZI YA PESA HIZO?
    • Subi Nukta kukosa umakini, na ulivyomalizia kuwa ikiwa hakuna umakini katika kuandika, je kwenye matumiiz itakuwaje, una haki kabisa kuwaza hivyo, asiyetaka kuwaza hivyo basi anataka kutuaminisha kuwa binadamu ni wakamilifu, na mtu anayesema hivyo ni MWONGO mkubwa. Ila kha, kukosea kila mara? inazungumza zaidi hiyo aisee.
      3 hours ago ·
    • Sian Saw yaani jamani na watu wanakazi na mishahara wanalipwa kuhakiki kazi za hawa wakubwa so the communication office nor the mama kikwete mwenyewe didn't notice? that tells you something there
      2 hours ago ·
    • Juny Man Wazushi tu hawa watu
      about an hour ago ·
    •  
      Flora Bahati Lyimo SASA HUYO MAMA KIKWETE,, INAMAANA HASOMI VITU YEYE ANATIA SAINI NA KUTOA TU...NEXT TIME ATAJA TIA SAINI YA KUOLEWA NA FULANI NA ATAENDA ..MAANA SI UMEHAKIKISHA NA KUWEKA SAINI. .LOL. 
       

No comments:

Post a Comment