| MR P AKIWA HOME NAE KWA MAPOZI NI KAMA MISS FB , NA NDO MAANA WANAPENDANA .LOL. |
| MISS FB @ HOME AKIANDAA MAPOZI YA KWENDA KUM SURPRISE MDOGO WAKE NA RAFIKI MPENZI SHILA" LOVE HER LOTS" |
| HIYO NGUO NZURI SANA, NA IMEKUPENDEZA MNO..HUN, SASA JIWEKE MKAO WAKUIVAA KAMA HIYO TO MY HARUSI ,BUT IWE IN YELLOW " RUWA MANGI" |
| WHOS THAT GIRLLLLLLLLL!! ME LOVE THIS SO MUCH " |
| KWELI HIVYO VIATU NI LV YA NGUVU.KANYAGIAAA" WATAJUAJE SIKU IZI LV ANATENGENEZA VIATU VYA KUTEMBELEA NA VYAKULIWA""LOL" |
| AND MISS FB , AFRICAN KING MR P" WAS THERE TO SURPRISE HIS ONE AND ONLY , SHEM THE BIRTHDAY LV GIRL MISS LUIZA FRISCH" |
| MSOSI TIME ,UKISIMAMIWA NA WALOMPENDA MDOGO WAO ZAIDI BILA KUIKOSA BIRTHDAY YA LV GIRL,MISS LUIZA FRISCH" |
| MACHO YANGU YAPO KWAKO 24/7 ,YANI YOUR SO SO CUTE MR P.AND LOVE YOU SO MUCH!! |
| HOW LOVELY ,MAMA NA MWANA""BLESS YOU BOTH MY DEARS" |
| WHATS A SURPRISE"" MISS FB & MR P ,LOVE YOU LOTS MISS LUIZA FRISCH" |
| WHATS A SURPRISE"" MISS FB & MR P ,LOVE YOU LOTS MISS LUIZA FRISCH" |
| UKIONA HIVI ,JUA MISS FB ,YUPO NA ANA MULIKA NA CAMERA YAKE. THE WORK OF MISS FB CAMERA" LOVE YOU MY DEARS |
| MWANAMKE MAPOZI NA MKIWA NAYO ,MBONA WATACHUMA MIGOMBA, BADALA YA KUKATA" MISS FB & MISS LUIZA FRISCH THE LV BIRTHDAY GIRL' WAKIWAONYESHA MAPOZI YAO" |
| HAYA PIGENI MAGOTI ,KUBARIKIA CHAKULA CHETU" LOL" |
| MWANAMKE MAPOZIIII,NA UKIYAJULIA , MBONA WATACHUMA NDIZI ,BADALA YA KUKATA!! |
| REMEMBER OUR FIRST TIME WE MEET HERE HUN !! |
| KAMA UNA MACHO HUTAKIWA KUULIZA IF MAPENZI YA MR P & MISS FB NI YA UKWELI AU UWONGO"" |
| MISS LUIZA FRISCH ,AKITUFUNGULIA KITU CHA KUTEREMSHA HER LV CAKE" |
| HOW LOVELY ,ME LOVE YOU MY DADA'S " |
| THE LOOK OF SO HAPPY "" |
| THE PROPER LV CAKE EVER "" ME LOVE IT SANAAA!! |
| THE PROPER LV CAKE EVER "" ME LOVE IT SANAAA!! |
| KAZI YA CAMERA YA MISS FB ,HAINA MAKOSAAA!! |
| KAZI YA CAMERA YA MISS FB ,HAINA MAKOSAAA!! |
| NILISHE NI KULISHE ,NDO ISHARA YA UPENDOOO" JESTINA NA LV BIRTHDAY GIRL ,MISS LUIZA FRISCH" |
| KITU CHA UKWELIIIIII""" |
| MFANYAKAZI AIJUAE KAZI YAKE" HUU SIYO MUDA WAKUCHEKA AU WAURAFIKI" SAFI SANA" |

No comments:
Post a Comment