KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 20 December 2011

Diamond Arudisha majeshi kwa Mpenzi wake!!!!!!!.MKILETEWA HAPA NA MISS FB-FLORA BAHATI LYIMO"



Msanii wa kizazi Kipya Diamond Platinum Akiongea na Miss Jestina Goerge kuhusu show zake London na kuweka wazi uhusiano wake yeye na Wema Sepetu.

MISS FB -FLORA BAHATI LYIMO.MY FEEDBACK TO THIS INTERVIE"
Kwanza kabisa Jestina Hongera umejitahidi and i hope from my feedback and OTHERS you will improve. sitasema mengi maana nami nina shughuli kibao.ila I WANT MY TANZANIA PEOPLE TO DO THINGS RIGHT" (A) UNGELITAKIWA KUJIANDAA WITH KEYNOTE YA INTERVIE HII.
na keynote yako ingetakiwa iwe kama ifuatavyo . ask him about this Girl JOKATE maana yeye ndo sasa hivi analaumiwa na matusi chungu nzima kutoka kwa (Wema ) kwa pale pa kutaka kuvunja UCHUMBA WAKE NA WEMA" JE NI KWELI KWAMBA KAWA NAE HOTELINI KIMAPENZI NA SIYO KIBIASHARA .? Jokate anasema yeye alikuwa na Diamond kibiashara...
(B) Msimamo wake yeye na Wema na Jokate upo vip? yani ungetakiwa kuwaongelea wote hasa anayelaumiwa kuharibu. JOKATE..!
(C) Alafu hayo makofi unayoyapiga piga sijayaelewa niya kushangilia nini au kufukuza nini ? wewe unatakiwa kusimama na kuwa na MALENGO YA INTERVIEW HIYO " na kumfanya nae kuelewa ana INTEVIE EXCLUSIVE NA WEWE...YANI tuwe tumeyasikia hapa kwako kwanza.!MAANA HUYU DIAMOND watu tunataka kusikia Ya ukweee.. kutoka mdomoni mwake.hasa AKIWA HAPA UK -LONDON "
Wewe sikia hapo ulipomuuliza kuhusu kumchumbia Wema ...swali lake ni laudanganyifu ..bado hajatulia kabisa ..yes amemchumbia kwa pale mimi napaita WAKATI ULIOPO ..Ama vipi kama anavyo dai ETI ,I LOVE MY BABY ..hapo ni uwongo mtupu ..angetakiwa hata kumpa POLE " akisema hivi..I LOVE MY BABY Wema and im sorry ...and so on...." yani ama kweli wanaume WAKISASA HAWA ..WATATUFANYA WANAWAKE TUCHUNANE NGOZI BURE.. ILA mimi nawaomba KINA MAMA/DADA WOTE.. jueni hao wanaume WACHUKULIENI KWA WAKATI ULIOPO NA WAKATI ULOPITA.. AKIJA MPOKEE..AKIONDOKA MWONDOKEE.la sivyo mtakondaje?
"MBUTA NANGA!!
NI hayo tu ..wenu wa mishapo na mapicha ya ukweli ..MISS FB.

4 comments:

  1. flora bahati lyimo feedback yako mzuri sana, ila ulikuwa wapi wakati shoga yako jestina george anainteview ? yani anajiaibishaje!!

    ReplyDelete
  2. Flora Nimependa ulivo-narrate hapa kuhusu ile interview...UPO JUU!!

    ReplyDelete
  3. nimeipenda comment yako yanii mamii

    ReplyDelete
  4. The interview is so shallow. Kulikuwa hakuna haja ya kurusha kama hakuopen up kwako. Ni kiherehere chako tuu so vile......

    ReplyDelete