KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday 14 August 2011

* YOU BEEN SNAP" ANGALIENI NANI ALONYIMWA PIPI" KWELI ZA MWIZI AROBAINI" NA KILA PICHA INAELEZA HABARI YAKE"

KUANZIA KULIA,  FIFIE , PETER MAMA WATOTO, MTOTO WAO , NA ALIYENYIMWA PIPI..PETER MWENYEWE. NA WMISHO RAFIKI WA SHULE YA MTOTO WAO"20-07-2011 ???"

19 comments:

  1. SALAM WADAU!!
    " NASHUKURUNI SANA KWA KUFIKA HAPA NA KUMUONA ALONYIMWA PIPI..PETER NGATIKA...CHAKUSHANGAZA NIKWAMBA MPAKA SASA HIVI MLOFIKA HAPA KUMUONA ALONYIMWA PIPI,IDADI YENU NI 456.NA WENGI WENU MKIWA HAPA HAPA UK ,, CHA KUFANYA NI KWAMBA ,MWENZENU ANAONEWA NA YUPO MASHAKANI,,KWA PALE AMBAPO HALIJUI ALIFANYALO ,YEYE KESHA FANYWA KAMA LIBOGA FULANI HIVI ...AFANYE KAZI NA KAZI HIYO HIYO NA HELA ZAKE ZOTE KUISHII MVUNGUNI ...MAENDELEO YOYOTE ASIWE NAYO ..YEYE BORA AWE NA MAMA KUMPITA UMRI NA KULAZIMU MAMBO MENGI KUFANYIKA .BILA HISANI YAKE YEYE MWENYEWE (PETER)..MPAKA MAMA WATOTO KAMUITIA NA POLICE ,KISA KAMPIGA..UWONGO..CHASEMEKANA HAKUMPIAGA. SO KWANINI TENA KUMRUDISHA AU NYIE MWAONA NI KUPENDA KWAKE PETER KUMRUDIA NA PIA POLICE WASHAMKATAZA ASIFIKE KARIBU NA HUYO MAMA WATOTO , NA NDIYO MAANA HATA BIRTHDAY YA MTOTO WAKE ,HAKUHUDHURIA...MIE WALA SINA MUDA WAKUWAJULISHA POLICE , ATAJUA MWENYEWE ,NAAJUE KWAMBA WAKIJUA YUPO HAPO ANAVUNJA AMRI YA POLICE, AMESHAAMBIWA ASIONEKANE HAPO KWA MAMA WATOTO WAKE KWA BAADA YA MIAKA MITANO)sasa sijui kama ndo alaelewa Kizungu au ndo basi haelewi..JAMANI MWENZENU MSIKAE NAE KUFURAHI PARTY ZAKE ,KULA NYAMA NA POMBE ZA BURE..ANAHITAJI MSAADA, MSAADA WAKUWA FREE!! , tumsaidieni VIPI? .hapo ndo pakujiuliza, na je kwanini mwenzenu kuteswaa? ANGALIENI HAPO PICHANI , MWENYE RAHA NI NANI SASA ? MIE SINA MENGI .ILA MSHAYAONA MENGI NA MIMI UNAFIKI ,SITAKI...HAPA NI LONDON NA SIYO BONGO...NA MIMI MISS FB aka FLORA BAHATI LYIMO ..SIMOOO ,NA FIFIE mama watoto wake, ANABAHATI MIE NAAMINI ,NINAKILA KITU MWANAUME YOYOTE ANACHOKITAKA, NA KUWA NA MME YOYOTE NIKITAKA HAKUNA ATAKAE NIZUIA..KWA HIYO NDO MAANA ..MWANIONA SINA SHIDA , NA RAHA NA JIPA MWENYEWE ZINGINE ZIKIJA KAMA TOP UP...NA PENDEZA NA NGA'ARA NA TENA NATAFUTWA MIE..HUTANIONA HATA SIKU MOJA NAMSHIKA MWANAUME WANGU ,KAENDA KUFANYA UTOMBI TOMBI WAKE HUKO ,ALAFU BADO NAMRUDISHA NA KUMLAZA KITANDANI MWANGU..NEVER..WANAOFANYA HIVYO NI WALE WAGONJWA ,VILEMA ,AU HATA VIPOFU ..MPOOO... anyway , PIA ASANTENI SANA KWA COMMENT ZENU , ILA KAMA COMMENT NIZAMATUSI SIZIPATI ,NA ZINAONEKANA KAMA JUST NUMBER OF COMMENTS..SO DO NOT PUT COMMENT ZENU KWA KUTUKANA..HAPA MNATAKA MUTOE USHAURI MZURI AMBAO UNAWEZA KUWA MANUFAA, KWA PETER,FIFIE AU HATA MISS FB..BUT MIE,,NIMEMUACHIE HUYO FIFIE AENDELEE KUMTESA KIJANA WA WATU ...KWANI MALIPO AMESHAYAONA YEYE MWENYEWE..GOD BLESS YOU NA NDO HIVYO ...YAH...SIPO NA PETER NA NAMUONEA HURUMA SANA..NA KAMA UNAISOMA HII MSG..PETER ..NIJULISHE WAPI NIKUTUMIE VISA CARD YAKO, KWANI MY BANK WAMEKUKUBALIA ,SO IPO NA KAMA NIKUIPOST ,SI WEZI IPOST MAANA NAJUA FIFIE WAKO YEYE KILA BARUA ZIKIJA HATA ZAKUTIA SAINI ,NA KAWEKA SAINI MWEYEWE ANAKATAA...SI NIMAAJABU HAYO.SO NDO MAANA SITOIPOST HAPO ..ILI UPATE BANK CARD YAKO MWEYEWE..KWA KUKUSAIDIA TU..HAPA DUNIANI WATU NIKUSAIDIANA..AND YES..NAKUOMBEA MUNGU AKUONYESHE JINSI YA KUISHI NA KUFURAHIA MAISHA YAKO, BILA KULAZIMISHIWA NA KUWEKEWA VIKWAZO..BUT NERVER WITH ME AGAIN"

    ReplyDelete
  2. kazi kazi nilisema jamani what goes kwa ukuta must come back hakuna mwisho usio na mwanzo. Umeona umeshindwa sasa yoote haya ni matokeo ya maisha yako na uamuzi ulioamua kukaa na mwanaume wa mtu. Mungu akuongoze, omba msamaha, kapime, jitulize na sio wewe ni woote wa london North mnaowachukua wanaume wawatu mungu yupo anaona ni wa kila binadamu mungu amesikia kilio cha mama wawatu. Nakuonea huruma flora sio uongo ni aibu wafundishe woote mashost zako list unaijua yeyeote uliesikia ana toka na mtu si wake au mmekuwa mkijadiliana hayo si maisha. wanawake tupendane, sio wewe ni dadazako , ndugu zako tu ni maisha. mume wa sumu na alichokiunganisha mungu mwanadamu yeyote asikitengenishe, ni hayo. all best.

    ReplyDelete
  3. KWANZA KABISA WEWEUNAEJIITA Anonymous ..ingefaa kama unge jiweka SURA YAKE..DONT YOU THINK IS GOOD TO BE YOU AND BE PRAUD ? Pili..Asante kwa maoni yako mazuri na mambaya..so unataka kuniambia ni HUKU NORTH LONDON peke yake ndo watu wanachukuliwa waume zao ? na JE UNAWEZA KUNIAMBIA HAO WAUME WANACHUKULIWA WAKIWA MAITI AU HAI ? NA JE HAO WANAWAKE ZAO WANAKUWA WAPO VIPI NA HAO WANAUME WAO? WANA WANYIMA PIPI AU ? ,mbuta nanga!! BASI WAKAE WAKIJUA WAKIWANYIMA HIZO PIPI WAJUI ZIPO MADUKANI MPAKA MASOKONI,SO KAZI WANAYO ..NA KWELI MIE KAMA NI KUOMBA MUNGU NISHAOMBA SANA..NA KAMA NI KUNISAMEHE ASHANISAMEHE NA KANIAMBIA ,HALIKUWA KOSA LANGU ,LILIKUWA NI KOSA LA MTAFUTAJI..MPATAJI NI BAHATI YAKE,TENA MPATAJI SINGLE " NAMI NILIKUWA MPATAJI..SO HATA WEWE JUA KWAMBA KAMA UNA MMEO/MPENZIO/ MKE AU MME ,NA ANAPOTOKA PEKE YAKE KWENDA KUZURURA ,JUA KWAMBA KAMA HUJAMBANDIKIA KIPANDIKO USONI KUWA NI MME WAKO ..JUA UTABAKI UKICHUJA MACHICHA YA NAZI ZILIZOCHUJWA TIYARI.NI HAYO TU..JUA IM BACK TO MY MAN,MZUNGU WANGU..OH YES" NA PICHA ZITAFUATA,,KAA MKAO WAKUCOMMENT"

    ReplyDelete
  4. KIBANDIKO USONI HAPO..LOL.KAMA UNA MME /MPENZIO AKITOKA HAKIKISHA UMEMBANDIKA KIBANDIKO ..KINACHOONYESHA KWAMBA NI MMEO /AU NI MKEO,USONI...NDO MAMBO YA ANONYMOUS HAYOO....KAZI KWENU WADAU...NOW MPO 655.MLOISOMA HII PICHA "yani sijaamini mkisikia mwenzenu kanyimwa PIPI...mpo fasta kufika nakumshuhudia kweli kweli..haya msisahau na kuwa member..follow you been snap..mipasho na picha za kila aina.kila siku ...LOVE YOU WADAU WA MISS FB" KUDADADEKI PAMOJAAAAA""

    ReplyDelete
  5. wera wapashe wapashe hao vitombi tombi. Ndo maana nakupendaga MISS FB mchaga mwanzangu. Mbuta Nanga

    ReplyDelete
  6. MBUTA NANGA" kyeende waryi na kyipata ndao ..chaa..RIYAMHO NDAO MCHAGGA MWEZANGU..LOVE YOU NA PAMOJAAA....

    ReplyDelete
  7. mwanaume anatia huruma huyu na inaelekea wote wawili mnamchanganya. Pole yako kaka ila umeyataka mwenywe. Amua moja na kumbuka kusali sana maana Mungu pekee yake ndo atakae kusaidia. Na upungunze ukitombi tombi

    ReplyDelete
  8. kwa bahati huna ingekuwa mimi nisingemkubali tena huyu kitombi tombi lakini ukajiona wewe babkubwa mwenzio alikuja na haja moja ukaona ueneze habari sasa kipo wapi hukutegemea ndio maana ukaamua uanze kuandika rubbish wezako wote wanakucheka ama kweli malipo hapahapa duniani mungu alivyo mkubwa hata miezi miwili haijafika baada ya kusherekea mwaka wa kukaa pamoja duuuh kijana kiboko

    ReplyDelete
  9. Mimi ushauri wangu keep quit maana mambo ya aibu dada yangu ulinogewa mpaka ukamwita king hata wakina mengi hawajaitwa king na wake zao ndio next time kaa kimya dear

    ReplyDelete
  10. Nani anamcheka na uongo wenu. Labda wewe ulieweka comment hapa ndo una mcheka na kueneza maneno kama kawaida yao. Kwa taarifa yako we Anonymous was 17 August 10:39 kutwa Peter anampigia FB simu kumuoba warudiane FB sasa ana mzungu wake na hamtaki liboga lenu hilo kaeni nalo wenywe.

    ReplyDelete
  11. Acha kutombatomba peter ngatika amua moja north au west kaka usikae na mshangao umepatika mwaka huu na huyu fb anakuanika vibaya wenzako wote tunatoka nje wake zetu hawajui sasa leo mambo hadharani

    ReplyDelete
  12. sio peter kitombitombi list inakuja hapa na flora uwaanike hao. nipe tano kesho nishushe list hapo. Vitombitombi wote mtabeba mawe mwaka huu.

    ReplyDelete
  13. akha mpaka wanaume wana comment humu kweli liboga kapatikana.

    ReplyDelete
  14. HAHAHAAA, kweli mnanishangaza,,, yani sijui hata niwaambieni lipi mpate kuelewa KISA NA MAANA YA KUWEKA HIYO PICHA NA KICHWA CHA HABARI ,NI KUMSAIDIA HUYO KAKA WA WATU..mwenzenu anateseka nyie mwamuona na kitambi chake cha nyama na pombe..shauri ya mawazo hajui alifanyalo..yeye ni kazi ,viela vikiingia kwa mama watoto wake ,baada ya kulipwa zote zinaishia mvunguni , anabakishiwa za pombe na nyama ..wenzake wakienda TZ kujirusha nae kabaki akihesabu lini atalipwa apate pesa za pombe..NDO MAANA HATA ANAJITOKEA KUJITAFUTIA PIPI MAANA HATA PIPI MAMA WATOTO WAKE HAMPI..SO KIJANA MDOGO ATAKAA KAMA KIJIBABU CHA MIAKA 80 YRS OLD? kweli malipo ni hapa duniani ,na huyo mama watoto wake ,sijui Mungu ampe malipo gani tena, keshavunjika mbavu, kiziwi na magonjwa mengine mie si semi..sasa hayo yote ni ya nini ? NARUDIA TENA ..MWANAUME HAWEZI KUKUTENDEA ALOKUTENDEA PETER NA UMESHAMUITIA MPAKA POLICE ,NA BADO WAMFANYA LIBOGA NA KUMRUDISHA TENA HAPO..SIYO PETER KARUDI HAPO NA AKILI ZAKE...WAJUA POLICE WAMEMPA MIAKA 5YRS NOT TO BE NEAR YOU..LICHA YA YOUR HOME..UPOO..HUSIKII NOW UTASOMA ,NA OMBA MUNGU ASIJE KUKUFANYA NA KIPOFU .. MIE SIMO NA PETER HUTONIONA NAE TENA..ILA ATAONDOKA NA KUENDA KWA MWANAMKE MWINGINE .WE SUBIRI ,UPEPE MPYA UMJIE..KIJANA MDOGO HUYO AKAE BILA PIPI NA UJANA WAKE , JE AKIWA MZEE NDO UTAMPA HIYO PIPI,,NA WEWE UTAKUWAJE ANGALI UMRI WAKO NAE USHAUONA LONG TIME"" HAYA YOTE YANATOKANA NA WEWE NDO MAANA NAPATA NAFASI HII KUKUOMBA UMUACHIE KIJANA WAWATU HURU..."NA KAMA NI KWELI ULIFIKA HAPA HOME KWANGU,,BASI NADHANI UMEJIFUNZA MENGI,,,MWANAMKE NYUMBA ILOSAFI NA YAKUVUTIA,,,UPOO!!

    ReplyDelete
  15. Da flora jilie vyako mwaya mana kwani huyo mtu alivyokuja kwako alikuwa na pete ya ndoa? nakuunga mkono wenye wivu na wakazibeeee.

    ReplyDelete
  16. Thanks hun, Da Flora wako , anajilia vyake tena kwa KISU NA UMA wangu,, na kweli hakuwa na pete mkononi wala kibandiko usoni, huku na ndoa fake ya kudanganywa kujibadilisha dini, eti MSLAM.huku kesha ambia ndoa hiyo ilikuwa ni ya utapeli,, kapewa all clear kwamba hajaowa na wala asijejiweka kwenye kundi la wenye ndoa zao...na huku mama watoto akimbilia nipe tala ,nipe talaka, TALAKA YENYEWE NI KUANDIKIWA TU,,ILIMRADI KESHAPEWA MANENO YAKE MATATU...NA HUKU ANARUKA HAJAPEWA.NAWAKATI USHAIDI UPO.jamani huku siyo BONGO NI ULAYA"".WANINI KUMTESA KIJANA WA WATU...NA HUTOMUONA NA MIMI TENA,,MIE SIYO MTU NAKIMBILIA WANAUME..MIE NAWATEMEA MBALI SANA...NA TENA NACHAGUA ...NAPENDEZA MIE , NAMVUTO MIE, SIJIKOROGI MIA, IM BLACK AFRICAN BEAUT,,UA LA KICHAGGA ULAYA...endeleeni kulikoraga na mlikoroge vizuri ..maana mtalinywa wenyeweee....ni hayo tu, mie nipo job kama kawaida..nyie kukaa VISIMANI ,NA KWENYE MASHUGHULI KUWASEMA WENZENU,MPAKA NA NYUMBA ZENU MWAZIACHA ZIKINUKA MUDA WAKUZIFANYIA USAFI HAMNA...haya kazi kwenu ..mnajijuaaaaa....

    ReplyDelete
  17. african king peter! mboni ktk hii picha anaonekana anahuzuni saaana!! niajee yaaani akili haipo hapo,full mawazo km anataka kulia hiiiiiii!au una miss mambo ya african queen FLORA! Rudi home you both lv each other and missn each other jst follow ur heart not your..the door is open! you look very sad and comfuse!! life is to short we knw exactly that u r in luv with florah!! thatz why ur keepn on goin back to her!! is only circomestance ..tie u up

    ReplyDelete
  18. Excellent blog here! Also your site loads up very fast!
    What host are you using? Can I get your affiliate link to your host?
    I wish my site loaded up as quickly as yours lol
    Check out my web site insurance rate quotes

    ReplyDelete
  19. My family every time say that I am killing my time
    here at web, but I know I am getting familiarity everyday by reading thes nice posts.
    Also see my site: olejki zapachowe sklep

    ReplyDelete