KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 9 August 2011

* YOU BEEN SNAP * THE WORK OF MY CAMERA..KWA WALE MNAOFAHAM MY HOME AND DALSTON .ANGALIENI YALOTUPATA WENZENU JANA 08-08-201"

<><>
hivi ndivyo ilivyo now , yani nimetembea karibia masaa mawili, baada ya kutoka job na kukuta hamna njia yakupita kwenda nyumbani kwanguyani hamna mabasi ,..yani ni miguu tu, na nilipokuwa na tembea nilikuwa nakutana na vijana wengi wadogo wakiwa wamefunika nyuso zao ,utakachoona ni macho tu, na wapo na baisikeli zao na chupa mikonini,wanaelekea huko wanako ambiaana kwenye sim, maana wengine walikuwa wanaongea na sim zao za mikononi. namshukuru Mungu nimefika nyumbani salama, ila pia usiku kulala naogopa kwani huwezi kujua lini wanakuja na saa ngapi..sasa London tupo mashakani kabisa, jamani Tuombeeni London  na England yote.


haya ni magari ya Police wakiwa ndani ya magari yao na tayari kwa fujo yoyote..wanawasubiria hao vijana waliopo sehem mbali mbali za London wakitafuta mahali pa kuiba..mimi naweza kusema ni WEZI ..siyo kitu kingine..




No comments:

Post a Comment