KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 22 November 2013

BY:FLORA LYIMO ~ RAIS KIKWETE AKIAMBATANA NA MKE WAKE MAMA SALMA 'AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI POLAND' FLORA LYIMO ASHANGAA'MBUTA NANGA''KUMBE KUNA WATANZANIA IN POLAND PIA''FAB NEWS!!


 HUYO WA KULIA SIJUI KAMA ANAJUA YUPO HAPA KWA UTANZANIA ZAIDI ''MAANA NAMUONA NA MKUFU MKONONI WA KENYA'' HUKU MWENZAKE AKIITIZAMA KWA KIUCHUNGUZI ZAIDI KITAMBULISHO CHA TAIFA CHA MMOJA WA MAOFISA WANAOONGOZANA NA RAIS KIKWETE WAKATI WA KUKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI POLAND JANA ,WENGI WAO AMBAO NI WAKAAJI WA POLAND HAWAKUWA NA HABARI KWAMBA VIITAMBULISHO VYA TAIFA VIMESHAANZA KUGAWIWA WANANCHI '
 ALIESIMAMA NA ALIEWAHI KUWA BALOZI WA POLAND NCHINI TANZANIA AKIJITAMBULISHA  HUKU RAIS KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA AKIONEKANA KUFUNGA MIKONO KWA UZIBITISHO WA KUSIKILIZA ZAIDI''
 MWALIMU ANNAPACIOREK AKIULIZA SWALI ''
 PADRI AKIELEZA JAMBO  NA WENGI WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI 'TIZAMA SHINGO ZAO UTAWASOMA ZAIDI''RUWA MANGI''
MASWALI YAKIWA YANAENDELEA'
HONGERENI SANA WATANZANIA HUKO POLAND'KAMA MPO FACEBOOK NA MNAPITIA HAPA FLORA LYIMO BLOG' PIGENI HODI NA KUTURUSHIA MATAMU YA HUKO POLAND NA VILE VILE TUJUE MPO HUKO JAMANI'' MIMI NAAMINI SASA KUNA WATANZANIA KATIKA NCHI ZOTE DUNIANI MBUTA NANGA!!


TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA MMB''

No comments:

Post a Comment