KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday 3 September 2011

* YOU BEEN SNAP* NOW YOU CAN SEE IT " HII NDO MOJA WAPO YA PICHA NILIYOWEZA KUPIGA BAADA YA BIKIRA MARIA KUTOKEA NYUMBANI KWANGU" MWAKA HUU"

EXCLUSIVE -THE WORK OF MY CAMERA ,BY MISS FB"
" by MISS FB"
Tumsifu Bikira Maria Mama wa Mungu"
Hii ndo picha ya ajabu , ya mwanga uliotokea na kubakia nyubani kwangu kwa muda mchache" na mara kupotea kabisa" na ukitazama vizuri unaweza kuona kitu kama mwezi au jua ,na vile vile kama mtu kati yake. that is what i can see, i dont know about you " lakini hii ni habari ya ukweli na ukweli mtupu , kwa wale watakao amini.wale hawataamini hatuwezi kuwafanya kuamini msichoamini. BUT MANENO YAKE ALO NIACHIA NI KWAMBA, TUSALI SANA ROZARI NA KINA MAMA/DADA WAZIBEBE ROZARI HIZO KWENYE MABEGI YAO.KWANI HIZO NDIZO UFUNGUO WAKUINGIA MBINGUNI"
SO MY DEARS MESEGI NDO HIYO .USIKOSE KUINUNUA ROZARI YAKO NA KUIBEBE KWENYE BEGI LAKO. Tumsifu Bikira Maria Mama wa MUNGU.ameni"
;MIMI NA NYUMBA YANGU NA MTUMIKIA BWANA ,
'NA NIMEBARIKIWA SANA"

No comments:

Post a Comment