KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday 31 October 2011

* YOU BEEN SNAP* album 3 OF 3 NA YENYE MPAKA WALOKUWA WANATAKA KUCHUNANA NGOZI ,WANAJIJUAA. ALO ANZA NA ALOMALIZA.hivi na yule mwingine angelikuwepo ingekuwaje" JAMANI TUPENDANENI ,KUPIGANIA WANAUME AU KUJIONA MZURI KULIKONI ,HIYO IMEPITWA NA WAKATI" NDANI YA MATOKEO YA MALKIA WA MIPASHO KHADIJA KOPA TOUR .UK IN MK 29-10-2011"





MWANAMKE MAKALIO NA KUWA NAYO MAJALIWA
;DA -REHEMA"SONGA MBELE KAWASONGAJE NYUMA!!SALUTI MY DEAR"





LULU CLARA, AKIWAHAKIKISHIA SIYEEE.
;MWENYE KUANZA UGOMVI"





Hottttt,MR & MRS OF ALL THE TIME" NAWAPENDAJE "




J-MRUSI NDANI YA KOPA NIGHT ....



KAMA KULETA MBEGE YAKO HOME HAIRUHUSIWI  HUM NA MIRAA JE"
 MIRAA SIJAZIONA FOR A LONG TIME "NILISHANGAAJE KUIONA"





















HAYA WEWEEE, PIGA UWA,, ILA TAFUTENI SIKU YENU JAMANI SII SIKU YA LEO WENGINE TUMETOKA MBALI MPAKA TANZANIA KWA AJILI YA MALKIA WA MIPASHO KHADIJA KOPA" NYIE MKIANZISHA YA KWENU YA KUCHUNANA NGOZI NITAKUJA NA CAMERA MBILI .MBUTA NANGA""
PENDANENI NDUGU ZANGU""NA NINAWAPENDA WOTE"

Haya weee, aloanza ugomvi hapa ndo nani..nawaona watu mnacheka kufa kwaja.hhaa""






FAB ,YANI I LOVE THE DRESS AND EVERYTHING WAS 10/10. PLS DONT RUDI TANZANIA"

kwa Miss FB Taarabu ni mpaka nje tena popote pale mie nacheza tu"
haya twende KHADIJA KOPA ,"mwambie yule mwanamke aelewe,,
UMEOLEWA KWA HAM, UMEACHWA MWAKA JANA"" mbuta nanga!

Jamani kumbe napendwa hivi ,yani he was like OMG MISS FB ?
oh yes is me my dear ,hakuna mwingine kabisaa"



MR J- Mrusi was nice kukuona na macho my dear,na asante kwa kujitambulisha kwangu , God bless na pamoja in facebook & you been snap!!


Mpaka hela zote nilizokuja nazo ziishe ndo nitaacha kumtunza Malkia wangu wa mipasho nakupendaje"

KARIBU TENA NA TENA KWA HII YOU BEN SNAP BLOG . YOUR BLOG OF THE YEAR JANUARY 2011.
NITAHAKIKISHA NINAWAPEPERUSHIENI MAPICHA NA MIPASHO YA UKWE..DONT MISS OUT THIS BLOG EVEYDAY,PANAKUWA PANA KITU KIPYA.
AU KUONA YALE YALOPITA
WEWE
ENDELEE NA OLDER POST kulia kwako mwishoni"

No comments:

Post a Comment