MY SIS WA UKWE..NIMEKUPENDAJE,,,STAY BLESS NA FAMILIA YAKO MPENZI.MWAHXX" |
DA REHEMA NA MAMA YAKE MDOGO .MWANAMKE NYONGAA" NAWAPENDAJE" |
Lulu mwenyewe huyo mpaka chini dear!! Watakoma kusonga ugali kwa kutumia VIDOLE" |
Tumekutunzaje Malkia wetu wa mipasho . ;MAHELA YA KILA RANGI "" |
Dada yake (Missy Temeke) akimuwakishiaaaa.... |
bwahahahahaaaaa!!! nimecheka sana na picha ya huyo mmama mzee alievaa night dress.bwahahahaaaahaaa.vijitakooo, bwahahahaaaaa
ReplyDeleteHEEE,,SI MCHEZO ANONYMOUS OF 06;21.
ReplyDeleteILA KESHASHIKA ADABU MIMI PICHA NIMEIONDOA HAPA..ILA ZINGINE ZIME KWA WALOMPIGA PICHA SIKU IYO NA WALOPIGANAE PICHA NDO WANAJUA ...SKU YAKE YA KUKOMA KUINGILIA YA WATU ILIFIKA..WHO TOLD HER TO WEAR THAT CHUPI JOINT DRSS? NOT ME " SO THANKS KWA YOUR COMMENTS ALL..ENDELEENI KUPENDEZA MY DEARS HAPA KWENYE HII ALBUM AND ALL OF YOU MLOFIKA KWA KOPA RUSHA ROHO NIGHT 29-10-2011.MK..TULIPENDEZAA SANAAA...BORA TULIOKUWA TUMEJIAMINI.SO KUWA MAKINI NA UVAACHO WAKATI UNATOKA NYUMBANI KWAKO" GOD BLESS YOU MY DEARS.
MISS FB.