KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 23 December 2011

* YOU BEEN SNAP* XMAS DINNER WITH ALI KIBA NDANI YA MISS FB -FLORA BAHATI LYIMO BLESSING HOME. KI CHARITY ZAIDI 22-12-2011 TO RAISE MONEY KWA WALIOKUMBWA NA MAFURIKO MKOA WA DAR ES SAALAM "

MR AK & MISS FB "NICE TO HAVE YOU HERE MANNN" NAKUPENDAJE!

Together WE CAN. SAIDIA WALOKUMBWA NA MAFURIKO HUKO DAR ES SAALAM KWA KUNUNUA SCARF HIZI AU CHOCHOTE KILE AU TOA KWA MOYO WAKO WOTE CHOCHOTE UWEZACHO.


Ali Kiba hapa akuonyesha less dress scarf of Tanzanian colour blocking flag "nimezotoa kwa ajili ya kuwasaidia walokumbwa na mafuriko huko Dar Es Salaam  .zinunue scarf hizi siyo chini ya £5pound ,najua WE CAN DO IT " hiyo itakuwa zawadi kubwa sana kwahao ndugu zetu kule nyumbani kwa mafuriko hayo yalowakumba"
Thanks so much Ali Kiba
& keep up the good work !!


Machalari ndo hayoo.VICTOR wasemaje tena my dear...ndo mkao wakula tuuuu!!

Hii supu si mchezo jamani ,itabidi muwaulize waloinywa..kuku wakienyeji ,pili pili na karoti"



 

Love your new xmas haircut my dear" umependezaje "

Karibuni sana WADAU !
Naomba niwaeleweshe mambo muhim tuliyazungumzia tukiwa hapa nyumbani kwangu na ALI Kiba. La muhim hilo ni KUHUSU HAO NDUGU ZETU WALOPATWA NA MAFURIKO HUKO HYUMBANI DAR ER SALAAM.zilizosababishwa na mvua zilizonyesha kwa wingi tangia jumanne ilopita" nafikiri wengi mpaka sasa hivi mmeshaziona Picha za maeneo mbali mbali NA KWA KWELI ZINATIA HURUMA NA HATA MAJONZI. basi mimi nimejitolea kwa kutoa hizo scarf za Bendera ya Tanzania KWA LENGO LA KUZIUZA SIYO CHINI YA £5. ILA UNAWEZA KUZINUNUA KWA BEI YA JUU YA HIYO £5 POUND.  na vile vile ukinunua chochote kile cha FLORA LYIMO DESIGNER .NUSU YAKE NITAITOLEA KWA HII YOUTH FOUNDATION. mpaka sasa nimeshapata £ 50. na matokeo ya chochote mtakipata hapa kwani nitahakikisha zimefika ninapozitaka zifike na nyie ni lazima mtajua kwa kuona matangazo yote hapa kwa hii blog yangu na yenu .
YOU BEEN SNAP BLOG OF THE YEAR JANURY 2011"
NA KWA MAELEZO ZAID KUHUSI YOUTH FOUNDATION . SIM :+255712328862
EMAIL: progresstheyouth@gmail.com
Kwa kuweka oda yako ya hizo scarf au chochote cha Flora Lyimo Designer.sim:07787471024
EMAIL: flo1974@btinternet.com
ASANTENI SANA NA KUMBUKENI KUWAPA £5 AU ZAIDI UTAKUWA UMEFANYA JAMBO LA MAANA SANA KATIKA XMAS HIKI NA VILE VILE KUJIPATIA SCARF YAKO DESIGN BY MISS FB"
 MUNGU ATAKURUDISHIA KWANJIA ZAKE MWENYEWE.
HAPPY XMAS WADAU WANGU NA TUENDELEE KUPENDANA NA KUSAIDIANA"
GOD BLESS TANZANIA NA ULIMWENGU MZIMA
AMEN.RUWA AIKA MBEE!!

3 comments:

  1. flora bahati lyimo ,Mungu akubariki jamani your so kind to everyone..we love you mdada wa kitanzania wa ukweli.

    ReplyDelete
  2. weldone ali kiba ndani ya miss fb blessing home..hongereni sana kwa kuwasaidia wenzetu walopatwa na mafuriko .Mungu azidi kuwabariki .

    ReplyDelete
  3. hivi flo nyie mnatoka au ..jamani mnapendezeana.mrs Ali kiba....mbuta nanga!

    ReplyDelete