MY LIFE....RAHA JIPE MWENYEWE MAISHA MAFUPI ETI EeeeeeE" MBUTA NANGA!!
New Year: Love
Jan 1, 2012
I CANT WAIT FOR THIS YEAR TO END...
MWAKA HUU KWA MTAZAMO WANGU KWA WENGI HAUJAWA MZURI HATA KIDOGO .NAMI KWASABABU UMEKUWA MZURI UPANDE WANGU SIWEZI KUSEMA MWAKA UMEKUWA MZURI ..ILA KUZIDISHA MAOMBI KUOMBA MUNGU ATUSAMEHE DHAMBI ZETU NA KUWEZA KUTULETEA AMANI ZAIDI HAPA DUNIANI..ANGALIENI ,WALO ZAMA MAJI ,WALOPATWA NA MAAJALI KIBAO KWA VYOMBO MBALI MBALI, WALOFARIKI AU KUFIWA NA WAPENDWA WAO , WANAOPIGANA VITA BILA SABABU ...WEZI NA MAJAMBAZI KWA WASOKUWA NA ULINZI WA MALI YAO ,MAFURIKO PANDE NYINGI ZA DUNIA ,WATU KUDHULUMIANA..NA MWISHO KABISA NJAA KWA WENGI. ENYI NDUGU TUSALINI SANA HASA ROZARI NA KUZIBEBA POPOTE PALE TUENDAPO. MBARIKIWE SANA NA NAWATAKIENI MWAKA MPYA 2012 WENYE YALE YOTE MEMA TUYAHITAJIO DUNIANI.AMEN.RUWA MANGI. & THANKS ALL KWA URAFIKI WENU MWEMA.TUZIDISHIANE ZAIDI"GOD BLESS TANZANIA NA ULIMWENGU WOTE.AMEN"
No comments:
Post a Comment