![]() |
| Rais akiongea na waadhirika wa mafuriko hayo waliohifhadhiwa kwenye shule ya msingi ya Mchikichini. |
![]() |
![]() |
| Hapa wakaaji wakipiga makofi na kufurahia kwa kuahidiwa misaada pamoja na maeneo mapya ya makazi! |
![]() |
| Poleni sana.Hapa angalia pichani chini kabisa kuna mtoto hapo hana ham kabisa kajilalia weee.." |
![]() |
| Rais akisalimiana na waathirika " |
![]() |
| Chasikitisha mno..wenzetu hapa bado wapo kwenye mapaa katika eneo la Bonde la mto wa Msimbazi maeneo ya Jangwani" |
![]() |
| karibu chakula Rais ..asante dada ,naona chakula kitam hichi ILA NAOMBA CHAKWANGU WAONGEZEE WALIOKUMBWA NA MAFURIKO HAYA" |
![]() |
| Dada utanifanya nile hiki chakula wakati ni cha walokumbwa na mafuriko haya. SAFI SANA . VYAKULA HIVI VILIKAGULIWA NA RAIS KIKWETE. |











No comments:
Post a Comment