KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday 8 February 2012

* YOU BEEN SNAP BLOG * TANGAZO KUTOKA KWA ST.ANNE'S LUTHEREN CHURCH " KWA WAKRISTU WOTE WAZUNGUMZAO KISWAHILI"

                                   KARIBU KARIBU KARIBU
Ibada ya Kiswahili London inapenda kuwakaribisha wakristu woto wazungumzao Kiswahili kwenye fellowship itakayofanyika katika kanisa la Kilutheli kuanzia saa kumi na mbili jioni ( 6:00pm)jumamosi ya tarehe 11/02/12.
Kwenye fellowship hiyo kutakuwepo na mafundisho ya neno la Mungu pamoja  na maombezi kwa wagonjwa na wenye shida mabali mbali "
Addres:
ST. ANNE'S LUTHERAN CHURCH
LONDON EC2V 7BX
TELL:020 7606 4986

Kwa maelezo zaidi wasiliana na wafuatao"
 Mtheologia Moses Shonga
Tell: 07791070103

Mchungaji Tumaini Kallaghe
Tell:07956522072

Usafiri wa mabasi pamoja na treni unapatikana kama ifuatavyo "
Kituo cha treni ( underground) Central line to St Paul station .

Mabasi to St Paul station :
172,100,242,8and 25 na ni dakika 5 ( 5min walk kutoka St Paul station

Naomba umkaribishe na mwenzio  

No comments:

Post a Comment