KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 18 March 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * MAMA SALMA KIKWETE KAMA SIE VILE ..KATUVALIA TRAKI SUTI YA BLUU" KIMATEMBEZI ZAIDI .ALIPOKUWA AKIONGOZA MATEMBEZI YA MKAKATI WA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU KATIKA KATA YA KIPAWA LEO" & YOU BEEN SNAP BLOG WISHING HER A VERY HAPPY MAMA'S DAY TODAY !!MWANAMKE WA KILEO NI KUAMKA NA SIYO KULALA"

*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FASHION POLICE*
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete (alievaa traki suti ya Blue) akizindua Matembezi ya Mkakati wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu katika kata ya Kipawa, Manispaa ya Ilala,Jijini Dar es Salaam leo.(pichani kutoka kulia wapili mwenye miwani) ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa,(akifuatiwa na alievaa traki suti nyeupe) Diwani wa Kata ya Kipawa,Bona Kalua.Sherehe hio pia imehudhuriwa na viongozi mbalimballi wa Serikali na wadau wa sekta ya uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu na Mazingira wa kata hiyo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete (mwenye traki suti ya blue) akiongoza matembezi ya Uzinduzi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Muindombinu ya Elimu katika Kata ya Kipawa, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam leo. Pichani ( kulia) ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa. Katika matembezi hayo zilipatikana fedha na ahadi zaidi ya shilingi 18 milioni ,ambapo Taasisi ya WAMA wamechangia milioni mbili (2m/-), na Wazziri wa Nishati na Madini pamoja na wadau wake wamechangia shilingi milioni 10 (milioni kumi).
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete akiongea na wananchi wa kata ya Kipawa iliopo katika Manispaa ya Ilala,Jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu ya kata hiyo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Ilala,Mama Martha Weje (kulia).
KWA HABARI ZAIDI TAFADHALI TEMBELEA
MATUKIO -MICHUZI BLOG"

No comments:

Post a Comment