KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * MANENO ALOTUACHIA MAREHEM KANUMBA" CHAKUSIKITISHA NI KWAMBA HAYA MANENO NDO ALOYAANDIKA YEYE MWENYEWE JANA 06/04/2012 KWENYE BLOG YAKE PAMOJA NA PICHA HIII...HIVI NI KWELI WATU HUJUA VIFO VYAO VINAPOWAKARIBIA ? HEBU SOMA MANENO ALATUACHIA .NA WABONGO TUYAZINGATIE KWANI HATA MR .STEVE KANUMBA ( THE CUTE ONE) AMBAE HATUNAE TENA KAYASTUKIA NA KUTUACHIA TUYAENDELEZE"NA KUYAFANYA ZAIDI NOW" HAYA MANENO NI BAADA YA KUJIKUTA KAWEKWA KWENYE ORODHA YA WALOSAIDIA AU WANAOSAIDIA WENZAO HASA WATANZANIA" OMG SIWEZI KUANDIKA R.I.P....!!
TULIOSAPOTI MPAKA KITUO HIKI KUFIKIA HAPA KILIPO SOMA MAJINA HAPO JUU JINA LANGU LIPO HAPO,KUSEMA UKWELI INAPOKUJA MAMBO YA KUSAIDIA JAMII NAJITAIDI KUTOA NINACHOKUA NACHO MAANA HAPA HUKUMBUKA MANENO YA MWANDISHI ALBERT PINE..''"What we do for ourselves dies with us. What we do for others and the world remains and is immortal."
 |
Add caption |
''
KANUMBA THE GREAT PIONEER MOTO WA VOLCANO'' NIKIWA KTK OFISI ZA TANZANIA MITINDO HOUSE
Jamani bado sijaamini kabisa,hayo maneno ya nyeusi hapo juu..ndo kaandika mwenyewe kwenye blog yake jana 6/4/2012.
JAMANI THIS IS SAD..NIMESOMA KWENYE GLOB YAKE.YAANI ALIANDIKA HII JANA ASUBIHI NA LEO HAYUPO?KWELI MAISHA MAFUPI SANA.MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI.AMEN
ReplyDeleteBabygal umeona ee,,yani kweli maisha ni mafupi mno ..kama ni kweli maana sasa hivi hakijulikani tena mara wengine wanasema kakifake hiki kifo chake sababu ya muvi yake mpya...SIJUI NIAMINI LIPI TENA JAMANI NA VILE NILILIA JANA NA USIKU WOTE SIKULALA!!
ReplyDelete