KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 9 April 2012

*in YOU BEEN SNAP BLOG * WADAU WANGU POLENI KWA KUTOKUWARUSHIENI CHOCHOTE HUM JANA PASAKA.KWANI NILIKUWA NAJIBURUDISHA NA KUFURAHI BWANA YESU KAFUFUKA NA YUPO PAMOJA NASI. SWALI LANGU LA LEO NI KWAMBA" SOMA HAPA PICHANI""

MISS FB a.k.a. MUKE YA AFRICAN KING NA ZAWADI ZAKE ZA PASAKA 08/04/2012"
Swali langu la leo : Ngugu zangu hasa Wanzania tumeona  mpendwa wetu Steven Kanumba alivyofariki na pale tunapoambiwa kwamba ni sababu ya MAPENZI"
Nawaomba mzingatieni yale nilowaambieni pale mbeleni ,kwamba MMEO AU MPENZI WAKO AKITOKA PEKE YAKE BILA WEWE KUKUWEPO NAE "JE UNAJUA KAENDA WAPI ? NA ALOKUAMBIA ANAKWENDA UMEMUAMINI ? NA KAMA HUJAMUAMINI AU UMEMUAMINI .basi na akitoka mwondokee na akija mpokee" kwani hivyo utajipunguzia ugonjwa wa moyo na utaishi maisha marefu na ya furaha vile vile yasokuwa na wasisi "
Mfano: kama sasa hivi unavyosoma hii habari yangu fupi niliyoiandika on 08/04/2012 19:31 English time: jiulize "
Mmeo /Mpenzi wako au baba watoto /mtoto wako yupo wapi ? na je alipokuambia anakoenda umemuamini ?na kama jibu ni yes: basi wacha kujisumbua na kumchunga utajisababishia ugonjwa wa moyo bure na vile vile waweza kusababisha vifo au kifo " cha muhim ni kwamba MSIWAAMINI KABISA HILI NI KWA WOTE.WAKE NA WAUME" ishi ukijiamini wewe mwenyewe kwani mnajiamini mnapokuwepo pamoja tu.la sivyo .hamna uaminifu kati ya mapenzi nawaambieni sababu nayaona na macho yangu na ndiyo maana hata mimi mwenyewe sina muda wa kujiumiza moyo wangu sababu ya mapenzi..AKIJA NAMPOKEA AKIONDOKA NA MUONDOKEA"NANYI FANYENI HIVYO KAMA MWATAKA KUISHI KWA AMANI NA KWA MAISHA YENU MLOPANGIWA NA MWENYEZI MUNGU BILA KUYAFUPISHA" (By Miss FB Flora Bahati Lyimo)
GOD BLESS YOU ALL AND R.I.P. MPENDWA WETU THE (CUTE ONE) STEVEN KANUMBA " AMEN"

1 comment:

  1. Aaaaah kumbe unajua leo kwako kesho kwangu true kabisa hakuna presha leo mke akimtimua wewe pokea bila ya taaabu wewe timua mke pokea bila taabu

    ReplyDelete