KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 22 May 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * LOOK OF 22/05/2012" ALIYEVUNJA REKODI NA KUWAONYESHA WAKE WAARABU HOW SEXY LADY/MAMA CAN LOOK " NDAN YA FANCY DRESS BRIDAL SHOWER YA RAHMA" ILOFANYIKIA LONDON 20/5/2012" SOMA MANENO YA MISS FB FASHION POLICE KABLA HAJAWALETEENI WALOCHAFUA" MBUTA NANGA"

Mwanzo napenda kukupa big kiss Shenaz,hongera sana MAMA yani juzi juzi umezaa "na angalia ulivyopendeza hapa mpaka umewashinda kina Beyonce" mimi penda wewe mwanamke kujiamini na kupenda kuwa katika mistari ilonyoooka na kufanya sawa sawa kwenye shughuli za watu .Hongera sana na endelea kujiamini "hapa Wadau yupo kinesi nesi(nurse) zaidi,aisee kama manesi wangevaa hivi wagonjwa wanjepungua kwani watu wangeponaje fasta fasta"
Lingine jamani mimi sijawahi kuona Fancy dress Bridal Shower" walobuni hii nawapa pongezi kwani ni kitu kijeni and nimekipenda, ila na maswali machache" Wale wake wa Waarabu walivaa nini ? na waliweza kweli au ndo pale wengine walikuja na Ushungi (sijui)na wengine kuja na full mapaja nje nje tena sexyyyy" ..na waaliweza kuvumilia kweli maana wale kwa kunyenyekea hasa kwa Ushangi si mchezo na hapa walipatikanaje" yani nasubiria kuona picha za mpango mzima "  Alafu Kifyonzo cha mitaani ni kwamba wanakamati sijui walikuwa kina nani basi mpango mzima watu full kulalamika hakukuwa na vinywaji na watu kukaa kwa muda mrefu bila kupewa chochote mezani kulikuwa kama vinywaji maji maji chupa kama mbili na meza niya watu kama 4/6?hata soda mezani bwana".nashughuli kumalizikaje fasta fasta" mbuta nanga"'' ni hayo tu kwa sasa mengine baadae si mwafaham Miss FB Fashion Police anapenda kusema kweli na ukweli badala ya wenye kuandaa shughuli hizo kusemwa mitaani bila wao kujua ,sasa wafaham mengi sana yanasemwa na mimi nayapeperusha msikieee. ILA B" HARUSI MTARAJIWA NASIKIA ALIPENDEZA KUPITILIZA KIASI ,PICHA ZAKE ZAJA WADAU"habari ndo hiyooo.poleni sana wanakamati ya shughuli hii,kwani mlimuangusha B" HARUSI MTARAJIWA" Kama ulikuwepo wacha maoni yako na siyo kimatusi tafadhali hapa tupo kwa kufundishana pale palipokosewa next time parekebishwe kwani watu wengi siku izi wanaolewa na mashughuli yapo mengi kibao"Mwaka huu tutakoma kwa kuparty hard"

5 comments:

 1. wera weraaaaaa.mwanamke kujiamini,flora mimi nilikuwepo na nikweli hatukupewa drinks yani ilikuwa full mchemsho na vyakula wala usipime na B halusi mtalajiwa tulimsubili mpaka watu kalibu tuondoke ,ama kweli shughuli wanakamati walizihalibu ,ila picha yangu usiniweke mama maana mie sikuambiwa haya mambo ya fancy dress..wake ya waalabu ndo wala usipime ,na ule unene wao nasubilia picha mwanamke nyamaa kama mimi apa.

  ReplyDelete
 2. Pole wewe unayejiita muke ya shehe" Mwanzo kabisa hizo drinks mnazosema hakuna zilikuwepo kwa kuendana na mpango wa shughuli hiyo ,chakula pia nasikia kulikuwa na vyakula vyakuendana na shughuli hiyo ,na kama mlitaka fancy food fulani mngetakiwa mje now,,si mwajua tena shughuli umealikwa na unatakiwa uridhike na uloyakuta kwani ndo wapendavyo wenye shughuli hizo..anyway ,,nitawawekeeni picha za mpango mzima na habari kamili kutoka kwa wenyewe shughuli hiyo..nyie kaeni mkao wakujirekebisha"

  ReplyDelete
 3. hapo naimanisha fancy food yenu mngetakiwa kuja nayo "" wenye kutaka ugali na mlenda, kisamvu nk...au wali ubwabwa ,pilau ,biriani hata matoke machalari ,,hivyo vyote ungelitakiwa ufunge furushi lako na umbali wako upate kupata food usiende ukajikuta na njaa huku ukisubiria vyakula ambavyo hukuvipendelea...HIYO SHUGHULI NI YA MWENYEWE NA SIYO YAKO ...JAMANI TUJIFUNZENI KUHESHIM SHUGHULI ZA WATU .MBUTA NANGA!!!

  ReplyDelete
 4. wewe flora usitizame upande mmoja tu,hao walokuambia hakukuwa na vinywaji vyakutosha na vyakula ambaavyo wavipendao wao ,siyo ajabu hata hawajaalikwa ,tena kama walikuwa wamealikwa si wamuambie alowaalika mashoni mwake mbona waja kukuambia au wasema huko mitaani kama siyo limbukeni ,yani watanzania jamani tutakuwa wapumbavu hivi mpaka lini ? flora pia nashukuru kwa kuliandika hapa maana tunawafaham tabia zao zaidi na sasa i think wameficha minyuso yao kwa aibu .i wish nao wafanye yao watuleweshe kwa madrinks yao and i know hao waliokuambia maana walianza kulalamika pale pale "

  ReplyDelete
 5. me love it ,the haters wamekuletea maumbea sasa unawashamba.hahahahaa flora bahati lyimo kiboko cha wabongo .weldone and please waanike na majina yao hapa au picha...mbuta nanga"

  ReplyDelete