Kwanza napenda kuwaombeni radhi kwa kuadimika kwa
*MiSS FB FASHION POLICE* kwani nimekuwa na shughuli za kufa mtu ila msijali nitajitahidi hata kwa mara moja kwa mwezi.kwani Napenda kuona WATAZANIA TUKIWA MISTARI YA MBELE KWA MAVAAZI HASA KWENYE SHUGHULI ZETU AU ZA WATU" GOD BLESS YOU ALL AND HAVE FAB DAY WADAU WANGU "(picha) kutoka kwa 8020 Fashion"
MISS FB FASHION POLICE SAY:
Hebu watizameni hawa Madada's jamani hivi walikuwa wanawaza nini wao wanaambiwa dress code ni Pink ,Yellow and Blue .wao watazeme hapa yani wamefika na mavaazi yao ya shughuli zao na siyo za mwenye shughuli hii Jane's " si hii nikumchafulia kabisa wewe waona tena na wakapanda juu na kutaka kufunika na jina kabisa na wrong rangi zao .
Tuanze na (wakushoto) ndo basi kachafua kabisa yeye kachukua black dress kaongezea hicho kitambaa kilichobakia kwa mshono wa full dress ya nguo ambazo zilivaliwa in full huko ukumbini " au ndo mabaki ya fundi wa michoni ya nguo zile yalobakia na kumdanganya tutakuongezea kitambaa hicho kwa bei sawa bure?!! My dear next time zingatia "dress code ni dress code "tafuta rangi hizo hata kanga zipo za rangi hizo zimejaa tele.wacheni kujiaabisha na kutuharibia shughuli za watu "
Tumaliza na (wakulia) huyo ndo nomaaa! aliwakaje na wrong rangi yake" huyu dada yani alitafuta mng'aro wake huo kwa makini sana ila kwa shughuli zake na siyo za hii shughuli ya dress Code Pink ,yellow and blue...yeye angetakiwa avae hiyo nguo yake ya Orange in Blue na hivyo viatu na handbag viwe orange..my dears mnapoambiwa DRESS CODE.JUENI NI DRESS NA SIYO "ACCESSORIES" sasa wewe ulituvalia Accessories dress code na ukahakikisha mpaka juu utapanda kufunika maandishi kabisa ya hii shughuli sijui mlikuwa mnataka paandikweje hapo palipowakilisha shughuli hii Jane's Kitchen Party"
"MBUTA NANGA!!!
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment