Pichani (kushoto ) Bibi yetu Malkia Queen Elizabeth Alexandra Mary born 1926 Crown 1952"ndiye mwenye shughuli hizi za NGUVU MNO" Na kulia ndo Miss FB Flora Bahati Lyimo
Mtanzania halisi mwenye kuipenda Nchi yake kupita maelezo.Fashion Designer,Trader, Fashion Police, Photographer ,Blogger na Msema kweli" NA HUU NDIYO USHAURI WANGU WA LEO 03/6/2012"
Natumaini hamjambo popote pale mlipo na mnajiandaa vyema kwa maandalizi haya ya furaha kubwa ya Malkia wetu " Queen Jubilee ambayo wengi tunasherekea pamoja nae na kumshukuru kwa mapumziko alowapa Wafanyakazi wa Uingereza"na kuwaruhusu kufanya visherehe sherehe popote pale njiani hata vichochoroni" na bila kusahau mbege kwa wingi" (ALCOHOL ) maduka mengi yalikaushwa "na hiyo ndo njia mojawapo yakutajirisha masikini au tajiri kutajirika zaidi" GOD BLESS THE QUEE!
Rais wetu Kikwete IGA TAFADHALI MHESHIMIWA "Tanzania kuna Viongozi hata mastar wanaostahili heshima kama hizi na kufanya hivi hakuhitaji hela "
"Bali WITO ,HESHIMA" UMOJA NA UPENDO"
Sasa basi mie lengo langu na Ushahuri wangu wa leo ni kuhusu wale Watanzania wote hapa UK -London wanaotaka kufanya biashara ya aina yoyote ile. Mwanzo kabisa jueni Watanzania tunaugojwa wa KUTOKUPENDA MAENDELEO YA WENZETU" na dawa yake ni hivi" Unapotaka kufanya biashara yako kwa mfano " Mchoma nyama BBQ kitanzania style" Hii ya nyama choma imenifikia ila kwa kusema kweli mimi huwa ndo napata habari za mitaani kulikoni ,na huwa nazichunguza alafu nawajibia hapa *You been snap blog * maana hii ndo blog yenu Wanzania hasa mlioko UK-London inayowarushieni mishapo ya ukweli na mnayokubaliana nayo mpende msipende utayaona au kuyasikia adharani badala ya uvunguni" kwa mchoma nyama huyo habari ndo hiyo" na lingine usilipishe watu hela za kutafuta utajiri wa haraka.watu sasa hivi wanahesabu kila senti siyo kama zamani" Anyway" Usifanyie biashara hiyo Nyumbani kwako au hata kwa Mtu .jua hao hao watu hasa WATANZANIA au hata wewe mwenyewe utakuwa una CV isiyosafi .hamna yoyote alie na CV safi kuhusu Marafiki " na biashara isiyohitaji CV hiyo ni yakufanyiwa nje ya Makao yako (NYUMBANI) au ya rafiki.fanyieni kwenye makao ya wananchi wa aina yoyote ( PUBLIC PLACE) wanaruhusiwa na watajiruhusu wenyewe kufika bila kujisikia kwamba wamekuja kwa fulani au wanalengo fulani " Mimi ndivyo ninavyoona "Vile vile usichanganye ULOVE LOVE (MAPENZI )na kila afikae kwenye makazi yako hayo utakae jisikia nae"HAPO NDIPO UTAKAPO JIJENGEA CHUKI NA UTENGANO "
Mengine msomeni huyu Ndugu yetu hapa chini nae ana USHAURI WAKE!!
Hivi ndivyo Ndugu yetu SALHA"alivyo post kwenye Wall yake ya Facebook !!
yani umenena flola sasa mtu anaripisha watu nyama choma nyumbani kwake na kinywaji uende nacho arafu badala alipishe £5 na vinywaji anaripisha £25 na vinywaji ,si huo ni wezi mtupu.usiwaogope flola nakuaminia dada wa fashion police.
ReplyDeletehahahaaa ama kweli wewe flora ni kiboko umeona eee na kweli wabongo ni barabara mbovu ....mie flora nachekasana na post zako huwa unanisababisha kuchelewa job kabisaaa.....na matokeo yake tushayaona hakuna mbongo anayefanikiwa kwa kuwategemea wabongo wenzie..nuksi sana jamani Mungu ajubarki na atuondolee ujinga na chiki chuki tulizojawa na nazo...
ReplyDelete