KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 4 June 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * HABARI KIDOGO NA PICHA KUHUSU WATOTO NA BABA YAO AMBAE NI MTOTO WAKIUME WA QUEEN ANAYEMPENDA ZAIDI YA WATOTO WAKE WOTE" HABARI NA : MISS FB FLORA BAHATI LYIMO "04/06/2012"


Princess Eugenie visits a Big Jubilee Lunch at All Saints Church, Fulham, London as part of the Diamond Jubilee celebrations
Hapa akiwa na maua ya aina nyingine inasekana kwamba Princess Eugen kapendelewa au "
 

The much-maligned Princess Beatrice looked equally glamorous


Elegant: Princess Beatrice "bila maua sijui hakupewa "
Baba na Mama Watoto hawa "wakiwa ndo wamefunga pingu zao za maisha kiwatoto zaidi"
Mwanamke hipsi , Eugen mtoto bado mdogo lakini mcheki alivyopendeza na hipsi zake huku akiwa ameyabeba maua ambayo haitambilikani kama kaja nayo au kayapewa na alomzimia"

Mummy's Boy " Andrew pichani on Queen Dimond Jubilee 2012 ambaye ni Mama yake mzazi"
Hawa watoto wa Mtoto wa Queen wa Kiume Andrew ambaye Queen anampenda kupita watoto wake wote , Wanapendwa sana na Baba yao hata na Bibi yao "Prince Andrew alipo muowa Mama watoto hawa" Queen kwa sababu zake mara baada ya kumuowa hakukubaliana nae na kumshauri mwanae waachane na kweli wakaachana na Mama huyo akaamua kwenda kutoboa siri za Umalikiani na mpaka kutaka kuuza kitabu chenye habari hizo akiwa huko US na kuzuiliwa kwani wengi walimshauri ni aibu sana.na hapo pakamsababishia kutokualikwa kwenye sherehe nyingi ambazo zinaambatana na kukuwepo kwa Queen " na mama watoto huyu ikambidi mpaka akahama Nchi na siyo Mji" Chezea Queen msimuone akisherekea Jubilee yake ya miaka 60 na kuchekelea wengi hacheki bila sababu so ukiona kakuchekea jua kuna sababu kubwa na sababu hiyo ni Upendo " anapenda wanaompenda na kutekeleza au nisema wanaofuata matakwa yake"

picha kutoka Mail Online"

No comments:

Post a Comment