KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 7 June 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * LOOK WHO IS AT THE QUEEN'S SHOP. THE FORTNUM & MASON" KIBIASHARA ZAIDI" SI MWINGINE NI MISS FB FLORA BAHATI LYIMO" 06/06/2012 IN LONDON "

biskuti za chura ndo hizo na usiulize bei !!ila sijui kama Queen nae keshazila"

mamba biskuti ""
Looking pretty Girls !!keep smilling and the rain in London will go away""

Hapa ndo penye kumbukumbu ya siku Queen alipofungua hii Salon " Diamond Jubilee Tea Salon was opened by HER MAJESTY THE QUEEN ON 1st /MARCH 2012"

humo ndo ndani alipokaa Queen mwenyewe siku yakufungua hii salon na pia hupatembelea mara kwa mara kwani hili ndo Duka lake" kila ukionacho hapa na vingine vingi sijapiga picha ndivyo avitumiavyo mwenyewe"


 Eti hivi vyote mnavyoviona pichani chini hapa vya wanyama na samaki ni vibiskuti !! kweli kuna watu wanajua kutengeneza pesa" hapa humbandui mtoto "


Hppy Friends wakiwakilisha ndani ya Queen's shop"

Hapa ni baadhi ya Hotel niliyokuwa naonyesha ubunifu wangu wa manukato ya ndani ,usiende mbali rudi tena utakuta ubunifu wangu huo  hapa "You Been Snap Blog" picha zitafuatia soon!

 Miss FB akiwakilisha ndani ya basi la matembezi !!The Tanzanian Girl was init"

 Just Miss FB jamani napenda London na Vijimambo vyake...hili basi usiku ni nomaa...utaipendaje London by night!! ukitaka kwenda nijulishe twende tena I love it"

No comments:

Post a Comment