Kushoto ni MH Balozi Mwanaidi Maajar ,nae alifika kuwapongeza na vile vile kuwaambia mawili matatu kwani hivyo ndivyo Tanzania inavyotakiwa kwa Viongozi au wenye FUNGUO za kuwafungulia milango Watanzania ambao wapo tiyari kutaka kuiona Nchi yao kuwepo kwenye mistari ya mbele kufanya" Weldone my dears""
"UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU" Na bila serikali ya Tanzania kuangalia na kuwashia Tochi Watu kama Missy Temeke ili waweze kufika wanapotaka kufika kwa ubunifu wao hatutasogea popote bali kuendelea kurudi nyuma" |
No comments:
Post a Comment