KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday 4 June 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * TANZANIA ILIKUWA MIONGONI MWA NCHI ZILIZOUWASHA MOTO JUU YA MAJI KATIKA SHEREHE ZA QUEEN'S DIMOND JUBILEE RIVER PAGENT JANA 03/06/2012"NA KUWAKA"

 HE Peter Kallaghe Balozi wa Tanzania UK akiambatana na mkewe Joyce Kallaghe" walikuwa ni miongoni mwa wageni waheshimiwa wa Queen hivi ikidhibitisha kwamba Balozi wetu halali anaifanya kazi yake ipasavyo na kuhakikisha kwamba nasi Watanzania tunahesabika na kuwa katika mistari ilonyoooka kwenye CV ya Nchi zilizopo ndani ya Uingereza"IM SO PROUD "
 HE Peter Kallaghe wakiwa wamesimama Imara huku wakionyesha nyuso zao za furaha at Mecuria Vessel ambazo hata Queen akiona picha zao atasema YES IM SO PROUD OF TANZANIA AND IT'S PEOPLE"
 Wanao wakilisha Nchi zao hapa Uingereza wakiwa kwenye picha ya pamoja inayosema YES "YOU DID IT HER MAJESTY THE  QUEEN AND HERE WE STAND FOR YOU " GOD BLESS YOU AND GOD BLESS THE WORLD "
 How Proud is this" Tanzania Bendera ileeee ikijitambulisha kwa rangi zake muhim sana kwa Watanzania Green,Yellow ,Black and Blue!!!!
Hapa ndo vile Tanzania inavyojionyesha hadharani kwa matendo na siyo kwa maneno " kuona Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zilizo uwasha moto juu ya maji haya na kuwaka on Queen Diamond Jubilee inawafanya Watanzania wengi popote pale walipo kujisikia Proud na vile vile kutambua kwamba Balozi wa Tanzania hapa Nchini Uingereza  Halali anaifanya kazi yake ipasavyo na hata kama kalala usiku mchana keshaifanya kazi yake na kazi ya mtu huonekana kwa matendo zaidi  hasa ile iliyovyema na huonekana penye umati wa watu au vitu " GOD BLESS YOU ALL AND GOD BLESS THE WORLD AMEN" Kweli nimejisikia sipo hapa Uingereza peke yangu nipo na Nchi yangu Tanzania"
By:Miss FB Flora Bahati Lyimo"Nikimalizia nakusema asante kwa mpiga picha hizi " tuzidisheni upendo na ushirikiano zaidi" Weldone"

No comments:

Post a Comment