KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 28 July 2012

IN FLORA LYIMO BLOG * ANGALIENI VILE WATANZANIA TULIVYOAIBISHWA NA SIJUI KINA KAMATI YA OLYMPIC 2012 LONDON AU SIJUI NDO KINA NANI WAHUSIKA KUDADADEKI" OPENING CEREMONY LONDON 2012" 27/7/2012"

FLORA BAHATI LYIMO .ASIMAMA FOR HER COUNTRY ..I LOVE MY TANZANIA "
KUDADADEKI NARUDIA TENA KUDADADEKI MMETUAIBISHAJE ..JAMANI HEBU WAONE HAPO NA MASUTI YAO ....UTADHANI WANAKWENDA KUMCHAGUA KIONOZI WA CCM NA KUCHOMA NYAMA....!!! YANI KWELI WALIKOSA WATU HUM LONDON HASA WATOTO ILI NAO WAJIVUNIE NCHI YAO NA KUWEZA KUJIINGIZA NA KUPENDA MICHEZO ? HOW COME HATA HAMNA MTOTO AU WASICHANA NA VIJANA WADOGO HAPO WAKUSINDIKIZA HIYO BENDERA YETU NA KUTUWAKILISHA ..NA MAVAAZI WAMEVAA NINI SASA,,ONA HATA HUYO DADA ALOBEBA HIYO BENDERA UTADHANI KASHONEWA HIYO NGUO NA MWANAFUNZI WA MKATE........LIMEMVAAJE ( Flora Lyimo Fashion Police ) NISHAWAAMBIENI ZINGATIENI UREFU WA NGUO UNAPOZIVAA" LENGTH NI MUHIMU SANA) ..ALICHONACHO HAPO 100% NI HIYO CHEKO TU...VINGINEVYO WANGEMFUNGA VITAMBAA VYA BENDERA YA TANZANIA NA ANGEKUWA IN VYOTE 100% AU HATA 90 % BADALA YA 40% YAKUCHEKA NA KUPUNGA MKONO......ANYWAY SIYO KOSA LAKE NI KOSA LA WENYEWE WANAJIJUA ...NA MASUTI YAO ALOWAAMBIA WAVAE NOW NIWAKATI WAKUKAA KIKAO NA KULIJIWAZA..WHY DO THAT! ..WHAT IS TANZANIAN DRESS CODE??? AND WHY DONT WE CALL IT ..KILIMANJARO TANZANIA..BADALA YA UNITED REPUBLIC OF TANZANIA..? ANYWAY KUNA MAMBO MENGI SANA WALOKOSEA NA WANATAKIWA KUJIREKEBISHA...SO TWAHITAJI KIKAO ILI MTUSIKIZE SIE WAPENDA NCHI YETU KULIKONI.....HEBU ONA HAPA NILIPO NI CZECH HOUSE ILOANDALIWA NA WA CZECH WENYEWE NA WATU TUMELIPA JUST £5 KUINGIA ...NA KULIJAAJE? NA KILA MTU WAS WELCOME" ANYWAY NI HAYO TU KWA SASA ..MORE PHOTOS TO COME" GOD BLESS TANZANIA AND THE WORLD AMEN." AND YES UNARUHUSIWA KUACHA MAONI YAKO..WHAT DO YOU THINK OF THAT DRESS CODE AND THE LACK OF TANZANIAN PEOPLE IN THERE ??

5 comments:

  1. TATIZO WABONGO NI UCHOYO WALIONA WAKIITA WATU NI KWAMBA TUTAFAIDI SAAANA,NA WAKT KITU NI CHA CKU MOJA TUUU.KWA UFUPI NI KWAMBA WAMEBOA WAMESHINDWA HADI NA SOMALIA.HIZO SUTI ZA FUNURAL NDO KABISA.THEN WOTE WANA VITAMBI.WE WANTED TO SEE MORE YOUNG PPL NOT BIG BEL

    ReplyDelete
  2. sasa hawa wenye vitambi waliokuwa wakiisindikiza hiyo bendera ndo wana michezo au? mana tulionyeshwa walipowasili hapa uk..hawakuwa na vitambi na kwa nini hawakuwepo ktk msafara huo mana wao ndo kiini chenyewe.wa Tz bado tuko nyuma saaana kwa kl ktu.wangefanya basi hata party ya kuwakaribisha hao wanamichezo na kuangalia jinsi tutakavyo wasa support .

    ReplyDelete
  3. we need more photo....Plz,

    ReplyDelete
  4. NDUGU ZANGU WATANZANIA ....TUMSIFUNI YESU KRISTU KWANI NI JAMBO LA MAANA SANA KUONA TUNA UHAI WETU LEO NA TUNASHINDWA KUIGA LISHA YA UBUNIFU ??? SASA BASI NDO WAKATI WETU SIE WAIPENDAYO NCHI YETU KUTOKUKAA KIMNYWA NA KUONGEA KWA SAUTI ILI TUSIKIKE KWA KILA MMOJA MKUBWA KWA MDOGO ....HII NI AIBU TUPU ..KUONA WATU WANAWEZA KUONEANA WIVU KWA KITU AMBACHO HAKIWATOI PESA ZAO MIFUKONI ....KWANI WANGETUPA TAARIFA ZA MWENYE KUPENDELEA KUJITOLEA KUISINDIKIZA BENDERA YETU NA PIA WANAMICHEZO WETU WAJIANDIKISHE ,,,NA HAMNA CHA MALIPO KWANI KAMA UNAIPENDA NCHI YAKO MIE HATA WASICHANA WADOGO KAMA WAKINA LINDA KAPINGA NA WENGINE WENGI NINGEWALIPIA ILI NIWAONE WAKIISINDIKIZA BENDERA YETU YA TANZANIA NA VILE VILE KUTUWAKILISHA PALE WANGETOSHEA KABISA WATU AROBAINI ...KAMA MNABISHA HESABUNI USA,NA ZINGINE NYINGI AMBAZO ZINAWATU ZAIDI YA ISHIRINI NA...KWELI NIAIBU ISIYO HITAJIKA KURUDIWA........

    ReplyDelete
  5. kiukweli hii ni aibu sanaaa jamani kwa huko si mnacommunity hamkuweza kujiandaa na kutoa mawazo kabla????? duuu

    ReplyDelete