KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 4 July 2012

* IN FLORA LYIMO BLOG* KWA KUSEMA KWELI SIJAKUBALIANA NA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA KUSEMA MADACTARI AMBAO HAWAJAPENDA MSHAHARA WANAOLIPWA NA WAACHE KAZI " SI NI SAWA NA MGOMO ? NA RAIS UNGELITAKIWA UTOE FIDIA YA HALI YA JUU KWA YOYOTE ATAKAYE TOA TAARIFA ZA WALOHUSIKA KUMTEKA NA KUMTESA DOCTOR ULIMBOKA" ILA KAMA USHAFANYA HIVYO " SAMAHANI RAIS NA NAOMBA WAHUSIKA WAPEWE KIFUNGO CHA MAISHA KWANI WAO NI HATARI KWA WANANCHI "

*MKILETEWA HAPA NA FLORA BAHATI LYIMO*
The president of Tanzania has dismissed reports that the government was behind the alleged kidnap and torture of the leader of a group of striking doctors"

Steven Ulimboka, chairman of the Medical Association of Tanzania, was allegedly abducted from his home last week, beaten and dumped in a forest near the main city, Dar es Salaam.

The striking doctors are demanding that their pay be tripled. President Jakaya Kikwete said those unhappy with their pay should resign.

He said he was "shocked" by the suggestions that the government had organised the abduction of Dr Ulimboka.

One of the doctors treating him told the BBC that his fingernails had been pulled out. Mr Kikwete said he had ordered an urgent investigation.

He also said that Tanzania could not afford to meet the doctors' demands to increase their pay from 950,000 shillings ($620; £390) a month, to 3.5m shillings, plus allowances.

"I urge doctors to end the strike and return to work. Your fellow Tanzanians are suffering and losing their lives," he
said.
"BBC REPORTS"
Maoni ya Flora Bahati Lyimo: Nikiendelea kusema kweli hapa ni pagum mno ila hapangeweza kumshinda Rais mpaka aseme kama madactari hawafurahii wanavyolipwa basi waache kazi ..la" kuna vitu vingine ungeweza kutizama kama Rais wa Nchi na kuona Umuhim wa madactari Nchini na kuweza kuwaongezea mishahara hiyo kwa hata nusi ya zile ambazo wanataka wao kuongezewa ambazo naona hawangekataa kwani hata wao wanajua kwamba Tanzania siyo kama Nchi ya Uingereza (mfano ) £390 a month  hapa Uinereza kwa madactari wengine ni kwa wiki" sasa basi chakufanya hapa Ndugu zangu Madactari kwa Mtanzania ni hela nyingi ila siyo nyingi mnavyoona nyie kwa kazi ngum na umuhim wenu Nchini ..Rais anafaa awaongezee hata £40 a month na wengine hata £100. kwa kuendana na ngazi zao"and im sure hata nyie madactari mtaridhika..WE NEED MADACTARI NA MADACTARI MSIJE JUU ZAIDI YA PALE SEREKALI YENU HAIWEZI KUWAFIKIA" KUFANYA HIVYO MNASABABISHA VIFO NA HATA MATESO KAMA HAYO TUSHAYAONA KWA NDUGU YETU DOCTOR ULIMBOKA" Anyway hayo ni maoni yangu .nanyi pia najua mtakuwa na yenu .semeni na msikike" kwani maoni yoyote mazuri au mabaya bila kusemwa hayawezi kutambuliwa kama mazuri au mabaya.God Bless Tanzania " Amen"

2 comments:

  1. Mosseley Mkoba say:
    hivi ww unadhani mtu asingetumwa na mtu mkubwa angethubutu kumteka mtu akiwa kwenye kundi la watu ambaye hana hatia wala nn!?huku wanakwambia cc ni polis tunakutaka ww!!kama hyo haitoshi,one day b4 kule mjengoni mbunge mmoja wa kike akasema kuna taarifa kua kuna kikundi cha watu ndo kinachochea madaktari wagome,PRIME akajibu kua hata yy ana taarifa hzo na WAMEOMBA VYOMBO VYA USALAMA VIFANYE UCHUNGUZI ILI WABAINI KIKUNDI HICHO KISHA SHERIA ICHUKULIWE.Swali linakuja ss,ww kama ww unadhani nani angekua halali kuhojiwa ili ataje kikundi hcho kinachochochea mgomo?CDHANI KAMA JIBU CO KIONGOZI WA MADACTARI NA NDO MANA USIKU ULEULE WAKAMCHUKUA JAMAA!!Kama hyo haitoshi,kung'olewa kucha na meno bila ganzi co urembo au kumbembeleza Dr ULI ataje bali ni advanced technique wanazotumia makachero kutesa wahalifu wa kimataifa ili watoe siri.raia wa kawaida asingeweza kujua mbinu hizi ni askari polis tu na jeshi!!!!

    ReplyDelete
  2. Flora bahati lyimo hata mimi nimekubaliana na wewe yani unafaa bungeni mama wa kichagga rudi bongo ili utupiganie haki zetu mbuta nanga"

    ReplyDelete