KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday 1 February 2012

* YOU BEEN SNAP BLOG * MISS FB FASHION POLICE IMEANZA LEO 01-02-2012. NA IMEANZA NA YEYE MWENYEWE. KWA HIYO WADAU ,MWAKARIBISHWA KUNIPA YOUR COMPLEMENTS IN 100% YAKUWEZA KUNISAIDIA KWA MY PERSONAL STYLE SOLUTIONS "NA VILE VILE WENGINE KUPATA IDEAS"



WACHENI MAONI YENU HAPA..ILA HAIRUHUSIWI YOYOTE KUACHA MAONI YA MATUSI AU YALE AMBAYO HAYATAWEZA KUMSAIDIA YOYOTE!!,,BUT YAKUCHEKESHA POWAAAAAA!!

9 comments:

  1. lookn hotttttt & sexyyyyyyyy bby.

    ReplyDelete
  2. HEHEEEE..MISS FB FASHION POLICE!!!
    Yani hii inakufaa kabisa maana unavyojua kusema maukweli mbona tutafaidika wengi, weldone miss fb"

    ReplyDelete
  3. This is why i love you flora bahati lyimo, yani mtoto wakichagga wewe ni kiboko mwingine ni KOPIIIIIIII"""

    ReplyDelete
  4. miss fb ,i love your fashion police..hebu tuwekee na casual wear maana kuna wengine hawajui maana yake nini na wapi pakuzivalia...me in love with your blog is the best tz-uk blog " keep it up dear !

    ReplyDelete
  5. flora bahati lyimo ulipendeza sana ,yani huko ibm kulikuwa hakuna mwingine aliyekuwa anaonekana ni wewe tu , kweli tunakuaminia, you are the best of tz's in uk. and goodluck with your new fashion police ..i cant wait to see mapicha ya watu wasojua nini chakuwapendeza ,hata mimi nitaku email my photos ili unipe ukweli wa mavazi yangu. ninakupenda na blog yako is the best ..x

    ReplyDelete
  6. hebu tuwekee yule ex wa gonga maana tunasikia alikuwepo pia , na hivi wewe na lulu clara mmekuwa marafiki siku izi ..ni swali tu usikasirike na usinibanie pls.

    ReplyDelete
  7. hehee...anonymous of 09:53am,,kwani tulikuwa hatupo marafiki..WINK...kuhusu ex wa gonga ndo yupi huyo ....mie mbona simjui nitumie picha kama unayo ""
    thanks na karibu tena,,
    miss FB

    ReplyDelete
  8. WENGINE WOTE THANKS SANA KWA MAONI YENU NA KARIBUNI SANA KWA MY BLOG NA MY NEW FASHION POLICE ....BLESS YOU ALL,
    MISS FB.XX

    ReplyDelete