KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 24 November 2012

IBADA YA KUMUAGA MAREHEM FRED MTOI" ITAFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 01/12/2012 ST ANNE'S LUTHERAN CHURCH LONDON "


Wapenzi wa BBC, ndugu, jamaa na marafiki,
Kufuatia msiba wa ndugu yetu mpendwa Fred Mtoi, Tungependa kuwajulisha kuwa maandalizi ya kuusafirisha mwili wa marehemu yanaendelea vizuri.
Ibada ya kumuaga marehemu kwa walioko Uingereza inatarajiwa kufanyika Jumamosi tarehe Mosi Desemba 2012 katika Kanisa la St. Anne’s Lutheran mjini London kuanzia saa tano kamili asubuhi.
Anwani ya Kanisa ni:
St Anne’s Lutheran Church,

Gresham Street,
London
EC2V

Safari ya kuupeleka mwili wa marehemu Dar es salaam nchini Tanzania imepangwa kuwa Jumatatu tarehe 3 Desemba 2012 jioni kwa ndege ya Shirika la British Airways na kuwasili huko Jumanne saa moja asubuhi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.
Tunalishukuru shirika la BBC kwa kushughulikia na kugharamia mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu hadi Tanzania.
Aidha tunawashukuru wote (ndugu, jamaa, marafiki) waliokwisha kutoa na wanaoendelea kutoa michango yao ili kufanikisha mipango mingine inayohusika na msiba huu.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri zinavyojitokeza kuhusu mipango ya msiba huu mpaka mwili utakaposafirishwa kwenda nyumbani Tanzania.

No comments:

Post a Comment